US intelligency says Russia 'intervened to promote Trump'

mngony

mngony

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2012
Messages
3,275
Likes
2,053
Points
280
mngony

mngony

JF-Expert Member
Joined Jul 27, 2012
3,275 2,053 280
Vitengo vya ujasusi nchini Marekani vinaamini kwamba Urusi iliingilia uchaguzi wa Marekani ili kumpiga jeki Donald Trump katika uchaguzi huo kulingana na maafisa wa Marekani.

Ripoti moja katika gazeti la New York Times inasema kuwa vitengo hivyo vina uhakika wa kiwango cha juu kuhusu hatua hiyo ya Urusi ya udukuzi.

Ripoti nyengine ya maafisa hao iliotolewa na Gazeti la Washington Post pia ilitoa maoni kama hayo.
==========================
Russia 'intervened to promote Trump' - US intelligence

The presidential campaign was marked by some fierce debates between the two candidates

US intelligence agencies believe Russia acted covertly to boost Donald Trump in the election race, US officials have told leading newspapers.

A report in the New York Times says the agencies had "high confidence" about Russian involvement in hacking.

A CIA assessment reported by the Washington Post made similar findings.

But Mr Trump's team dismissed the CIA line, saying: "These are the same people that said Saddam Hussein had weapons of mass destruction."

Russian officials have repeatedly denied the hacking accusations.

On Friday, US President Barack Obama ordered an investigation into a series of cyber-attacks, blamed on Russia, during the US election season.

The hacks targeted emails at the Democratic Party and a key aide to presidential nominee Hillary Clinton.

In October, US government officials pointed the finger at Russia, accusing it of meddling in the campaign.

Now, senior administration officials quoted by the New York Times say they are confident that Russian hackers also infiltrated the Republican National Committee's computer systems as well as those of the Democratic Party, but did not release information gleaned from the Republican networks.

Intelligence agencies say the Russians passed on the Democrats' documents to WikiLeaks, the Times reported.

Democrats reacted furiously when email accounts of the Democratic National Committee and Mrs Clinton's campaign chairman, John Podesta, were hacked.

The Podesta emails were revealed by WikiLeaks and posted online.

State voter registration databases in Illinois and Arizona were also breached
Quoting an unnamed "senior US official", the Washington Post said "intelligence agencies" had "identified individuals with connections to the Russian government who provided WikiLeaks with thousands of hacked emails from the Democratic National Committee and others, including Hillary Clinton's campaign chairman".

At one point in the campaign, Mr Trump had encouraged Russia by name to "find" Mrs Clinton's emails, although he later said he was being sarcastic.

Democrats claimed the hacks were a deliberate attempt to undermine Mrs Clinton's campaign.

White House spokesman Eric Schultz said President Obama wanted the investigation carried out on his watch "because he takes it very seriously".

"We are committed to ensuring the integrity of our elections," he added.

It is not clear if the contents of the review will be made public.
 
M

Mwenekaya Nkulu

Senior Member
Joined
Jul 16, 2014
Messages
134
Likes
126
Points
60
M

Mwenekaya Nkulu

Senior Member
Joined Jul 16, 2014
134 126 60
Vitengo vya ujasusi nchini Marekani vinaamini kwamba Urusi iliingilia uchaguzi wa Marekani ili kumpiga jeki Donald Trump katika uchaguzi huo kulingana na maafisa wa Marekani.

Ripoti moja katika gazeti la New York Times inasema kuwa vitengo hivyo vina uhakika wa kiwango cha juu kuhusu hatua hiyo ya Urusi ya udukuzi.

Ripoti nyengine ya maafisa hao iliotolewa na Gazeti la Washington Post pia ilitoa maoni kama hayo.

Lakini upande wa Bw Trump umepuuzilia mbali matokeo ya ripoti hiyo, ukisema hawa ni watu wale wale waliosema kuwa Sadaam Hussein anamiliki silaha za kuangamiza.

Maafisa wa Urusi kwa mra nyengine wamekana kuhusika na udukuzi wowote wa kumsaidia Trump katika uchaguzi huo.

Siku ya Alhamisi rais Obama alitaka uchunguzi kufanywa kufuatia misururu ya udukuzi wa mitandao inayodaiwa kutekelezwa na Urusi wakati wa uchaguzi.

Udukuzi huo ulilenga barua pepe za chama cha Democratic na mshauri wa mgombea wa urais Hillary Clinton.
CIA: Urusi ''ilimsaidia Trump kushinda uchaguzi'' - BBC Swahili
Wanajaribu kujivua lawama kwa kujiongezea lawama, wao waliamua kufanya uchunguzi upya wa tuhuma dhidi ya Clinton katika kipindi cha wiki mbili kabla ya uchaguzi hali iliyosababisha kupungua kwa umaarufu wake ghafla na kufufua matumaini ya Trump, pia wanaonyesha ni kwa kiwango gani wameshindwa kufanya kazi yao sawasawa kiasi cha kuruhusu watu wa nje tena wanahesabiwa kuwa ni maadui zao wakubwa kuweza kupata mwanya na kufanikiwa kuwawekea uongozi wa juu wa nchi hiyo, nilitegemea nisikie mkurugenzi mkuu wa taasisi hiyo na watendaji wengine wa chini yake wanatangaza kujiuzulu ili kupisha wengine wenye uwezo wa kufanya kazi hiyo, waongo wakubwa hao.
 
kavulata

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Messages
4,478
Likes
2,609
Points
280
Age
53
kavulata

kavulata

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2012
4,478 2,609 280
Wanajaribu kujivua lawama kwa kujiongezea lawama, wao waliamua kufanya uchunguzi upya wa tuhuma dhidi ya Clinton katika kipindi cha wiki mbili kabla ya uchaguzi hali iliyosababisha kupungua kwa umaarufu wake ghafla na kufufua matumaini ya Trump, pia wanaonyesha ni kwa kiwango gani wameshindwa kufanya kazi yao sawasawa kiasi cha kuruhusu watu wa nje tena wanahesabiwa kuwa ni maadui zao wakubwa kuweza kupata mwanya na kufanikiwa kuwawekea uongozi wa juu wa nchi hiyo, nilitegemea nisikie mkurugenzi mkuu wa taasisi hiyo na watendaji wengine wa chini yake wanatangaza kujiuzulu ili kupisha wengine wenye uwezo wa kufanya kazi hiyo, waongo wakubwa hao.
Warusi wamelipiza kisasi cha Marekani kuwapandikizia Boris Yelsin aliyeisambaratisha Soviet
 
Rajabu mamba

Rajabu mamba

Member
Joined
Oct 21, 2014
Messages
48
Likes
8
Points
15
Age
25
Rajabu mamba

Rajabu mamba

Member
Joined Oct 21, 2014
48 8 15
Vitengo vya ujasusi nchini Marekani vinaamini kwamba Urusi iliingilia uchaguzi wa Marekani ili kumpiga jeki Donald Trump katika uchaguzi huo kulingana na maafisa wa Marekani.

Ripoti moja katika gazeti la New York Times inasema kuwa vitengo hivyo vina uhakika wa kiwango cha juu kuhusu hatua hiyo ya Urusi ya udukuzi.

Ripoti nyengine ya maafisa hao iliotolewa na Gazeti la Washington Post pia ilitoa maoni kama hayo.

Lakini upande wa Bw Trump umepuuzilia mbali matokeo ya ripoti hiyo, ukisema hawa ni watu wale wale waliosema kuwa Sadaam Hussein anamiliki silaha za kuangamiza.

Maafisa wa Urusi kwa mra nyengine wamekana kuhusika na udukuzi wowote wa kumsaidia Trump katika uchaguzi huo.

Siku ya Alhamisi rais Obama alitaka uchunguzi kufanywa kufuatia misururu ya udukuzi wa mitandao inayodaiwa kutekelezwa na Urusi wakati wa uchaguzi.

Udukuzi huo ulilenga barua pepe za chama cha Democratic na mshauri wa mgombea wa urais Hillary Clinton.
CIA: Urusi ''ilimsaidia Trump kushinda uchaguzi'' - BBC Swahili
EDWARD SNODEN yupo kule anaijuac USA kinaga ubaga ndie funding wa IT,pia kafanya kazi ktk shilika la CIA Marekani ,Alishiliki kufanya udukuzi zidi ya wazili mkuu wa ujerumani na mataifa mengine.Yule jamaa sio MTU mzuli lazima awahanisi
 
Yegomasika

Yegomasika

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2009
Messages
11,014
Likes
45,565
Points
280
Yegomasika

Yegomasika

JF-Expert Member
Joined Mar 21, 2009
11,014 45,565 280
Naona Trump ameamua kupambana na security community ya nchi yake! Hata zile daily briefings za wana usalama hataki kuzisikia. Hatima yake kama Rais wa Marekani sijui itakuwaje?
 
mnyikungu

mnyikungu

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2009
Messages
1,862
Likes
1,828
Points
280
mnyikungu

mnyikungu

JF-Expert Member
Joined Jul 26, 2009
1,862 1,828 280
Ingekuwa ni kweli CIA wasingetoa hiyo taarifa, wana jambo lao nyuma ya pazia si bure, kabisa wao wanatangaza kuwa wameshindwa kazi hivi inawezekana? Yaani bila aibu shirika la ujasusi kubwa kama hili linajivua nguo kiasi hiki? Kweli waruhusu adui yao mkubwa kama urusi awadukue na hatimaye kuwachagulia raisi na wao wskubali kirahusi rahisi tu? Kuna jambo aisee
 
Somoche

Somoche

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Messages
4,142
Likes
1,256
Points
280
Somoche

Somoche

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2010
4,142 1,256 280
CIA genge la kijinga kwanza hawana uwezo wowote pasipo kuhonga na kununua taarifa hawa wanatumikia matajiri wakisema kuna mtu auwawe wanapewa hela wanazusha uongo...Trump litawavuruga mpaka wakome
 
Forum statistics

Threads 1,273,818
Members 490,485
Posts 30,492,989