US honours Kilango | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

US honours Kilango

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by Keil, Mar 26, 2009.

 1. K

  Keil JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2009
  Joined: Jul 2, 2007
  Messages: 2,214
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  US honours Kilango

  DAILY NEWS Reporter, 26th March 2009 @ 10:39


  The United States embassy today awarded Member of Parliament for Same East constituency in Kilimanjaro Region, Mrs Anne Kilango Malecela, the 2009 Tanzanian Woman of Courage Award.

  According to a statement from the US Embassy, the annual award was established to recognize women who have shown exceptional courage and leadership.

  The US Mission in Tanzania also nominated Mrs Malecela as this year’s candidate for the 2009 International Women of Courage Award for distinguishing herself by challenging the leadership in her own party to confront the question of corruption.

  “In doing so, she broke from the political custom despite facing personal threats to her own safety. “She persevered in her determination to fight corruption and asked tough questions that contributed to advance efforts of transparency and good governance within the ruling party," reads part of the statement.

  **********************************************

  Hata kama ana mapungufu mengine, lakini kwa jinsi nilivyoshuhudia akimkoma nyani kwenye mjadala wa Kamati ya Mwakyembe, alionyesha wazi kwamba alikuwa tayari kwa lolote. Kwa maoni yangu, ninadhani kwamba anastahili tunu hiyo. Ni akina mama wachache, hasa kutoka Chama Tawala ambao wanaweza kuongea kwa confidence kama aliyoionyesha siku hiyo. Nadhani ndiyo maana amekataa hoja ya Dowans isipelekwe kwa wabunge wa CCM maana kuna mazingaombwe yanaweza kuchezwa na hasa kwa kuhofia ile imani yao kwamba maslahi ya chama kwanza. Na hivyo akasisitiza kwamba kama wanataka mjadala wa Dowans waurudishe Bungeni na siyo kwa wabunge wa CCM tu.
   
 2. P

  Petu Hapa JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2009
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 714
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  It is good thing that the Embassy have given her an award, women activists should recorgnize her somehow. What a woman! "Patakuwa hapakali humu ndani". She deserve it.
   
 3. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,867
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Jamani je Bungeni patatosha tena? Sii patakuwa padogo?

  Kudos Mama!
   
  Last edited: Mar 26, 2009
 4. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  If you want to kill the dog.
   
 5. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #5
  Mar 26, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Ni kweli nakubali kwamba alistahili tuzo hii si yeye pekee lakini namkumbuka na mama mmoja wa SISI M anaitwa mama Shelukindo alisema pia kupata vitisho. Kumbe nakubali wakina mama wa SISI M wana courage kubwa na wako tayari kwa lolote lakini ufisadi No. Wakina baba je?...........
   
 6. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #6
  Mar 26, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Hivi CUF ina wabunge wangapi wanawake?


  Hongera Mama Kilango...Uzi ule ule Bungeni na Jimboni kwako
   
 7. P

  Petu Hapa JF-Expert Member

  #7
  Mar 26, 2009
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 714
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Unajua ni vitu vidogovidogo kama hivi, vinavyomuhakikishia mtu kwamba anachosema kinamaana. So yes, bunge halitatosha. Naomba ajidai na shahada yake, na impe nguvu kutembea kifua mbele.
   
 8. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #8
  Mar 26, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kibs

  Hujawahi msikia Mh Fatma Magimbi ?
   
 9. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #9
  Mar 26, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hizi Tuzo zingine bana!! Uzushi tu Mwaka jana alipata nani vile? ama imeanza mwaka huu?

  Hongera mama Anne Kilango-Malecela
   
 10. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #10
  Mar 26, 2009
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,635
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Kelele zake alikuwa anataka auziwe nyumba tu na SMZ...
   
 11. P

  Petu Hapa JF-Expert Member

  #11
  Mar 26, 2009
  Joined: Jan 2, 2008
  Messages: 714
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tumpe hongera tu mama! kapata TUZO kwa watu waliona inafaa, hata kama tunaona sio ya thamani. Kama hatujaridhika nayo! JamiiForum impe tuzo yake.
   
 12. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #12
  Mar 26, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hapo tupo pamoja
   
 13. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #13
  Mar 26, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  - Mkulu Masa toa heshima kwa mama bro, saafi sana she deserves it bwa! ha! ha! Here we go again wallahi hapatakaliaka bungeni!

  FMES!
   
 14. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #14
  Mar 26, 2009
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Rusha roho itahamia bungeni sio, nilidhani atajivunia heshima hiyo na wanawake wenzie kumbe atawasimamisha wenzie wasikae. Salaaaale!
   
 15. Kaa la Moto

  Kaa la Moto JF-Expert Member

  #15
  Mar 26, 2009
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 7,666
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Habari za holiday friend. Si uliaga kuwa hutakuja tena unapumzika kuandikia JF? Si kwamba nakufukuza, hapana nimeshangaa kukuona tena hapa wakati ulituaga vizuri tu na kwa kuwa tulikuwa tunakupenda hasa kwa datas, wengi wetu machozi yalibubujika kama si kulia!
  Teh teh teh teh eheheheheheh. Kweli hapa JF tunakuwa addicted.
  Karibu tena brother.
   
 16. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #16
  Mar 26, 2009
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Anastahili hongera. Ana exceptional courage. Big contrast with Mzee JSM.
   
 17. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #17
  Mar 26, 2009
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  - Mkuu heshima mbele, hii si demokrasia au? unaweza kutoka ukarudi, ukalia ukacheka, ukalala ukaamka au nimevunja sheria yoyote hapa kwa kuaga na kurudi, na kuaga na kurudi mkuu?

  - au unanifukuza? Bwa! ha! ha! mkuu ndio uzuri wa demokrasia as long as huvunji sheria, you can be anyhting you want!

  - anyways jioni leo nitakua Iowa tuonane au?

  FMEs!
   
 18. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #18
  Mar 26, 2009
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Hating Lowassa for the wrong reasons is just like hating him for the reasons that we hate him and not kwasababu mtandao uliwapiga chaka yeye na tingatinga.. But as they say, the enemy of my enemy is my friend [never my leader]... on that basis hongera mama albeit U dnt give a toss about Watanzania... lol
   
 19. Shaycas

  Shaycas JF-Expert Member

  #19
  Mar 26, 2009
  Joined: Feb 13, 2009
  Messages: 899
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Hongera mama,unawatia moyo wengine walau wa kujaribu kusema japo si kutenda kwani wakati mwingine,watendaji sio wasemaji na kinyume chake ni sawa.
  Mwisho,wengi wame/wanampongeza MAMA,JE NI KWASABABU ANASTAHILI TUZO YA NAMNA HIYO AU KWA KUWA IMETOLEWA NA US EMBASSY?
  Naomba kuwasilisha...
   
 20. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #20
  Mar 26, 2009
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,558
  Likes Received: 1,903
  Trophy Points: 280
  Hongera Mama Kilango...Daima mbele nyuma mwiko,maslahi ya Taifa kwanza itikadi baadaye.
   
Loading...