Frank Wanjiru
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 21,839
- 38,728
Snowden ana nini yule au yale makabrasha ya Wikileak?BUT Russia EDWARD SNOW DEN at their disposal
Hela kama hyo unaikutaje kwenye account? Maana kama anapata kwa kuuza taarifa angeshtukiwa mapema kuwa na billions ambayo asingeweza kuitolea maelezo.nimesoma kitabu cha The billion dollar spy,yule jamaa wa Urusi ( Tolkachev) aliyekuwa akivujisha siri kwa US ambaye KGB walimkamata na kumuua hata US$ 2M hakuwa nazo kwenye acc yake😇😇😇nimemwona mjinga sana ila yule Edward Lee Howard nilimkubali sana.
Nalog off
Hata wewe huwezi kuwa mjinga kiasi hicho kuweka hela kwenye akaunti zaidi ya kipato chako.nimesoma kitabu cha The billion dollar spy,yule jamaa wa Urusi ( Tolkachev) aliyekuwa akivujisha siri kwa US ambaye KGB walimkamata na kumuua hata US$ 2M hakuwa nazo kwenye acc yakenimemwona mjinga sana ila yule Edward Lee Howard nilimkubali sana.
Nalog off
nimesoma kitabu cha The billion dollar spy,yule jamaa wa Urusi ( Tolkachev) aliyekuwa akivujisha siri kwa US ambaye KGB walimkamata na kumuua hata US$ 2M hakuwa nazo kwenye acc yakenimemwona mjinga sana ila yule Edward Lee Howard nilimkubali sana.
Nalog off
Huyu jamaa pale Urusi ye alikuwa na acc yake ya kupokelea mshahara na alikuwa wakikutana sometime wanampoza na hela kadhaa alizokuwa akizificha nyumbani kwake,siku moja kwa mapepe yake alipohisi kashtukiwa akazichoma moto hela zake,aliwaambia CIA nao wakampatia hela nyengine. CIA walimwambia kuwa wamemfungulia acc nchi mwao na balance inasoma US$ 1+M,nisimpomkubali mie ni pale alipokuwa anakubali tu maneno hayo,ina maana acc hiyo inaweza ikawepo au isiwepo kwa kuwa sio yeye aliyeifungua,KGB waliwakamata yeye na mkewe na sijaona mahali ambapo CIA walikuja kumsaidia mtoto wa Tolkachev na hii hela ya babaye,ila mjanja E L Howard aliwauzia KGB info na hela yake akawa anaitafuna vizuri tu😂😂😂Hela kama hyo unaikutaje kwenye account? Maana kama anapata kwa kuuza taarifa angeshtukiwa mapema kuwa na billions ambayo asingeweza kuitolea maelezo.
hela hii isingekaa kwenye acc,hii nakufa nayo kimyakimya tuHata wewe huwezi kuwa mjinga kiasi hicho kuweka hela kwenye akaunti zaidi ya kipato chako.