US 'extracted high-level Russian government Spy'

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
21,811
38,687
View attachment 1203569View attachment 1203571
Screenshot_20190910-143646.jpeg
View attachment 1203572
 
nimesoma kitabu cha The billion dollar spy,yule jamaa wa Urusi ( Tolkachev) aliyekuwa akivujisha siri kwa US ambaye KGB walimkamata na kumuua hata US$ 2M hakuwa nazo kwenye acc yake😇😇😇nimemwona mjinga sana ila yule Edward Lee Howard nilimkubali sana.
Nalog off
 
Hela kama hyo unaikutaje kwenye account? Maana kama anapata kwa kuuza taarifa angeshtukiwa mapema kuwa na billions ambayo asingeweza kuitolea maelezo.
 
nimesoma kitabu cha The billion dollar spy,yule jamaa wa Urusi ( Tolkachev) aliyekuwa akivujisha siri kwa US ambaye KGB walimkamata na kumuua hata US$ 2M hakuwa nazo kwenye acc yakenimemwona mjinga sana ila yule Edward Lee Howard nilimkubali sana.
Nalog off
Hata wewe huwezi kuwa mjinga kiasi hicho kuweka hela kwenye akaunti zaidi ya kipato chako.
 
Yani huyo namfananisha na hawa Afrika, yani Nchini mwao ktk akaunti zao za Bank mna vilakilaki tuu, lakini huko nje ya Nchi nakwambia Pesa zimejaa kwenye Sandarusi ktk Bank za nje.
nimesoma kitabu cha The billion dollar spy,yule jamaa wa Urusi ( Tolkachev) aliyekuwa akivujisha siri kwa US ambaye KGB walimkamata na kumuua hata US$ 2M hakuwa nazo kwenye acc yakenimemwona mjinga sana ila yule Edward Lee Howard nilimkubali sana.
Nalog off
 
Hela kama hyo unaikutaje kwenye account? Maana kama anapata kwa kuuza taarifa angeshtukiwa mapema kuwa na billions ambayo asingeweza kuitolea maelezo.
Huyu jamaa pale Urusi ye alikuwa na acc yake ya kupokelea mshahara na alikuwa wakikutana sometime wanampoza na hela kadhaa alizokuwa akizificha nyumbani kwake,siku moja kwa mapepe yake alipohisi kashtukiwa akazichoma moto hela zake,aliwaambia CIA nao wakampatia hela nyengine. CIA walimwambia kuwa wamemfungulia acc nchi mwao na balance inasoma US$ 1+M,nisimpomkubali mie ni pale alipokuwa anakubali tu maneno hayo,ina maana acc hiyo inaweza ikawepo au isiwepo kwa kuwa sio yeye aliyeifungua,KGB waliwakamata yeye na mkewe na sijaona mahali ambapo CIA walikuja kumsaidia mtoto wa Tolkachev na hii hela ya babaye,ila mjanja E L Howard aliwauzia KGB info na hela yake akawa anaitafuna vizuri tu😂😂😂
Nalog off
 
Watu wana roho ngumu sana....kuwa msaliti tena kwa mataifa makorofi kama hayo ni kutaka kuiletea dhahama familia yako na wanao.....Yaani thamani ya pesa utakayoipata haitakuwa sawa na shida utakazojitafutia...kifo nje nje...Mbaya zaidi watu wanaweza kujusubiri hata miaka 15...then watakutanguliza mbele ya haki tu....Wiki ilopita kuna mchechnia kauliwa Berlin, huyu hawa warusi wamemtafuta tangu mwaka1999 huko....na wamemkosakosa mara kibao....etc....Watu wana roho ngumu sana......
 
Back
Top Bottom