Us Embassy ya Tanzania wakutana na Zitto waahidi kufuatilia hali ya mbinyo wa Demokrasia nchini

Dah,hii topic mbona imeshambuliwa Sana? Au ni MTU moja Mwenye ID nyingi? Maana hoja hazijatumika kujibu hoja au kuchangia .
 
Msaada mkubwa kuliko yote wanayoweza kutusaidia ni katika kutuwezesha kupiga kura zetu kwa uhuru kabisa, na kura hizo zisiweze kuchezewa na mtu yeyote awaye.

Wakikubali kutuwezesha sisi wananchi kuchagua viongozi wetu bila ya mizengwe toka kwao (wanaotusaidia), au kwa watawala wanaotutawala sasa, tutatoa shukrani za dhati kabisa kwa msaada wao huo. Haijalishi, hata kama kwa utashi wetu wenyewe tutaendelea kuwachagua hao hao watawala wanaotunyima haki na uhuru wetu; mradi tu tuwe tumewachagua wenyewe bila ya kulazimishwa na yeyote.

Nauliza tu....Hivi CHADEMA wamekufa? Naendelea kumsoma tu hapa rafiki yangu Erythromycin....eeer Erythrocyte...naye akielekea kama kukata pumzi!
Mimi ni mwanaccm hilo la Chadema kufa halipo kwa sisi kama chama tawala tumewazuia wapinzani kufanya then kesi Tunazoshindw kila mwisho wake.
Tusiingize kejeli kwenye mambo yaliyowaza Kikwete alituasa wanaccm tujibu hoja kwa hoja sio kwa kutumia nguvu ya ziada kwa alafu tunajisifu kwani haya hayajengi umoja wa kitaifa
 
alafu tunajisifu kwani haya hayajengi umoja wa kitaifa
Nikiacha mengine yote uliyoandika hapo juu kwenye mchango wako; ni hili hasa ndilo lililonifurahisha katika jibu lako.
Kwamba nyinyi CCM mnajenga "umoja wa taifa letu" kwa kuwanyamazisha CHADEMA na wenzao sio? Safi sana mkuu!

Bila shaka umoja wa taifa letu utaimarika zaidi kwa mbinu hizi.
 
Nikiacha mengine yote uliyoandika hapo juu kwenye mchango wako; ni hili hasa ndilo lililonifurahisha katika jibu lako.
Kwamba nyinyi CCM mnajenga "umoja wa taifa letu" kwa kuwanyamazisha CHADEMA na wenzao sio? Safi sana mkuu!

Bila shaka umoja wa taifa letu utaimarika zaidi kwa mbinu hizi.
Mku soma tena mm nimesema hizi siasa za kusema chadema imekufa sio kwani wamezuiliwa kufanya shughuli zao kwa hili linaondoa umoja wa kitaifa kwani sasa hivi hii nchi watu wanaishi kiitikadi ambayo sio hali nzuri
 
Mku soma tena mm nimesema hizi siasa za kusema chadema imekufa sio kwani wamezuiliwa kufanya shughuli zao kwa hili linaondoa umoja wa kitaifa kwani sasa hivi hii nchi watu wanaishi kiitikadi ambayo sio hali nzuri
Sawa mkuu, naona nilichanganya.
 
Mkuu, that step is nothing, US wanaangalia maslahi yao, na ZZK hana ubavu wa kuwa rais wa nchi hii, he is like pilitoni kwa hii nchi, he is nobody, so huyo mama mu CIA atakuwa kamchoraaa mchoro akaona huyu mdude hana kitu kichwani akaachana naye hahaha, pia mu CIA kapata zake perdiem kwa kutekeleza majukumu huku msaliti wa nchi akiishia kupewa chai
Mwenzio yupo kazini anajua anachotafuta na atakachopata, ni mwanasiasa. We fikiri tu anautaka uraisi. Mwanasiasa yoyote kijana anayetaka uraisi anajua fika nafasi nzuri ya kuwa raisi kwa sasa ni kuwa mwanachama mwaminifu wa chama tawala.
 
Hapo ZZK kafurahiiii kufika ubalozini, hizo balozi zote ziko chini ya Wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa.. Haziwezi kuipa tu serikali masharti au utaratibu wautakao bila kupitia wizara hiyo, ZZK anaona kama kashinda vile. Serikali ni kitu kikubwa sana sanaaa sio mchezo mchezo, hata huyo afisa wa ubalozi wa US hapo pichani serikali yetu inaweza kumkataa na akarudishwa kwao ASAP.. Msicheze na serikali hata kidogo
 
Nadhani itakuwa vizuri wakimrudisha kwanza Snowden US bila masharti then ndiyo waje watuambie hiyo demokrasia. Halfu mcheki ZZK anaonekana kama vile anaomba huruma fulani, hahahaha, kweli wapinzani kwisha kabisa, kwa mwendo huu wa CCM chini ya Dkt wa ukweli, Dkt Msomi, Dkt mwenye hekima Mh. Rais Magufuli wapinzani wote hawana pahala pa kuficha nyuso zao wooote kabisa wanatamani kuwa CCM ila viapo vinawabana
Punga linapiga vigeregere huku halina kitu mfukon limebaki ccm ccm ccm bwege kwel utazeeka hivyohivyo huna future yoyote.
 
Kwani sheria zina semaje nchi nyingine kuingilia mambo ya nchi nyingine bila idhini
 
Akitokea mtu akakufananisha na zoba utakataa kweli? Maana heri hata anayefuga kuku wa mayai amepiga bingo kuliko kuwa na akili hizi kwenye familia
Siku hizi jf imeanza kuruhusu wahuni kama wewe badala ya great thinkers.Jukwaa limevamiwa na mom babies wa primary.
 
Back
Top Bottom