US Election Coverage 2008

NN,
kwani una fikiri haya ma-tsunami yote ya ushindi yanatoka wapi?? ni after shocks ya zile endorsements, sasa ndio zina settle in ktk vichwa vibovu vya hawa wamarekani wavivu wa kufikiria.

Moveon.org, hawakugaragazwa, ila John Kerry alikuwa reluctant ku-utilize huduma zao....hiyo ni historia lakini, tunasonga mbele.

Uncle Teddy na Sura Ndefu, wame-deliver ile stimulus.....subiri check ya up to $$600 toka kwa Uncle Sam, halafu ooooooh Teddy hafanyikazi!!! ebo, huyo ndio legendary and veteran power broker in DC.
 
Nyani,
If you can't beat them join them. It is not too late to join the bandwagon. I voted today and it was Obama all the way. Achana na huyo McCain. Kwanza ni mzee na hana lolote. Na hata wale ambao wangemnyanyua wanasema he is not conservative enough.

No way Jose!! I'm for McCain all the way now. Do you really think conservatives would rather see a liberal Obama win over McCain who has an 83% conservative rating when supreme court justices nominations are at stake?
 
NN,
kwani una fikiri haya ma-tsunami yote ya ushindi yanatoka wapi?? ni after shocks ya zile endorsements, sasa ndio zina settle in ktk vichwa vibovu vya hawa wamarekani wavivu wa kufikiria.

Moveon.org, hawakugaragazwa, ila John Kerry alikuwa reluctant ku-utilize huduma zao....hiyo ni historia lakini, tunasonga mbele.

Uncle Teddy na Sura Ndefu, wame-deliver ile stimulus.....subiri check ya up to $$600 toka kwa Uncle Sam, halafu ooooooh Teddy hafanyikazi!!! ebo, huyo ndio legendary and veteran power broker in DC.

...and the most liberal senator of all times...
...halafu ile kesi yake ya vehicular homicide vipi? Na DUI zake vipi?
 
Siku Obama aliposhinda Iowa Caucas...kulikuwa na nay sayers. Nafikiri tukiangalia mitundiko ya mwanzoni mwa hii thread tutaona...I wish these people I am not naming them could come here now kama ambavyo Democrats walienda kutubu na kusema kura zao za kuidhinisha vita ya Iraq ilikuwa ni a Major mistake na hawa wana JF wenzetu wawe tayari kusema kwamba they under estimated Obama, kwa sababu what we are about to see katika hii nchi ya wenzetu ni HISTORIA in the making. Moto wa huyu jamaa (Obama) hauzimiki...ana support ya Republicans, Undecided, Democrats, young, old, whites, blacks, some latinos are starting to come his way, educated, uneducated, high income, low income, everything naangalia MSNBC hapa sasa hivi kwa sababu I can’t stand Wolf Blitzer wa CNN na ma graph yao na I can’t watch FIX NEWS. N’ways wanamuonyesha Hillary anahutubia gallery kule El Paso, Texas. Mama anajitahidi kutoa tabasamu maskini lakini sura inaonyesha mambo sio mazuri. Kampeni yake imeanza kuchomoka magurudumu tena ya mbele...wana down play defeats kutoka super tuesday na leo usiku. Campaign manager mmoja ameondoka (quited) jana na kulikuwa na shake up pia... fundings zinakuwa ni issue..last week after super tuesday Hillary aliingia mfukoni kuikopesha kampeni yake $5 million. Sasa hivi they are not sure kama wataweza kushinda Ohio, Texas na Penn State, kwa sababu polls zina change na wapiga kura wana jump into the exciting Barack Obama's train. Inavyoonekana na pundits wanavyosema..leo usiku Obama atakuwa na another big Victory.
Lets sit and wait. Because this is more than the audacity of hope.

--Don't tell Mama, I am for Obama---
 
Guess what! The first campaign manager to step down earlier, she was latino. Na kuna some latinos ambao ni superdelegates wameshaanza kusema kuwa wana-stop na kuangalia kwa makini kwa nini latino kapigwa chini na wao walikuwa wanampa support kubwa sana Hillary. Kazi anayo. Anaanza kupoteza ile kambi ya latinos, na tx inakuja around the corner!
 
Mwanamama...kula five. Yaani ninafurahi sana kuona Barack anapo wa prove critics wake wrong. Nafikiri ni muda wa ku adapt ile slogan ya Adidas "IMPOSSIBLE IS NOTHING"
 
Nimeona comment yake...dah!!

“You’ve got conservative whites here, and I think there are some whites who are probably not ready to vote for an African-American candidate,”
Gov. Ed Rendell

....achana na huyu bwege he's just a past!
 
Loh! Kwa kweli Obama sasa ni unstoppable! After tonight atakuwa ameshinda contests 8 to zip. At some point reality has to set in and for me this is it. I still have lots of admiration for Hillary, my girl. I blame it all on the media who haven't been nice to her. Oh well...such is life. Like I said before if she doesn't get the nomination I'm rooting for McCain.

Mzee hakuna haja ya kwenda kwa MacCain. Preference order yetu siku zote ilikuwa Hillary, Barack then MacCain. Sasa usiruke bwana. Acha huyu kijana achukue hii kitu, sasa kama ameweza kuiangusha hii machine kubwa ya akina Clinton hawezi kushindwa kuangusha hawa Republicans ambao wameganwanyika sana. Na usisahau pia kwamba hawa republicans tayari wana psychological disadvantage kwa sababu watu wengi wanaamini kwamba this time lazima Democrats wachukue hii kitu.

Lakini nimekubali hawa wenzetu wa Amerika wanaitangulia hii dunia kwa kila kitu. Yaani kwao hapendwi mtu, ni misifa tu ya mtu. Hii kitu nakwambia haiwezi kutokea kokote hapa duniani isipokuwa huko kwao tu. Sisi kwa uzuzu wetu tuliweza kumkataa Salim kwa sababu ya karangi kake kuwa na element za kiarabu, sisi kwa kweli tumepigwa zuzu!

This presidential race further entrenched the position of the USA as a very special country in the world!
 
Mzee hakuna haja ya kwenda kwa MacCain. Preference order yetu siku zote ilikuwa Hillary, Barack then MacCain. Sasa usiruke bwana. Acha huyu kijana achukue hii kitu, sasa kama ameweza kuiangusha hii machine kubwa ya akina Clinton hawezi kushindwa kuangusha hawa Republicans ambao wameganwanyika sana. Na usisahau pia kwamba hawa republicans tayari wana psychological disadvantage kwa sababu watu wengi wanaamini kwamba this time lazima Democrats wachukue hii kitu.

Lakini nimekubali hawa wenzetu wa Amerika wanaitangulia hii dunia kwa kila kitu. Yaani kwao hapendwi mtu, ni misifa tu ya mtu. Hii kitu nakwambia haiwezi kutokea kokote hapa duniani isipokuwa huko kwao tu. Sisi kwa uzuzu wetu tuliweza kumkataa Salim kwa sababu ya karangi kake kuwa na element za kiarabu, sisi kwa kweli tumepigwa zuzu!

This presidential race further entrenches the position of the USA as a very special country in the world!

Hauko mbali mkuu...with all the goodies per-se the precedent can not be ignored,walau serikali yetu imeshaanza.
 
Nyani, mi nahisi kama vile unahesitate to back a looser, nothing more lakini bado ni Obama deep down kama tulivyoongea hapo awali.
I think America is ready to be seduced by Obama na nadhani atapata nomination na atashinda.
Mimi niko concerned zaidi na presidency yake, natumaini kwmba atafanyia kazi matatizo ya USA na dunia nzima ili kuhakikisha ya kuwa we are all living better, and the outlook is bleak.
McCain hana jipya na siyo innovative na ume-jump the Democrat bandwagon kwa sababu ya uchungu wa bibi kutokaa vizuri lakini mimi naomba nikusihi ya kuwa Republicans ni hatari sana kwa nchi na dunia nzima! Huyo huyo McCain amesema he will stay 100 years in Iraq!

YNIM, Game Theory, I think we are not out of the woods yet. Tuendelee kushangilia lakini bado Jaluo ana kazi kubwa mbele! Kumbuka Texas and Ohio is a big challenge just as Pennsylvannia. Lakini Pennsylvannia has Philadelphia so, kuna wasomi, also kuna weusi na pia a lot of white people were offended na huyo gov alivyosema na wamesema they will not labelled racist! But Texas is tough na mama amepiga kambi, tunaomba ile momentum imsaidie Jaluo wetu!
 
MUSLINGING IMEANZA - OBAMA BEWARE:

"Larry Sinclair comes forward about a couple of incidents that took place in 1999, while Obama was a State Representative. Sinclair says he met Obama in a lounge - and they left in his limo, Obama got crack for his use, and coke for this guy…and oral sex in the back of the limo - and in a hotel room in Gurnee, two days later.

This is rather serious…I’m wondering if it’s another Hillary plant. I mean look at what Sandy Berger did for the Clintons…Either way, this is disgusting.

Now when I was clubbing in the 70’s, I witnessed Jessie Jackson, Jr., take chicks into his van - several over the course of a night - and rock their world…so I guess I shouldn’t be surprised at what politicians do in Chicago and what they think they can get away with.

What am I talking about…they DO get away with it, and nobody seems to care!"

NImetoa kwenye Blog ya fanatic moja, kupakana matope yameanza and the Republicans are in gear!
Beware!
 
Obama's Students, Independents Erode Clinton's Wisconsin Base

Feb. 12 (Bloomberg) -- Wisconsin has lots of blue-collar, older and female voters who form the backbone of Hillary Clinton's base. It also has plenty of college students, progressives and upper-income independents who favor Barack Obama.

With an earlier start and more support from the state's political establishment, including the governor, Obama may have the edge in Wisconsin's Feb. 19 contest for the Democratic presidential nomination.

``Obama's got the momentum in this state, but I never rule out a Clinton,'' said Wisconsin Democratic Party Chairman Joe Wineke, who supported North Carolina Senator John Edwards. Both Obama, 46, and Clinton, 60, are vying for the endorsement of Edwards, who dropped out of the race Jan. 30.

Obama's campaign, according to an internal document published by Bloomberg News last week, projects a 7-point victory over Clinton in Wisconsin, garnering him 40 of the state's 74 delegates. Obama, a senator from neighboring Illinois, expects a close race statewide, except in Milwaukee, where blacks comprise a large share of the Democratic vote and he is likely to win decisively.

Victories

With at least one poll showing her ahead in Wisconsin, Clinton, a New York senator, is trying to slow her rival's momentum. Obama swept five contests last weekend, and is favored to win the Virginia, Maryland and District of Columbia primaries today.

A November battleground, Wisconsin is the only major contest next week. Hawaii will hold a caucus on the same day, though few delegates are at stake.
Wisconsin's socio-economic landscape mirrors the nation's: cities, suburbs and farmland, blue-collar and college towns, manufacturing communities that lost jobs to free trade, and a growing minority population in larger cities. The issues for Democrats -- health care, jobs, college costs, energy prices and the Iraq war -- echo concerns across the country.

To win, a candidate must ``excite the liberal Democratic base'' in Milwaukee, the largest city, and in Madison, the state capital and home to 40,000 college students, said Madison Mayor Dave Cieslewicz. Victory will also depend on a candidate's ability to ``excite independents, who are our largest voting group.''

Edwards' Backers

Cieslewicz, who had endorsed Edwards, said he believes most Edwards supporters will migrate to Obama, as some political and labor leaders already have.

Independents can vote in Wisconsin's primary, and according to exit polls from last week's Super Tuesday contests, these voters prefer Obama over Clinton by a 23-point margin. Even some Republicans said they would cross over.

``This is the first time I'll vote Democratic in my life,'' said Timothy Baldwin, 37, a Milwaukee lawyer. Four years ago, Baldwin attended the Republican National Convention; last week, he offered a nightclub he owns for a Super Tuesday party for Obama supporters.

Kathleen Falk, the top elected official in Dane County, disagrees.

Clinton, she said, is ``the first woman who excites independents, especially women independents.''

Obama Offices

Unlike Clinton, Obama has had offices for some time in Milwaukee and Madison, which has one of the largest Students for Obama chapters in the nation. He also has support from party figures such as Governor Jim Doyle, Representative Gwen Moore and Milwaukee Mayor Tom Barrett, and at least 16 state legislators. Both campaigns say they have volunteers in all 72 counties.

Clinton's top endorsements are from Falk, Lieutenant Governor Barbara Lawton and Representative Tammy Baldwin.

Neighboring states have chosen Obama. Minnesota, Iowa and Illinois favored him by large margins. Only Michigan, where Clinton was alone on the ballot, didn't.
In Wisconsin, where more than one in four voters is from a union household according to 2004 exit polls, labor is divided over which candidate to back.
The American Federation of State, County and Municipal Employees is mobilizing for Clinton; the Obama campaign rented its Milwaukee phone bank and office from the Service Employees International Union, which supports him.

And while the American Federation of Teachers endorsed Clinton nationally, the state's second and third largest AFT locals recently endorsed Obama.

Lyn Hildenbrand, 49, who works for a non-profit group and organized a Super Tuesday gathering for Clinton supporters in a bar she owns in Milwaukee, said ``the working-class population wants someone to show, not tell, us what they'll do.''

Nafta

Clinton, however, has been hurt in eastern Wisconsin's manufacturing corridor by her association with President Bill Clinton's support for the North American Free Trade Agreement, which many factory workers believe cost thousands of jobs in the region, said Peter Behrenstrung, United Auto Workers president for the Kohler Co. plumbing fixtures plant in the Sheboygan area.

Obama was the choice of 60 percent of UAW members from Wisconsin, Illinois, Minnesota and Iowa in a vote last November. The one-term senator has never voted on it and both he and Clinton now criticize Nafta.

Congressman Dave Obey, a former Edwards loyalist who endorsed Obama last week, said his rural and blue-collar constituents in northern Wisconsin hold anti-Nafta and anti-war views that could favor Obama.

Obey, 69, said he fears the hard-fought campaign could leave scars. He remembers the 1960 Wisconsin primary when John Kennedy defeated Hubert Humphrey: ``There are still Democrats in this state who won't talk to each other since.''

To contact the reporter on this story: Indira Lakshmanan in Wisconsin at ilakshmanan@bloomberg.net .

http://www.bloomberg.com/apps/news?p...GtwgA&refer=us

3322.gif
 
Mzee hakuna haja ya kwenda kwa MacCain. Preference order yetu siku zote ilikuwa Hillary, Barack then MacCain. Sasa usiruke bwana. Acha huyu kijana achukue hii kitu, sasa kama ameweza kuiangusha hii machine kubwa ya akina Clinton hawezi kushindwa kuangusha hawa Republicans ambao wameganwanyika sana. Na usisahau pia kwamba hawa republicans tayari wana psychological disadvantage kwa sababu watu wengi wanaamini kwamba this time lazima Democrats wachukue hii kitu.

Lakini nimekubali hawa wenzetu wa Amerika wanaitangulia hii dunia kwa kila kitu. Yaani kwao hapendwi mtu, ni misifa tu ya mtu. Hii kitu nakwambia haiwezi kutokea kokote hapa duniani isipokuwa huko kwao tu. Sisi kwa uzuzu wetu tuliweza kumkataa Salim kwa sababu ya karangi kake kuwa na element za kiarabu, sisi kwa kweli tumepigwa zuzu!

This presidential race further entrenches the position of the USA as a very special country in the world!

Indeed my friend, the US of A is a special country. Actually a lot of Americans believe this is the promised land. Love Tanzania but I also love the USA. This country has given me opportunities that I would not even have gotten in my own country. Right now I'm set to receive a $600.00 tax rebate check in the spring. I love America!!!
 
Mkuu nakubaliana na wewe 100% sisi wengine ni watoto wa pesants Tanzania na tunatoka familia hohe hahe lakini we made it. Hapa haijalishi where you are coming from or which clan you belong to, hapa ni ubongo wako nikimaanisha brain smartness na uchapaji kazi wako tu. Simaanishi kuwa Tanzania huwezi ku break through kama wewe unatoka kwenye background ya ulala hoi, hapana, lakini ubabaishaji mwingi na watu wengi wetu nchini hatuna tabia ya kusifia (kutoa encouragement), watu wengi wako negative..kwa mfano unaweza kuwa na ideas ya kufanya kitu fulani, ukiwashirikisha watu wako wa karibu the very first thing ni kukatishwa tamaa kwa maswali "Hivi utaweza wewe?". Hapa U.S. tunaambiwa its OK to fail so long as you try hard. Sorry sikumaanisha kutoka nje ya topic.
 
No need to be sorry. You are right on my brother!!!
 
Bill Clinton campaign chief backs Obama
By PHILIP ELLIOTT, Associated Press Writer
Wed Feb 13, 11:29 AM ET

The man who served as national manager of former President Clinton's 1992 campaign plans to endorse Sen. Barack Obama, an aide to Obama said Wednesday.
Obama's campaign planned a 1 p.m. conference call Wednesday to announce the endorsement by David Wilhelm, who later became chairman of the Democratic National Committee, according to an aide who spoke on condition of anonymity because the announcement would be made public later in the day.

Wilhelm planned to tell reporters that Obama can build a coalition of Democrats, independents and Republicans needed to win the general election.

Wilhelm is a superdelegate who was previously uncommitted in the race. His endorsement helps Obama in the race for delegates, in which he pulled ahead after Tuesday's sweeps of primaries in Virginia, Maryland and the District of Columbia. Clinton remains considerably ahead in superdelegates, which are party officials, elected officials and others who can vote however they choose at the nominating convention.

If the race for pledged delegates based on outcomes in caucuses and primaries across the country remains tight, superdelegates could decide the nomination.

Obama leads the delegate race with 1,224 to 1,198 to Clinton, according to the latest count by The Associated Press.
 
Kitla, NN na Capitol ahsanteni sana kwa post zenu kama Obama anavyosema It can only happen in America.

Soma hii hotuba yake hapa chini aliyoitoa El Dorado KS.

It's a story that began here, in El Dorado, when a young man fell in love with a young woman who grew up down the road in Augusta. They came of age in the midst of the Depression, where he found odd jobs on small farms and oil rigs, always dodging the bank failures and foreclosures that were sweeping the nation.

They married just after war broke out in Europe, and he enlisted in Patton's army after the bombing of Pearl Harbor. She gave birth to their daughter on the base at Fort Leavenworth, and worked on a bomber assembly line when he left for war.

In a time of great uncertainty and anxiety, my grandparents held on to a simple dream - that they could raise my mother in a land of boundless opportunity; that their generation's struggle and sacrifice could give her the freedom to be what she wanted to be; to live how she wanted to live.

I am standing here today because that dream was realized - because my grandfather got the chance to go to school on the GI Bill, buy a house through the Federal Housing Authority, and move his family west - all the way to Hawaii - where my mother would go to college and one day fall in love with a young student from Kenya.

I am here because that dream made my parents' love possible, even then; because it meant that after my father left, when my mother struggled as a single parent, and even turned to food stamps for a time, she was still able to send my sister and me to the best schools in the country.

And I'm here because years later, when I found my own love in a place far away called Chicago, she told me of a similar dream. Michelle grew up in a working-class family on the South Side during the 1960s. Her father had been diagnosed with multiple sclerosis at just thirty years old. And yet, every day of his life, even when he had to rely on a walker to get him there, Fraser Robinson went to work at the local water filtration plant while his wife stayed home with the children. And on that single salary, he was able to send Michelle and her brother to Princeton.

Our family's story is one that spans miles and generations; races and realities. It's the story of farmers and soldiers; city workers and single moms. It takes place in small towns and good schools; in Kansas and Kenya; on the shores of Hawaii and the streets of Chicago. It's a varied and unlikely journey, but one that's held together by the same simple dream.

And that is why it's American.
 
Kwa mtizamo wangu wa haraka haraka nadhania anataka kumkomoa Obama(chuki binafsi)huyu jamaa 2004 alisema Hope hiko njiani sasa naona anajikanganya.

Edwards Weighs Clinton Endorsement
Former Candidate Torn Between Clinton and Obama in Democratic Race
By RICK KLEIN and RAELYN JOHNSON

Feb. 13, 2008 -

As he weighs a possible endorsement in the Democratic race, former Sen. John Edwards is as split as the party he once hoped to lead and is seriously considering supporting Sen. Hillary Rodham Clinton, despite the sharp criticism he leveled at her on the campaign trail, according to former aides and advisers.

In deciding between his one-time rivals, Edwards appears deeply divided. Several former advisers likened his thought process to a heart-versus-head split with his heart favoring Sen. Barack Obama's strong message of change, and his head attracted to Clinton's tested nature and commitment to tough fights.

Though he sometimes aligned himself with Obama and against Clinton as a candidate, several Edwards campaign insiders say the former senator began to sour on Obama toward the end of his own campaign, and ultimately left the race questioning whether Obama had the toughness needed to prevail in a presidential race.

"He is much more torn than people realize," said one former aide who has stayed in contact with Edwards. "Honestly, he has serious reservations about both of them."

Several people close to the former North Carolina senator say he may ultimately stay neutral in the race, joining former Vice President Al Gore on the sidelines of the tightest Democratic race in decades.

That may become a stronger possibility if Obama continues to build momentum toward the nomination: Edwards does not want to back a losing candidate, and neither does he want to join a bandwagon, aides and associates say. Habari zaid
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom