US election 2020: Nani kuwa mgombea mwenza wa Joe Biden kati ya hawa?

Mbona anatajwa kama African-American lakini Uhindi wake hautajwi?
Ndiyo yale yale ya kuaminishwa kuwa barack Obama alikua ni Mwafrika mwenzenu wakati ni nusu mwafrika na nusu mzungu, halafu huko Afrika alikuja tu kusalimia wakati kiuhalisia alilelewa kizungu na kusomeshwa expensive university lakini ninyi mkam dominate ni mwafrika mwenzenu.
Kwa upande wa Wazungu wanachoamini wao kuwa yeyote anaechanganya damu na Mwafrika ni Mwafrika,ni mtu mweusi

Sio Waafrika walioanzisha huu mfumo wa Ubaguzi ni Wazungu,..

Kuwa mtu mweusi haimaanishi kuwa rangi ya ngozi yako ni nyeusi bali ni mfumo mzima uliotengenezwa wa kumfanya mtu yoyote aliechanganya damu na Mwafrika asiwe sawa na mtu mwengine asie changanya damu na Mwafrika...

That was history, they could not succeed with that
 
UPDATE: Joe Biden said Sen. Kamala Harris is “very much in contention” to be his running mate on the 2020 Democratic ticket, clarifying that he doesn’t hold a grudge against the California lawmaker for attacking him in an early primary debate. [Politico]
 
UPDATE: Joe Biden’s 2020 Running-Mate Decision Draws Closer. Biden has been expected to interview candidates this week and announce decision next week. [WSJ]
 
Kete iko kati ya Kamala Harris na Karen Bass! Sintashangaa kama Bass ataibuka mshndi! Ili Democrats wawe na majority kwenye senate; akiondoka Kamala kazi ya kuwa na senate majority inakuwa ngumu !! Kamala could as well become the next Attorney General.
Nawapenda sana Stacey Abraham, Mayor wa Atlanta, wa DC na San Francisco, ila nadhani atamteua Susan Rice au Kamala Harris.
Kamala Harris.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
NEW: President Trump is claiming that Sen. Kamala Harris was his "number one pick" to be named presumptive Democratic nominee Joe Biden's running mate, knocking her unsuccessful presidential bid and complaining at length that she was "nasty" to Supreme Court Justice Brett Kavanaugh as well as Biden. [The Hill]
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Kamala the Cop! kawa mgombea mwenza wa Biden! Hawa Democrats sijui wanawaza nini. Huyu Jamaican Indian lady aliyewafunga kama hana akili nzuri black American and other people of colour wakati wa usimamizi wake wa sheria ndiye wameona anafaa kweli!?

Trump atawatandika mapema sana kwenye uchaguzi wa mwaka huu.
 
Kamala Harris.

Susan Rice atarudi tena Ikulu in a very prominent strategic role kama Biden atashinda! Now the die is cast and Trump will face the sexual harassment suits soon!! He will put on a yellow jump suit a la' Welestein soon after November.
 
Back
Top Bottom