US dollar withdrawal services

SirAlfred006

JF-Expert Member
Sep 21, 2020
509
1,210
Hujambo kaka/dada.

Iwapo umekwama kufanya muamala wa kubadili na kutoa senti zako zilizopo kwenye PayPal ama Skrill, basi ujumbe huu ni wako.

Ingia inbox tusaidiane.
 
Unataka malipo ama Ni Nini. Weka hapa public ama ndio ofisi yako
Hujambo kaka.
Services zangu ni kwamba nitakusaidia kufanya withdrawal from Paypal and send you your money.
Rate zangu nzuri sana.
Kindly reach me on 0712787501
 
Hujambo kaka/dada.

Iwapo umekwama kufanya muamala wa kubadili na kutoa senti zako zilizopo kwenye PayPal ama Skrill, basi ujumbe huu ni wako.

Ingia inbox tusaidiane.
Screenshot_20221201-094021.png
Screenshot_20221201-094021.png
 
Nna changamoto kuverify account ya skrill kwenye address kila nikituma doc inakuwa rejected... kama unaweza kusaidia
 
Edit weka physical address kama jina na namba ya mtaa na nyunba namba ngap
 
Nionyeshe mfano boss
Nshadata dollar zimegoma kutoka.
Niandikie mfano
Kwa mfano, kama address yako ni: Nafaka bin Kunde
P.O. Box 4587,
Dar es salaam
Unachotakiwa kufanya, ingia hapa ili upate postcode ya eneo lako. Sasa assume unaishi Magomeni, Mtaa wa Suna ambao postcode yako ni 14101, na nyumba unayoishi ni #12, edit bank statement weka anuani ili iwe kama ifuatavyo:-
Nafaka bin Kunde
Magomeni Suna Street, #12
P.O. Box 4587
DSM1401

Dar es salaam.

Kwa upande mwingine, utakavyojaza address kwenye Skrill Form,
Address #1 weka hiyo Magomeni Suna Street, #12
Address #2 Andika Box #
 
Thanx

Asante..haya maelezo yatanisaidia sana. Nmekupm kama utaweza kunisaidia kufanya editing ya bank statement mana nshaupload mpaka barua ya chuo wananiambia too old. Rejected
 
Mkuu siko kwa PC na unaweza edit bankstatement za crdb zinazotumwa kwenye email na uhakikishe tarehe isionyeshe imezidi miezi sita. Niko mbali na PC nakula weekend
 
Ikikupendeza mkuu unaweza kunishaur pia software ya kueditia ingawa photos hop nilishatoaga muda kwenye matumiz yangu
 
Boss kwema. Naomba msaada wako namna gani ninaweza kufanya exchange ya pesa kutoka kwenye skrill wallet yangu kwa kumtumia mtu mwingine katika mfumo wa P2P au USDTSH, alafu yeye anitumie kupitia mobile money, yaani M-Pesa, Tigo pesa n.k.

Asante

Back
Top Bottom