US Department of State, Human Rights 2018 Report on Tanzania.

Brother Pascal ,I'm sure you are not serious here. What kind of democracy is this?
This is a new model of democracy you want to tell the world.

Are you able to defend this kind of democracy to the point that the entire world can understand and support you?
Kwa ripoti hii, tuwaeleze tuu Wamerekani kuwa asanteni kwa urafiki wetu, lakini naishauri serikali yetu, isikubali kupokea misaada yoyote ya Watu wa Marekani, katika maeneo ya ku cover internationally recognized individual, civil, political, and worker rights, as set forth in the Universal Declaration of Human Rights and other international agreements. The U.S. Department of State submits reports on all countries receiving assistance and all United Nations member states to the U.S. Congress in accordance with the Foreign Assistance Act of 1961 and the Trade Act of 1974.

Hivyo hatuhitaji misaada yao kwenye eneo hili na hatutaki wafuatilie human rights records zetu, ila pia tuwaombe, kila wakitoa ripoti yao ya human rights, pia waweke repoti ya haki hizo nchini kwao, tusije kuwa ni ripoti za kunyoosheana kidole kimoja, halafu wao wana vidole vinne vikiwaelekea ila vimekunjwa!.

Hii ndio standard record yetu na kwa upande wa demokrasia, hii ndio Tanzania modal democracy yetu as part of African democracy, mambo mengine ni mambo yetu ya ndani, wao hayawahusu.

P.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa mabeberu wanatambua fika Tanzania sio nchi ya kuwaogopa na kwamba haitishiki na upuuzi wowote ule....

Wanachotaka sie tugombane wao waje wavune rasilimali zetu..

Kama wameona hayo wamwandikie barua ya wazi rais sio kuzungumza mitandaoni tu na ambako unfortunately watumiaji ni asilimia 2 tu.

Maanayake watu million 2 tu ndio watumiaji na kati ya hao wengine wao hawajawahi kupiga kura na wala hawana vigezo,zaidi walichoweza ni kuchafua Tanzania nje ya mipaka yetu kitu ambacho sie wananchi tunaona wanafanya kazi bure kwani wao hawatulishi wala kutuvisha...

Na tutsafisha hadi Washington tukishirikiana na rafiki zetu wa kweli!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo kwa hesabu zako asilimia 2 ya watanzania ni watu milioni 2!

Kazi kweli kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
K

Hawa wazungu hawajui standards zetu za human rights, mfano kwenye ndoa za Kiafrika hata kwenye urafiki tuu wa wapenzi, wenzetu wazungu zile huduma hata kwa mkeo, unaomba unabembeleza, ukikataliwa ni bila bila, ukilazimisha unashitakiwa kwa ubakaji. African modal, mke ni wako mwenyewe, ukihitaji unapaswa kuhukumiwa hakuna kukataa, na ukikataa nguvu inatumika, na huthubutu kushitaki popote watakushangaa.

Hivyo wazungu hawa watuache na African Human Rights records zetu na African Democracy ambapo rais ndio kila kitu, na political rights kwa Tanzanian Democracy ni haki za chama tawala pekee.

P.
Kuna kitu hakipo sawa kwako mzee; wahi ushauri nasaha
 
Hawa mabeberu wanatambua fika Tanzania sio nchi ya kuwaogopa na kwamba haitishiki na upuuzi wowote ule....

Wanachotaka sie tugombane wao waje wavune rasilimali zetu..

Kama wameona hayo wamwandikie barua ya wazi rais sio kuzungumza mitandaoni tu na ambako unfortunately watumiaji ni asilimia 2 tu.

Maanayake watu million 2 tu ndio watumiaji na kati ya hao wengine wao hawajawahi kupiga kura na wala hawana vigezo,zaidi walichoweza ni kuchafua Tanzania nje ya mipaka yetu kitu ambacho sie wananchi tunaona wanafanya kazi bure kwani wao hawatulishi wala kutuvisha...

Na tutsafisha hadi Washington tukishirikiana na rafiki zetu wa kweli!

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa akili yako unaona wanazungumza mitandaoni tu! Eti eee?
 
Brother Pascal ,I'm sure you are not serious here. What kind of democracy is this?
This is a new model of democracy you want to tell the world.

Are you able to defend this kind of democracy to the point that the entire world can understand and support you?

Sent using Jamii Forums mobile app
Demokrasia yetu ni serikali ya watu sisi Watanzania, inayochaguliwa na watu sisi Watanzania, na kuongozwa na watu sisi Watanzania, kwa manufaa ya watu wetu sisi Watanzania. Sio demokrasia kwa ajili ya Wamarekani, wazungu, watu wa dunia, hivyo hata dunia wasipotuelewa as long as ni sisi wenyewe tumekubali, then watuache na demokrasia yetu wasituingilie.

Mfano, Katiba yetu ya Tanzania imeruhusu mikutano ya vyama vya siasa, kiongozi wetu tuliomchagua kupitia Uchaguzi huru na wa haki, na kumuapisha kuwa atailinda Katiba, akapiga marufuku mikutano ya siasa bali kwa chama tawala tuu. Sisi Watanzania kwa umoja wetu tukakubali kuwa hili ni jambo jema, who is American kuja kutusemea kuwa hii sio demokrasia wakati sisi wenyewe tumekubali?.

Watuache na African Democracy yetu na African human rights records zetu.
Nasi watuache na Tanzania yetu, na Tanzania Democracy yetu na Tanzania human rights records zetu, hata mtu akipigwa risasi 16, hakuna uchunguzi wowote hadi shuhuda apone arejee nyumbani ndipo uchunguzi uanze.
Wasituingilie.
P
 
Kwa ripoti hii, tuwaeleze tuu Wamerekani kuwa asanteni kwa urafiki wetu, lakini naishauri serikali yetu, isikubali kupokea misaada yoyote ya Watu wa Marekani, katika maeneo ya ku cover internationally recognized individual, civil, political, and worker rights, as set forth in the Universal Declaration of Human Rights and other international agreements. The U.S. Department of State submits reports on all countries receiving assistance and all United Nations member states to the U.S. Congress in accordance with the Foreign Assistance Act of 1961 and the Trade Act of 1974.

Hivyo hatuhitaji misaada yao kwenye eneo hili na hatutaki wafuatilie human rights records zetu, ila pia tuwaombe, kila wakitoa ripoti yao ya human rights, pia waweke repoti ya haki hizo nchini kwao, tusije kuwa ni ripoti za kunyoosheana kidole kimoja, halafu wao wana vidole vinne vikiwaelekea ila vimekunjwa!.

Hii ndio standard record yetu na kwa upande wa demokrasia, hii ndio Tanzania modal democracy yetu as part of African democracy, mambo mengine ni mambo yetu ya ndani, wao hayawahusu.

Hawa wazungu hawajui standards zetu za human rights, mfano kwenye ndoa za Kiafrika hata kwenye urafiki tuu wa wapenzi, wenzetu wazungu zile huduma hata kwa mkeo, unaomba unabembeleza, ukikataliwa ni bila bila, ukilazimisha unashitakiwa kwa ubakaji. African modal, mke ni wako mwenyewe, ukihitaji unapaswa kuhukumiwa hakuna kukataa, na ukikataa nguvu inatumika, na huthubutu kushitaki popote watakushangaa.

Hivyo wazungu hawa watuache na African Human Rights records zetu na African Democracy ambapo rais ndio kila kitu, na political rights kwa Tanzanian Democracy ni haki za chama tawala pekee.

P.
Kweli Paschal unashsbikia watanzania kuuawa na kutekwa kisa unata uteuzi?!
Watanzania tunaweka akili mfukoni kisa njaa.

Je tumesha jipanga kutokuwa tegemezi kwa mabeberu ukiishi kwenye nyumba ya vioo................!
 
Kila nchi yenye kiti kwenye umoja wa mataifa inaendesha mambo yake kulingana na utamaduni wake. Kinachotakiwa hapa ni kuachana kabisa na hii tabia ya kuendesha mambo yetu kwa kutegemea misaada kutoka nje, badala yake tukope.
 
Back
Top Bottom