US, Britain Close Embassies in Yemen because of Al Qaeda Threats | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

US, Britain Close Embassies in Yemen because of Al Qaeda Threats

Discussion in 'International Forum' started by Ab-Titchaz, Jan 3, 2010.

 1. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #1
  Jan 3, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  [​IMG]


  SAN'A, Yemen - The U.S. and Britain closed their embassies in Yemen on Sunday in the face of al-Qaida threats, after both countries announced an increase in aid to the government to fight the terror group linked to the failed attempt to bomb a U.S. airliner on Christmas.

  The confrontation with al-Qaida's offshoot in Yemen has gained new urgency since the 23-year-old Nigerian accused in the attack, Umar Farouk Abdulmutallab, told American investigators he received training and instructions from the group's operatives in Yemen. President Barack Obama said Saturday that the al-Qaida offshoot was behind the attempt.

  White House counterterrorism chief John Brennan said the American Embassy, which was attacked twice in 2008, was shut Sunday because of "indications al-Qaida is planning to carry out an attack against a target inside of San'a, possibly our embassy."

  "We're not going to take any chances" with the lives of embassy personnel, Brennan said. A statement on the embassy's Web site announcing the closure did not say how long it would remain closed.

  In London, Britain's Foreign Office said its embassy was closed for security reasons. It said officials would decide later whether to reopen it on Monday.

  The closure comes as Washington is dramatically stepping up aid to Yemen to fight al-Qaida, which has built up strongholds in remote parts of the impoverished, mountainous nation where government control outside the capital is weak.

  Over the weekend, Gen. David Petraeus, the U.S. general who oversees the wars in Iraq and Afghanistan, announced that Washington this year will more than double the $67 million in counterterrorism aid that it provided Yemen in 2009. On Saturday, Petraeus met with Yemeni President Ali Abdullah Saleh to discuss coordination in the fight against al-Qaida.

  Britain announced Sunday that Washington and London will fund a counterterrorism police unit in Yemen. Britain will also host a high-level international conference Jan. 28 to come up with an international strategy to counter radicalization in Yemen.

  http://www.huffingtonpost.com/2010/01/03/us-and-british-close-emba_n_409644.html
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Jan 3, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,499
  Likes Received: 19,914
  Trophy Points: 280
  osama ..watahamia somali
   
 3. B

  Bull JF-Expert Member

  #3
  Jan 3, 2010
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  This is onather America and Western propaganda to justify and advance killing of innocent men women and children in Yemen. No wander!! To hell
   
 4. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #4
  Jan 3, 2010
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,844
  Likes Received: 1,106
  Trophy Points: 280
  wew hujasikia kwamba al quada wapo Yemen? hujasikia Serikali ya Yemen ikiomba msaada kwa Marekani na Ulaya wa kupambana na al -quada? Tatizo lenu ndo kama lile lile la M9ja. Mnajificja ktk visiki vya dini, innocents etc. Je? raia wanaouawa na al-quada si innocent?

  Mimi ningekuwa UN ningeshawishi itangazwe vita dhidi ya vikundi vyote vya kigaidi, tupukutishe hawa washenzi huku Yemen, Somalia, afg nk ili washindwe kwa kujificha.

  Tena hii ya kukamua Yemen itakuwa nzuri sana watajua kwamba wakigusa tu wanalipuliwa. waalifanya 9/11 moto ukawawakia, wamemtuma m9ja alipue ndege, moto utawawakia sasa hivi. hii ndo dawa yao wauaji hawa.
   
 5. B

  Bull JF-Expert Member

  #5
  Jan 3, 2010
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hii haikupunguza bali iliongeza mapambano na ugaidi duniani, hakuna ushahidi wowote kuwa haya mabomu ya Amerika yalpunguza chochote zaid kuongeza mapambano, as result maisha ya wamerikani na west, uchumi yamekua magumu, wakati huo waChina wanakata mbuga
   
 6. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #6
  Jan 3, 2010
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Chuki zitakuua, msaada waombe Yemen wenyewe kulaumiwa walaumiwe wengine ebo!!
   
 7. m

  mzanganyika JF-Expert Member

  #7
  Jan 4, 2010
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 257
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  I think waumini wa dini zote tuungane kuomba amani badala ya kurushiana 'makombora'.

  Ila tukumbuke kwamba hakuna amani bila ya haki-je munaohubiri demokrasia na munaojifanya mapolisi wa dunia muko tayari kusaini makubaliano ya kusafisha nukes dunia nzima. Yaani kila taifa lisiwe na uwezo wa kuangamiza wengine?

  Hilo likijibiwa tunaona nani is serious with peace na nani anapiga propoganda lakini hataki peace.

  Je, munadai munapenda demokrasia na haki muko tayari kuona UN resolutions ju ya mashariki ya kati na kote ulimwenguni zinatekelezwa?

  Mukikataa nitakuwa na mashaka kama muko serious.
   
 8. Mwazange

  Mwazange JF-Expert Member

  #8
  Jan 4, 2010
  Joined: Nov 16, 2007
  Messages: 1,051
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mie wananiacha hoi askari wamekula sendozi...
   
 9. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #9
  Jan 4, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Hila inasikitisha habari ya huyu dogo; ajatoka kwenye njaa kabisa like most common suicide bombers. Halikua akisoma chuo cha kujifunza kiarabu huku ya UK ambacho wanasoma hata international journalists.

  Na alikua anaishi kwenye millionaires row; cha kushangaza alikua already known to M15 for his fundamentalists views na alinyimwa visa kurudi UK aliporudi kwao Nigeria. News Channel zinasema chuo chake kilikua cha uongo alichoombea Visa mara ya pili though not mentioned what name.

  The puzzle still remains ilikuaje aka board plane ya kwenda US ukati baba yake alisha mlipoti US embassy kwamba mwanawe amekua na fundamendalist view tangia atoke Yemen. Hii ilikua a month kabla ajaomba visa na kupanda ndege.

  Hii inatufanya sceptics tujiulize au America walikua wanasubiri matokeo wa justify intrance huko Yemen. Maana sasa imekua kwenye CIA watch list as a safe heaven for terrorosts groups.
   
 10. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #10
  Jan 4, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Mimi pia nakuunga mkono mkuu Juma Contena inakuwaje hao CIA na FBI wamesha ambiwa na Baba ya Huyo mtoto kuwa mwanae amesha kuwa fundamentalists views inakuwaje hao Wamarekani wamempa Viza? basi hata hao Wamarekani pia ni magaidi mnampa Mtu viza wakati mumesha ambia kuwa huyo mtu mi mbaya mnataka muthibitishe ubaya wake? ama kweli Azabu ya kaburi ajuaye ni Maiti huo ni upumbavu wa mwisho kumngojea mtu mpaka aripue ndege kwa bomu kisha eti ndio mumkamate Ehhhh kweli wajinga ni waliwao siku zote huo ni ujinga wa mwisho kabisa.
   
 11. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #11
  Jan 4, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Wanafuata Kantonian Philosophical approach sometimes its best to sacrifice a few for a grater course.

  Hapo ndio mzungu anapokua mnyama nothing else; the rest is just propaganda to validate their actions aimed at their citizens. Ajabu miafrika inadandia treni kwa mbele.
   
 12. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #12
  Jan 4, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Mku Nemesis kashindwa Rais George Bush kumaliza Magaidi Duniani Je wataweza UN? na kuhusu walivyolipuwa mwezi 9/11/2001 ni uongo mtupu Osama Bin Laden hakulipuwa hizo ndege wala al Qaeda hawakufanya hivyo kulipuwa yale majumba Makubwa ya ulimwenguni ni wao wenyewe Amerika wameripua ili waende kuiba IRAQ mafuta na kumtowa SAADAM HUSEIN katika Madaraka kazi hiyo ya kumtowa SAADAM HUSEIN alishindwa baba yake Bush mwaka 1991 kwenye vita vya Kuwait alipokuja Bush .Mtoto ndio kaja kumaliza kiporo alichoacha baba yake Mzee Bush hebu soma hapa kuhusu Uongo huo waalifanya 9/11

  9/11: The biggest lie in history!
  [ame]http://www.youtube.com/watch?v=7E3oIbO0AWE[/ame] This video was sent to me by Mike Di; may Allah Almighty bless him by leading him to Islam. Ameen. Very powerful evidence, exposing the conspiracy, presented in this video!
  [ame="http://video.google.com/videoplay?docid=-649993991751648213"] http://video.google.com/videoplay?docid=-649993991751648213[/ame] (9/11 Justice)
  [ame="http://www.youtube.com/watch?v=P_q6j6BZkHQ"] 9/11: The biggest lie in history![/ame][ame="http://www.youtube.com/watch?v=P_q6j6BZkHQ"] (Part I)[/ame]Watch this video from White-Americans (not Arab-Muslims) proving that the Pentagon-bombing was done by a Global Hawk drone! No human-bodies, no airplane-debris of boeing 757, and no luggage were found! Also, no noise was either recorded or detected by any ordinary person!​
  [ame="http://www.youtube.com/watch?v=63un5d_xcC0&mode=related&search="] Part II.[/ame]
  [ame="http://www.youtube.com/watch?v=aac6KmdycsI&mode=related&search="] Part III.[/ame]
  [ame="http://www.youtube.com/watch?v=GcQBp264CME&mode=related&search="] Part IV.[/ame]
  [ame="http://www.youtube.com/watch?v=UD0U8fcd8uw&mode=related&search="] Building 7 & Twin Towers Demolition ("Deceptions" part 2)[/ame] Did the building really collapse on its own?​
  [ame="http://www.youtube.com/watch?v=PPMCqDJHfeY&mode=related&search="]Painful Questions about September 11 -Part 1.[/ame]​
  [ame="http://www.youtube.com/watch?v=iNdtTnzf5YU&mode=related&search="] Part II.[/ame]
  [ame="http://www.youtube.com/watch?v=5w8o4jqHwV4&mode=related&search="] Part III.[/ame]
  [ame="http://www.youtube.com/watch?v=uUcGHSL3qek&mode=related&search="]Pentagon attack Analysis ("Deceptions" part 1)[/ame]​
  [ame="http://www.youtube.com/watch?v=seP-yvBH3Uo&mode=related&search="]Media Deception from Oklahoma to 911 ("Deceptions" part 3)[/ame]​
  [ame="http://video.google.com/videoplay?docid=5651675924179685534&q=loose+change&hl=en"] http://video.google.com/videoplay?docid=5651675924179685534&q=loose+change&hl=en[/ame] (part 1)

  [ame="http://video.google.com/videoplay?docid=7866929448192753501&q=loose+change&hl=en"] http://video.google.com/videoplay?docid=7866929448192753501&q=loose+change&hl=en[/ame] (part 2 and this one discusses the pentagon and united 93 crashes in more detail)
  A six-part video with ample evidence about the bombing of the Pentagon being A HOAX!

  1. [ame="http://www.youtube.com/watch?v=v7zp-08Axi8"] http://www.youtube.com/watch?v=v7zp-08Axi8[/ame]
  2. [ame="http://www.youtube.com/watch?v=JQ4cNxFVNow&mode=related&search="] http://www.youtube.com/watch?v=JQ4cNxFVNow&mode=related&search=[/ame]
  3. [ame="http://www.youtube.com/watch?v=1rG7RoEW_Ak&mode=related&search="] http://www.youtube.com/watch?v=1rG7RoEW_Ak&mode=related&search=[/ame]
  4. [ame="http://www.youtube.com/watch?v=VdUOTJaCkm0&mode=related&search="] http://www.youtube.com/watch?v=VdUOTJaCkm0&mode=related&search=[/ame]
  5. [ame="http://www.youtube.com/watch?v=3r81RCp7mqY&mode=related&search="] http://www.youtube.com/watch?v=3r81RCp7mqY&mode=related&search=[/ame]
  6. [ame="http://www.youtube.com/watch?v=SSJws-Yxsyc&mode=related&search="] http://www.youtube.com/watch?v=SSJws-Yxsyc&mode=related&search=[/ame]

  What some Leaders and People-in-Charge Said:
  [ame="http://www.youtube.com/watch?v=HkpOsUmp-9w"] Bush Administration Insider Says U.S. Government Behind 9/11.[/ame]
  An interview with the former German Defense Minister saying that the US carried out/helped with the 9/11 attacks!
  An interview with a former US Army General who also personally knows who shot down flight 93!
  Rumsfeld said flight 93 was shot down!

  Our site in the Media:
  [ame="http://www.youtube.com/watch?v=P8GPncnoaIE"] http://www.youtube.com/watch?v=P8GPncnoaIE[/ame]
   
 13. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #13
  Jan 4, 2010
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,844
  Likes Received: 1,106
  Trophy Points: 280
  Tatizo la mnaotetea ugaidi sijui dini hamtaki ukweli. Yule dogo hakuomba visa mwaka jana (2009) alikuwa na visa ya utalii ya miaka 2 toka 2008. Muwe mnasoma habari nzima siyo aya zinazowafurahisha tu. Wala hakuna sababu yenye msingi ku-justify ugaidi.
   
 14. Triplets

  Triplets JF-Expert Member

  #14
  Jan 4, 2010
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 1,103
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  inaelekea si mchezo hawa pamoja na sendozi zao...la sivyo hivyo vita vingekuwa vimeisha siku nyingi wamerekani wakiwa washindi na osama angekuwa keshakamatwa kitambo, hawa jamaa wangekuwa na mabuti na kabrasha mgongoni na ma mbwembwe kama ya wamarekani sijui ingekuwaje

  Mi nachoomba ni amani tu baasi..
   
 15. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #15
  Jan 5, 2010
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Juma Contena na Mzizimkavu, huyo dogo alikuwa tayari na visa ya miaka miwili tangu 2008 (alishiriki kongamano la kiislamu Houston, TX) vile vile hakuwa kwenye No-Fly List.
   
 16. B

  Bull JF-Expert Member

  #16
  Jan 5, 2010
  Joined: Nov 4, 2008
  Messages: 984
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Hakuna anae justify ugaidi hapa, tunachosema ni wamerikani waache ugaidi, unyanyasaji na ubabe kwa nchi nyingine, mambo haya marikani waliyafanya miaka mingi kabla hata Alqaida na majina mengine hayakuwepo duniani.


  Duniani imebadilika, nchi au individual wata take action wakiona wamarikani wanzidi kuuwa around the world. Unless you are stupid huwezi kuona mabaya ya wamarikani utaona tu ya wananchi wachache wakaida wanapambana. the end of the day wewe na mimi ni victim wa hawa individual au wamarikani
   
Loading...