Us blogger atoka gizani

ChingaMzalendo

Senior Member
Nov 9, 2008
192
3
Makubwa kama siyo madogo. Kelele zote, hatimaye Us blogger ajitambulisha na kuamua kujitosa kugombea Ubunge Jimbo la TEMEKE. Wakuu, maneno ya US blogger mwenyewe

Bado anaendelea na kutaka mjadala live kwenye luninga, hawa wadau chambueni. Hii hapo chini ndo linki yenye habari kamili

Chanzo: Michuzi Blog
 
Back
Top Bottom