US ana COVID19 cases nyingi sababu anafanya massive-testing (more people have been tested)

Chenchele

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
1,937
2,420
I heard some people ati Wana claim eti US ndo wanaongoza Kwa cases za coronavirus infections, the sad truth is US ana test watu wengi per day than any country.

Other countries Wana subiri mpaka mtu aanguke au ipigwe simu kwamba kuna mtu kalala huku, US wana vifaa vingi that means wanafanya tests nyingi, their COVID19 testing rate is higher.

Kama every country ifanye testing ya population yake yote kunaweza kua na nchi zenye COVID19 cases nyingi than US.

The fact is;

US ana cases Zaid ya 100k but vifo havifiki 2,000

Lakini wenye cases chache kama Spain, China, Italy, etc Wana vifo vingi Zaid ya 5,000 each, you see?

If hizi countries zikifanya massive-testing kama US, nafikiri US haitamake top five Kwa cases.

The issue is testing equipment ziko ngapi?

Angalia hizi real-time data below kutoka worldometer website, compare cases, death, rates, etc.
_20200328_112148.JPG
 
Kwahiyo lengo la huu uzi ni kuitetea America?,pathetic
I heard some people ati Wana claim eti US ndo wanaongoza Kwa cases za coronavirus infections, the sad truth is US ana test watu wengi per day than any country.

Other countries Wana subiri mpaka mtu aanguke au ipigwe simu kwamba kuna mtu kalala huku, US wana vifaa vingi that means wanafanya tests nyingi, their COVID19 testing rate is higher.

Kama every country ifanye testing ya population yake yote kunaweza kua na nchi zenye COVID19 cases nyingi than US.

The fact is;

US ana cases Zaid ya 100k but vifo havifiki 2,000

Lakini wenye cases chache kama Spain, China, Italy, etc Wana vifo vingi Zaid ya 5,000 each, you see?

If hizi countries zikifanya massive-testing kama US, nafikiri US haitamake top five Kwa cases.

The issue is testing equipment ziko ngapi?

Angalia hizi real-time data below kutoka worldometer website, compare cases, death, rates, etc.View attachment 1401625

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio US inajitahidi kupima sehemu kubwa ya population yake lakini kusema vifo ni vichache ukilinganisha na visa vyake (zaidi ya 100k) na kufananisha na Italy utakuwa kuna kitu hujazingatia.

Kwanza, corona sio kama malaria, corona ina taratibu zake za kuua (inaua baada ya wiki kadhaa kupita)

Pili, Italy na Spain, ziliitangulia Marekani ktk kukumbwa na janga la corona, na hivyo nchi hizo tatu ziko ktk phase tofauti za ugonjwa.

Wakati Italy ilishafikia phase ya mifumo ya huduma za afya kuelemewa (kushindwa nguvu) na wingi wa wagonjwa waliofikia hatua ya kuhitaji msaada wa vipumulia, Marekani bado kufikia hapo. Ila ktk wiki ya kwanza ya April hatua hiyo itaanza kufikiwa.

Kumbuka sasa hivi tu, idadi ya hospitali/zahanati zilizopo US zinashindwa kumudu ongezeko la wagonjwa. Mabweni, hosteli, nyumba za wauguzi na maeneo mengine yenye uwezekano, yanatiwa vitanda na kuanza kulaza na kuhudumia wagonjwa wa corona. (China yeye alijenga jihospitali kubwaa ndani ya siku chache tu ili kumeza ongezeko la wagonjwa)

Ukitaka kufananisha idadi ya vifo kwa nchi tofauti, basi ni vizuri uangalie mtiririko wa idadi ya vifo kwa kila siku toka siku no 1 ( siku ya kwanza kuripotiwa kifo nchini), 2, 3... Hizo siku zitakuwa zaashiria mfanano wa phase ya ugonjwa.
 
Hatuombei ila hata hao US walianza kama US Kabla Yamifumo Yao Yakitiba Kuelemewa Nakuzidiwa Na Wimbi La Wagonjwa Mpaka Wakatangaza Kama Hawanatena Uwezo Wakudhibiti Maana Wagonjwa Wamekua Wengi Kuliko Wauguzi Nakuliko tiba Pia
I heard some people ati Wana claim eti US ndo wanaongoza Kwa cases za coronavirus infections, the sad truth is US ana test watu wengi per day than any country.

Other countries Wana subiri mpaka mtu aanguke au ipigwe simu kwamba kuna mtu kalala huku, US wana vifaa vingi that means wanafanya tests nyingi, their COVID19 testing rate is higher.

Kama every country ifanye testing ya population yake yote kunaweza kua na nchi zenye COVID19 cases nyingi than US.

The fact is;

US ana cases Zaid ya 100k but vifo havifiki 2,000

Lakini wenye cases chache kama Spain, China, Italy, etc Wana vifo vingi Zaid ya 5,000 each, you see?

If hizi countries zikifanya massive-testing kama US, nafikiri US haitamake top five Kwa cases.

The issue is testing equipment ziko ngapi?

Angalia hizi real-time data below kutoka worldometer website, compare cases, death, rates, etc.View attachment 1401625
US Tuwape Muda Nawao Japokua Wengine Hatuombei Kesi Nyingi Zaidi Navifo Vingi Zaidi

Sent using My COVID-19
 
Kwahiyo lengo la huu uzi ni kuitetea America?,pathetic

Sent using Jamii Forums mobile app
Nope siitetei America, ili nilisikia watu wanasema eti US ndo kakumbwa pakubwa kumbe wako wrong in terms of data analysis

Uwingi wa cases sio indicator ya fatalities.

You can have more cases but higher recovery rate and few deaths which means health systems is more advanced Kuokoa life ya critical patients.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Mkuu, tunaomba muongozo tafadhali; Tukusikilize wewe mmatumbi mwenzetu, au tuwasikilize wataalamu (wabobezi) wenyewe wa Marekani?

View attachment 1401747

View attachment 1401750
Model prediction, that means not yet, it's a prediction based on current progress. If the current status/progress changes that prediction is invalid otherwise it'll hold if everything remain as its, I mean if the govt doesn't take any measures.

Au neno prediction ni shida kwako mkuu?
 
Mkuu, una tatizo la uelewa namna predictions zinavyofanywa.

Prediction inapofanywa ktk jambo fulani na wataalamu wabobezi, huwa inazingatia situation/capabilities/resources zote zilizopo na possibly zitazopatikana baadae ndani ya muda husika. Na ndio maana model itakupatia range, median na average. Kama ulikuwa huelewi, hiyo range (mfano UW wamesema vifo vitakuwa 38,000-162,000) inasababishwa na assumptions mbalimbali kwamba hali ikiboreshwa hivi basi matokeo yatakuwa hivi.

Huwezi kuwa mjuzi zaidi ya wataalamu husika ktk fani husika, kwa kutegemea kwako tu elimu (pengine kishahada kimoja) ya kukaririshwa Tanzania.
 
Chenchele

Mkuu naona kuna mambo mawili yanakusumbua either hauna maelezo ya kutosha au kutaki kukubali ukweli hivyo trump kakuingiza KING kama alivyowaingiza wamerekani wengi.

Ukitaka kulinganisha uwingi wa upimaji usisahau kuangalia na idadi ya watu ndani ya nchi. Ukitaka ujue ni kiasi gani marekani imepigwa bao angalia test per capita kat ya america versus korea kusin au china. Usa wako very behind kitu ambacho hakikutegemewa kutoka kwa super power

Pia kuhusu vifo apo ndo kwanza picha linaanza ukishangaa italy kuscore 919 death per day subiri kwa usa mambo yakipamba moto watakuwa wafa maelfu kwa siku. Waweza shangaa kwa sababu gan ? Ni sababu at that time health workers watakuwa n fatigue n wengi washaenda pia n janga

Mtu wa kublame ni trump kwa sababu alichukulia janga kisiasa kama kusema virus ni ya chinavirus rating zake zikawa zapaa sasa yaonekana virus anawapenda sana wamerekani, pia Trump amekuwa akitoa habr nyingi zisizo za ukweli akitoa maneno ya matumain kam huyo virus n mafua tu yataisha yenyewe ukweli ni kwamba sio mafua huyu mududu

Hichi ni kikombe kinapasiwa kipo italy atafwata spain then UK then france Germany slaf usa kikitok Marekani kitakapotua hali itakuwa ni full komedi juu ya maisha haya
 
Model prediction, that means not yet, it's a prediction based on current progress. If the current status/progress changes that prediction is invalid otherwise it'll hold if everything remain as its, I mean if the govt doesn't take any measures.

Au neno prediction ni shida kwako mkuu?
Wachina wameenda against all predictions
 
Unakera sijui lugha gani hii unayotuandikia bora uchague moja Kama kingereza ama kiswahili ili ueleweke unaruumiza macho tu katika kusoma
I heard some people ati Wana claim eti US ndo wanaongoza Kwa cases za coronavirus infections, the sad truth is US ana test watu wengi per day than any country.

Other countries Wana subiri mpaka mtu aanguke au ipigwe simu kwamba kuna mtu kalala huku, US wana vifaa vingi that means wanafanya tests nyingi, their COVID19 testing rate is higher.

Kama every country ifanye testing ya population yake yote kunaweza kua na nchi zenye COVID19 cases nyingi than US.

The fact is;

US ana cases Zaid ya 100k but vifo havifiki 2,000

Lakini wenye cases chache kama Spain, China, Italy, etc Wana vifo vingi Zaid ya 5,000 each, you see?

If hizi countries zikifanya massive-testing kama US, nafikiri US haitamake top five Kwa cases.

The issue is testing equipment ziko ngapi?

Angalia hizi real-time data below kutoka worldometer website, compare cases, death, rates, etc.View attachment 1401625

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I heard some people ati Wana claim eti US ndo wanaongoza Kwa cases za coronavirus infections, the sad truth is US ana test watu wengi per day than any country.

Other countries Wana subiri mpaka mtu aanguke au ipigwe simu kwamba kuna mtu kalala huku, US wana vifaa vingi that means wanafanya tests nyingi, their COVID19 testing rate is higher.

Kama every country ifanye testing ya population yake yote kunaweza kua na nchi zenye COVID19 cases nyingi than US.

The fact is;

US ana cases Zaid ya 100k but vifo havifiki 2,000

Lakini wenye cases chache kama Spain, China, Italy, etc Wana vifo vingi Zaid ya 5,000 each, you see?

If hizi countries zikifanya massive-testing kama US, nafikiri US haitamake top five Kwa cases.

The issue is testing equipment ziko ngapi?

Angalia hizi real-time data below kutoka worldometer website, compare cases, death, rates, etc.View attachment 1401625
Hata wachina waliokufa ni wengi kuliko hao ambao tumetangaziwa. Ufichaji wa taarifa ni mwingi sana hasa kwenye mataifa ya kikomunisti
 
Sasa USA wanafeli wapi wakati wanamkwanja wa kufadhili vikundi vya kigaidi na kupindua serikali wasizozitaka duniani?

Back
Top Bottom