Zanzibar 2020 US Ambassador to Tanzania: Maalim Seif and his colleagues should be released immediately

Mhhh mbona anaongea kama nchi ni yake??anajuwa sababu ya wenyewe kukamatwa...anyway inabidi Tanzania kuwa makini maana Libya na Mirsi wote wamepitia huko....hawa US ni watu wabaya sana tena sana hasa wakiona nchi inafanya vizuri...
Hawa ni watu wabaya sana, lakini inafika wakati ubaya wao ni mzuripale watawala wanapoonea watu wao.

Tangu 1995 kura zanzibar zinaibiwa lakini walau haikuwa sahani mzima. Nakwambia kuna possibility kubwa dunia kugongana na Jua kuliko CCM kushinda Pemba. Hili hata wana ccm wenyewe nafsi zinawasuta.
 
Nonsense! Kwanini wasihangaikie uchaguzi wao ambao una kila dalili ya kuliingiza taifa lao kwenye constitutional crisis iwapo racist president wao atashindwa uchaguzi na kukataa matokeo?
Ukweli ni kwamba huko kwao ma racist ni wengi sana na wanamtaka Trump ashinde tena.
 
Anaweza asipelekwe yeye maana muda huu hana power ya kutoa maagizo. Wa kupelekwa ni Magufuli na Shein, kama tutafika huko
Kwani huseni mpaka anagombea si alikuwa bado ni waziri wa ulinzi? Au aliacha nafasi hio? Kama hakuacha anahusika moja kwa moja
 
Mhhh mbona anaongea kama nchi ni yake??anajuwa sababu ya wenyewe kukamatwa...anyway inabidi Tanzania kuwa makini maana Libya na Mirsi wote wamepitia huko....hawa US ni watu wabaya sana tena sana hasa wakiona nchi inafanya vizuri...
Wanajua sababu wa wao kukamatwa? Jiwe anatumia iphone na iphone wanatengeneza wao. So wanajua kila kitu kinacho endelea.


Sent from my SM-A515F using JamiiForums mobile app
 
Tafsiri ya tweet no 2.

Kabla ya kura kupigwa, kuligubikwa na vurugu na ukandamizaji. Makosa yaliyoripotiwa wakati wa kura ya jana na kukamatwa leo kwa Viongozi wa Upinzani haikubaliki na inaharibu maendeleo ya Kidemokrasia nchini. Viongozi wa Tanzania lazima WAWAJIBISHWE.
Wao kina nani?
 
Detaining opposition leaders is not the act of a government confident in its electoral victory. Maalim Seif and his colleagues should be released immediately.

View attachment 1615653View attachment 1615654
Jana ilikuwa siku mbaya kwangu kuliko siku zote toka niwe na akili. Nimeijutia nchi yangu na machozi ya majuto yangu yametumbukia tumboni mwangu na kunitia uchungu mkuu.

Kilichoniuma zaidi sii mtu au chama fulani kushinda au kushindwa, hapana! Ni jinsi nchi iliyokuwa huru na amani na makuzi ya demokrasia ghafla kuangukia chini ya utawala wa kubabe. Raia wakiwekwa kati wasipumue wala kuwa na maamuzi chini ya makatili wakuu wa mikoa wakuu wa wilaya wakurugenzi Rpc's Rco"s Ocd"s.

Nimeangalia picha ya mnato ikimuonyesha DC Ole sebaya na bunduki katika kutekeleza uharamia bila hofu yoyote nikakumbuka straggling ya watu wa S. Afrika walipokuwa wakipigana kujinasua kwenye makucha ya wabaguzi weupe.

Taifa la Tanzania limetumbukizwa kwenye straggling ya kujinasua mikononi mwa watawala wabaguzi. Naamini ukombozi wetu upo karibu kuliko tunavyofikiri.

Giza linapokuwa totoro ni ishara ya mapambazuko. Mungu irehemu nchi yangu Tanzania!
 
Hizi ndio sababu watanzania wamewapiga chini kulilia utumwa.

Hamuwezi kupata public support mkiendelea na upuuzi wakutukuza wazungu.

Yaani ata watu wanaowasikitikia kwa matokeo ya uchaguzi wanapoona huu upuuzi wenu mnawafanya waone you deserve what you got haraka sana.
 
Hao walioshinda hata furaha hawana.
Si kwel..mtu anauhakika wa kiinua mgongo cha zaid ya 300m...mshahara wa mwezi wa karibia 14m...na posho ya karibia 200k kwa siku..hapo bado posho za kamati..inshort mbunge kwa mwez kama kaitulia vzur anauhakika wa kama 20m hiv

Halaf unambie hawana furaha...
 
Mhhh mbona anaongea kama nchi ni yake??anajuwa sababu ya wenyewe kukamatwa...anyway inabidi Tanzania kuwa makini maana Libya na Misri wote wamepitia huko....hawa US ni watu wabaya sana tena sana hasa wakiona nchi inafanya vizuri...
Wewe matako kweli hujui watu wamekufa kwa sababu ya wajinga wachache
 
Kwa arusha watu walijazwa mahotelini usiku wa tarehe 27/10/2020 kule amazon, kitundu nk. kura zilipigwa usiku ndani ya jengo la CCM mkoa na kupelekwa vituoni chini ya ulinzi wa polisi na kuingizwa kwa nguvu. waliojaribu kuzuia risasi zilipigwa juu na kutawanya watu. hii ndiyo sababu mitandao ilizuiliwa kuzuia ku share picha na video za matukio
 
Haifurahishi hata kidogo, Ismail Jussa amepasuliwa sana na yupo mahutihuti, halafu unaona baadhi ya waganga njaa wanadhihaki.

Hii haikubaliki hata kidogo, nabariki tupigwe sanctions mpaka akili ikae sawa
Akome kuvunja sheria. Na wazidi kumpasua. Hatuwezi kuharibiwa amani yetu kisa kina Jusa kwa uroho wa madaraka.
 
Mabeberu watu wa ajabu Sana. Yani Wanataka hata kutufundiaha jinsi ya kuwaza, yani tuwaze na kutenda kama waonavyo wao si upuuzi huo.Wameona magu kawakazia, ile mirija yao ya kufyonza rasilimali imekatwa sasa imekuwa nogwa. Nyerere aliona mbali sana, nchi hizi za ki Africa bila kujitegemea na kuondoa tongotongo kichwani na ukoloni mamboleo hautaondoka.
CCM wakienda ulaya kuomba omba misaada huwapigia magoti wazungu kwa kuita wafadhili wahisani lakini hao hao wazungu wakikataa upumbavu unyanyasaji uonevu uovu unyama wa CCM hugeuka na kuwaita wanaume wenzenu mabeberu utazani nyinyi CCM ni mbuzi jike
 
Hili ndilo linaloshangaza zaidi...
Labda zile kauli "...watalipa kupitia tundu lolote... ukila vya wanaume jua utavilipa!!" Ndio zinawaogofya...
Wewe umekula vya polepole ukashiriki kuiba kura sasa upo gheto kwake unalipa?
 
Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika bali kuna vioja maigizo ya kuuhadaa ulimwengu tu
 
Back
Top Bottom