Uchaguzi 2020 US Ambassador to Tanzania: I am concerned, if election officials do not take necessary steps, country's democracy will lose credibility

Ana wasiwasi mapandikizi yao yatashindwa.

Kwa kifupi ndio yameshashindwa! Tena atulie kabisa watanzania wanajua wanachokitaka

Hatupangiwi
Kama tulivyowahi kuwakwamua waganda kwny makucha ya dikteta idd Amin Dada, nasi kwa sasa tunahitaji kunasuliwa haraka toka kwa mkoloni mweusi ccm
 
Kuna hatari ya nchi yetu kuwa playground ya mataifa makubwa na hii ni hatari katka historia ya nchi yetu. Tuchukue tahadhari.
 
Bila nguvu ya vikwazo vya jumuiya ya kimataifa CCM hawawezi kuelewa,walivyobinywa na World Bank kuhusu sheria ya Takwimu mbona walinywea na wakakimbilia bungeni kuibadilisha.
Ila mitandaoni wanasema hawababaishwi na mabeberu na wafuasi wao wanatukana kwelikweli.

Mfano huyu Balozi kama ni Beberu kwanini Polisiccm wasimkamate wamuhoji kwa kuingilia siasa za TZ matokeo yake nao wametafta beberu lao China ndo anapiga simu kulima mkwara marekani. Thubutuu

#SasaBaaaaaasi
 
Kama tulivyowahi kuwakwamua waganda kwny makucha ya dikteta idd Amin Dada, nasi kwa sasa tunahitaji kunasuliwa haraka toka kwa mkoloni mweusi ccm
Tukutane kwenye sanduku la kura 28102020
IMG-20201022-WA0086.jpg
IMG-20201022-WA0086.jpg
 
Ila mitandaoni wanasema hawababaishwi na mabeberu na wafuasi wao wanatukana kwelikweli.

Mfano huyu Balozi kama ni Beberu kwanini Polisiccm wasimkamate wamuhoji kwa kuingilia siasa za TZ matokeo yake nao wametafta beberu lao China ndo anapiga simu kulima mkwara marekani. Thubutuu

#SasaBaaaaaasi
CCM wanaelewa ukichaa wa Wamarekani ndiyo maana hawathubutu kumfanyika vituko walivyomfanyia balozi wa umoja wa ulaya mpaka akaondoka Tanzania,Kama wanajiamini wamfukuze huyu wa Marekani kwa kua ni beberu na siyo wanapiga makelele yasiyo na maana
 
Magufuli kiboko yao. Kilimanjaro imekuwa nyeupe tayari kwa kuvunwa kura za kijani tupu. Sio Same, Mwanga, Rombo, Moshi mjini, Siha, Hai kote kumetepeta ndembendembe. Saccos ya mjasiriamali hawaamini kilichotokea, asante Sana JPM. Burudaniii
HAKUNA kitu hapo.. ile nyomi ni sabb ya wasanii na wanaosombwa kws malori toka mikoa mingine
 
CCM wanaelewa ukichaa wa Wamarekani ndiyo maana hawathubutu kumfanyika vituko walivyomfanyia balozi wa umoja wa ulaya mpaka akaondoka Tanzania,Kama wanajiamini wamfukuze huyu wa Marekani kwa kua ni beberu na siyo wanapiga makelele yasiyo na maana
Nimeku quote mkuu, nitarudi tuongee
 
Back
Top Bottom