US alerts travelers to Tanzania about possible unreported Ebola cases, security concerns

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
21,875
2,000
Weee mtu afe kwa Ebola halafu kusiwe na kadhia zingine kadhaa mfululizo nyuma yake.

Sasa mbona msiwaruhusu wataalam wa WHO waje wakague hilo na kuhakikishia usalama kwa dunia, haya matamko ya kwamba Ebola haifichiki ni ya kupoteza muda maana mwisho wa siku bado wanasisitiza na sasa wameanza kutoa tahadhari kwa watu wao huku mkiendelea kujipiga piga vifua.
Sio bure, inawezekana kuna kitu mumefanya kimya kimya na wanajua hilo, ndio maana mumegoma wasije.
 
rais wako

JF-Expert Member
Jul 18, 2015
604
1,000
Hiyo ndo tofauti yenu na sisi, sisi tuko huru na hatupelekeshwi kizembe ila nyinyi mnaolamba miguu ya mabeberu

Hamna cha kupelekeshwa wala nini, ni kosa kujifanya jeuri ilhali mwenyewe huna uwezo wa kutengeneza dawa hata ya mafua, huna kiwanda hata cha sindano, vyote unaagiza kutoka kwa hawa, hivyo mwisho wa siku unawafanyia jeuri kwa Ebola ilhali utawategemea hao kukupa madawa n matibabu yake.
 
iam_paco

JF-Expert Member
Aug 28, 2019
408
1,000
Jamn ebu acheni hzi maswala, kama ebola upo au ungekuepo basi ingejulikana tu, huu ugonjwa sio malaria mtu aweza ficha akajitibu ndani, istoshe hapa dar popln ni kubwa na watu wapo na harakat zao kama maambukizi yangekuepo basi ingejulikana ndani ya siku kadhaa, lakn time inazd kwenda week ya tatu inaenda isha na hakuna mlipuko, hakuna vifo vngne na hakuna mshtukiwa mwngne wa maambukizi this indicates that hakuna huo mlipuko hapa tz. So mayb huyo mtu alikua nayo or not but hakuna mlipuko wa huo ugonjwa hapa Tz so em achane kusambaza hofu na kuichafua amani hadi itakapothibitishwa na WHO au vituo vya afya vya taifa. Kama upo au utakuepo bas watz em tuwe makin kdg katka makazi yetu.
 
Janerose mzalendo

JF-Expert Member
Oct 4, 2018
3,888
2,000
Huyo mgonjwa kafa zaidi ya weeks mbili zimepita, ukiwa contaminated na mgonjwa wa Ebola it will take hours na wewe kuanza kuumwa Ebola, yaani ile ni eruption, sasa mbona hatujasikia cases zozote mpya baada ya kifo cha huyu doctor popote na taarifa zinasema baada ya kutoka Kampala alienda Mwanza then Lindi then Dar na kote huko alikutana na watu wengi sababu alikua akifanya research ya master's yake
Ina maana kote huko hakuna aliemuambukiza katika mzunguko wote huo mpaka kufika Dar?
Pathogenesis ya Ebola ipo vipi?
 
eliakeem

JF-Expert Member
May 29, 2009
12,445
2,000
Sasa mbona msiwaruhusu wataalam wa WHO waje wakague hilo na kuhakikishia usalama kwa dunia, haya matamko ya kwamba Ebola haifichiki ni ya kupoteza muda maana mwisho wa siku bado wanasisitiza na sasa wameanza kutoa tahadhari kwa watu wao huku mkiendelea kujipiga piga vifua.
Sio bure, inawezekana kuna kitu mumefanya kimya kimya na wanajua hilo, ndio maana mumegoma wasije.

WHO is not always a neutral party. Sometimes is used as a tool to fulfill the people's ends.
 
big_in

JF-Expert Member
Sep 26, 2013
4,508
2,000
Hiki kitu Watanzania wamegoma kukiweka sawa na kuendelea kufoka dhidi ya mabeberu, hawa hawatawaacha hadi siku mtaruhusu WHO wakague wenyewe na kuhakiki hicho kitu hakijafichwa. Hizi tahadhari zimeanza kwa Marekani, washirika wake watafuata na kuendelea kushinikiza.
WHO wamesema mara nyingi kwamba sio wao wanasema kuna Ebola Tanzania, ila tetesi zipo na wanataka waruhusiwe kukagua wao, na hata muwakilishi wao alipoitwa, alirudia hayo hayo kwamba tetesi za Ebola hazikutoka kwao, alikua makini sana kwenye matamko yake.
------------------------

Dar es Salaam aerial

Aerial view of Dar es Salaam, where a doctor died with Ebola-like symptoms.BEN CURTIS/AP

he State Department and the Centers for Disease Control and Prevention are alerting American travelers to the possibility that there may be unreported Ebola cases in Tanzania.

The information — posted on their websites Friday afternoon — relates to concerning reports that a Tanzanian doctor who had been in Uganda in August and who died after her return home may have tested positive for Ebola.

The Tanzanian government has steadfastly denied having any Ebola cases. But it has refused to send out for external validation the tests it performed on the dead doctor and several of her contacts who became sick after her death

Last Saturday, the World Health Organization took the highly unusual step of alerting the world that it had received credible intelligence that Tanzania might have a case or several cases of Ebola, but that the country was refusing to report them. The statement detailed the steps the Geneva-based agency has taken to seek information from Tanzanian authorities, who did not respond to the initial request for information for four days.

Rumors have swirled about positive Ebola tests and relatives and contacts forced into involuntary quarantine. Concern about the situation has been amplified by the fact that Tanzanian authorities are typically cooperative with international partners.

Kenya people
 
Fursakibao

JF-Expert Member
Dec 12, 2017
3,244
2,000
No one is wishing Tanzania bad luck, jus let the relevant authorities help,otherwise Tz stand to lose big time.Your not that special, you will lose lots of tourist,kama kenya na al shabaab
Na hii isu nadhani Kenya ina mkono wake hapa. Ushahidi huu hapa
Screenshot_20190929-141638_1569755916140.jpeg
 
Mathanzua

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
9,934
2,000
Dar es Salaam aerial

Aerial view of Dar es Salaam, capital of Tanzania, where a doctor died with Ebola-like symptoms.BEN CURTIS/AP

The State Department and the Centers for Disease Control and Prevention are alerting American travelers to the possibility that there may be unreported Ebola cases in Tanzania.

The information — posted on their websites Friday afternoon — relates to concerning reports that a Tanzanian doctor who had been in Uganda in August and who died after her return home may have tested positive for Ebola.

The Tanzanian government has steadfastly denied having any Ebola cases. But it has refused to send out for external validation the tests it performed on the dead doctor and several of her contacts who became sick after her death.

Last Saturday, the World Health Organization took the highly unusual step of alerting the world that it had received credible intelligence that Tanzania might have a case or several cases of Ebola, but that the country was refusing to report them. The statement detailed the steps the Geneva-based agency has taken to seek information from Tanzanian authorities, who did not respond to the initial request for information for four days.

Rumors have swirled about positive Ebola tests and relatives and contacts forced into involuntary quarantine. Concern about the situation has been amplified by the fact that Tanzanian authorities are typically cooperative with international partners.

WHO signals alarm over possible unreported Ebola cases in Tanzania

Under the International Health Regulations, a global treaty to which Tanzania is a signatory, countries are obliged to notify the WHO immediately when they have outbreaks of serious infectious diseases that could pose a risk to their neighbors and the wider world.

The WHO has been publicly silent about the matter since it issued the statement on Sept. 21. But sources tell STAT the WHO and some national governments have been trying to get the Tanzanian government to be more forthcoming with information, using the opportunity of this week’s United Nations General Assembly to push for transparency.

There is no information to suggest the dead woman had traveled to the Democratic Republic of the Congo, currently battling the second largest Ebola outbreak on record.

But that doesn’t preclude the possibility that she might have been infected. She might have had contact in Uganda with an unreported case there — the country borders DRC and has had several cases where infected people have crossed into the country. It is also conceivable she might have been infected through a new, as yet undetected emergence of Ebola.
The CDC’s information, which is posted in the travel health section of its website, is both mildly worded and unusual. Typically when the CDC wants to alert Americans of health risks abroad, it issues a travel notice, which are coded as level 1, 2, or 3, with 3 the highest, indicating Americans should avoid all non-essential travel to that location.

In this case, though, the information was simply added to the page that outlines travel health advice for Tanzania. There was no risk level attached to the advice.

“The ongoing risks from this event are unknown, but at this time and based on available information (which is incomplete), no travel restrictions to Tanzania are indicated,” the CDC said.
“However, travelers should remain aware of the situation and avoid direct contact with people who are ill, when possible. They should also monitor themselves for symptoms of [Ebola virus disease] (fever, severe headache, muscle pain, weakness, fatigue, diarrhea, vomiting, abdominal pain, unexplained bruising or bleeding) both during and for 3 weeks after travel,’’ the agency said.

The information on the State Department’s website is more succinct. Both websites outline the locations where the woman who died had traveled before her death: Songea, Njombe, and Mbeya. She died in the capital, Dar es Salaam, on Sept. 8.

About the Author
Circular_Helen.png

Helen Branswell
Senior Writer, Infectious Disease
Helen Branswell covers issues broadly related to infectious diseases, including outbreaks, preparedness, research, and vaccine development.
helen.branswell@statnews.com
@HelenBranswell
******

Tofauti na Tahadhari hiyo Marekani pia yawatahadharisha Wananchi wake juu ya kuongezeka kwa Uhalifu, Ugaidi, sintofahamu katika masuala ya Afya na kuwalenga Watu wanaohusika na mahusiano ya jinsia moja. Zaidi, tembelea;
Sijui hii Ebola iliishia wapi.Wamarekani bwana,ni magaidi hatari sana.Naamini walipanga kututupia Ebola kama walivyowatupia COVID-19 Wachina ,Korea ya Kusini,Iran na wengine.Sasa wameamua kui- bioterrorize dunia kwa COVID-19.Wanamwaga kila mahali,huku wakijifanya ile ya Wuhan ndiyo inayoenea dunia nzima ,Mungu awalaani kabisa.Kweli nimeamini Marekani ndilo Sinagogi la Shetani.
 
Bishweko

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
2,977

Sio ilo tu ata nzige,njaa,mafuriko,malaria,ukimwi,nk ni Marekàni
 
Mathanzua

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
9,934
2,000
Sio ilo tu ata nzige,njaa,mafuriko,malaria,ukimwi,nk ni Marekàni
Mkuu hawa Nzige hata wataalamu wa bioengineering wameduwaa.Sasa wanadhani nao ni genetically engineered,kwa kuwa tabia zao zimepitiliza zile za Nzige wa jangwani.Hebu fuata link hii.

Are these unheard of locust swarms bioengineered to devour the crop fields to cause food shortages? | SOTN: Alternative News, Analysis & Commentary

Mkuu kama wakiendelea kula na kuzaliana kama wanavyofanya sasa,basi nchi za Africa ya Mashariki na Ethiopia na labda hata nchi zingine tunazopakana nazo,tuhesabu kwamba hatuna chakula.It's so frightening.Majanga kila corner,dah!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom