US alerts travelers to Tanzania about possible unreported Ebola cases, security concerns

minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
21,246
2,000
Mabeberu bwana, halafu hiyo aerial view kwanini wasipige masaki, msasani au Upanga??
Siku zote wazungu hupenda kuonyesha kuwa Africa ni sehemu isiyo na mpangilio wa makazi, zile sehemu zenye mpangilio kamwe hawazionyeshi
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
21,246
2,000
Njia sahii ya kuondokana na hii tetesi ni Serikali wapige Marufuku Salam za kusikana mikono kwa mda wa hata miezi 6 tu kisha wafanye utafiti mkubwa wasipooze chochote kwani kuendelea kukanusha pasipo kifanya uchunguzi wa kina hakuisaidii Taifa kamwe.
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
21,246
2,000
Bashite ebu jitutumue anzia hapo Dar kwako piga marufuku salam ya mikono kwanza maana hata watu wengine wakitoka chooni au kupiga chafya hawanawi mikono huendelea kusalimiana na watu kuwambukiza maradhi mbalimbali.
 
MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
21,876
2,000
Hiki kitu Watanzania wamegoma kukiweka sawa na kuendelea kufoka dhidi ya mabeberu, hawa hawatawaacha hadi siku mtaruhusu WHO wakague wenyewe na kuhakiki hicho kitu hakijafichwa. Hizi tahadhari zimeanza kwa Marekani, washirika wake watafuata na kuendelea kushinikiza.
WHO wamesema mara nyingi kwamba sio wao wanasema kuna Ebola Tanzania, ila tetesi zipo na wanataka waruhusiwe kukagua wao, na hata muwakilishi wao alipoitwa, alirudia hayo hayo kwamba tetesi za Ebola hazikutoka kwao, alikua makini sana kwenye matamko yake.
------------------------

Dar es Salaam aerial

Aerial view of Dar es Salaam, where a doctor died with Ebola-like symptoms.BEN CURTIS/AP

he State Department and the Centers for Disease Control and Prevention are alerting American travelers to the possibility that there may be unreported Ebola cases in Tanzania.

The information — posted on their websites Friday afternoon — relates to concerning reports that a Tanzanian doctor who had been in Uganda in August and who died after her return home may have tested positive for Ebola.

The Tanzanian government has steadfastly denied having any Ebola cases. But it has refused to send out for external validation the tests it performed on the dead doctor and several of her contacts who became sick after her death

Last Saturday, the World Health Organization took the highly unusual step of alerting the world that it had received credible intelligence that Tanzania might have a case or several cases of Ebola, but that the country was refusing to report them. The statement detailed the steps the Geneva-based agency has taken to seek information from Tanzanian authorities, who did not respond to the initial request for information for four days.

Rumors have swirled about positive Ebola tests and relatives and contacts forced into involuntary quarantine. Concern about the situation has been amplified by the fact that Tanzanian authorities are typically cooperative with international partners.

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
10,839
2,000
Dar es Salaam aerial

Aerial view of Dar es Salaam, capital of Tanzania, where a doctor died with Ebola-like symptoms.BEN CURTIS/AP

The State Department and the Centers for Disease Control and Prevention are alerting American travelers to the possibility that there may be unreported Ebola cases in Tanzania.

The information — posted on their websites Friday afternoon — relates to concerning reports that a Tanzanian doctor who had been in Uganda in August and who died after her return home may have tested positive for Ebola.

The Tanzanian government has steadfastly denied having any Ebola cases. But it has refused to send out for external validation the tests it performed on the dead doctor and several of her contacts who became sick after her death.

Last Saturday, the World Health Organization took the highly unusual step of alerting the world that it had received credible intelligence that Tanzania might have a case or several cases of Ebola, but that the country was refusing to report them. The statement detailed the steps the Geneva-based agency has taken to seek information from Tanzanian authorities, who did not respond to the initial request for information for four days.

Rumors have swirled about positive Ebola tests and relatives and contacts forced into involuntary quarantine. Concern about the situation has been amplified by the fact that Tanzanian authorities are typically cooperative with international partners.

WHO signals alarm over possible unreported Ebola cases in Tanzania

Under the International Health Regulations, a global treaty to which Tanzania is a signatory, countries are obliged to notify the WHO immediately when they have outbreaks of serious infectious diseases that could pose a risk to their neighbors and the wider world.

The WHO has been publicly silent about the matter since it issued the statement on Sept. 21. But sources tell STAT the WHO and some national governments have been trying to get the Tanzanian government to be more forthcoming with information, using the opportunity of this week’s United Nations General Assembly to push for transparency.

There is no information to suggest the dead woman had traveled to the Democratic Republic of the Congo, currently battling the second largest Ebola outbreak on record.

But that doesn’t preclude the possibility that she might have been infected. She might have had contact in Uganda with an unreported case there — the country borders DRC and has had several cases where infected people have crossed into the country. It is also conceivable she might have been infected through a new, as yet undetected emergence of Ebola.
The CDC’s information, which is posted in the travel health section of its website, is both mildly worded and unusual. Typically when the CDC wants to alert Americans of health risks abroad, it issues a travel notice, which are coded as level 1, 2, or 3, with 3 the highest, indicating Americans should avoid all non-essential travel to that location.

In this case, though, the information was simply added to the page that outlines travel health advice for Tanzania. There was no risk level attached to the advice.

“The ongoing risks from this event are unknown, but at this time and based on available information (which is incomplete), no travel restrictions to Tanzania are indicated,” the CDC said.
“However, travelers should remain aware of the situation and avoid direct contact with people who are ill, when possible. They should also monitor themselves for symptoms of [Ebola virus disease] (fever, severe headache, muscle pain, weakness, fatigue, diarrhea, vomiting, abdominal pain, unexplained bruising or bleeding) both during and for 3 weeks after travel,’’ the agency said.

The information on the State Department’s website is more succinct. Both websites outline the locations where the woman who died had traveled before her death: Songea, Njombe, and Mbeya. She died in the capital, Dar es Salaam, on Sept. 8.

About the Author
Circular_Helen.png

Helen Branswell
Senior Writer, Infectious Disease
Helen Branswell covers issues broadly related to infectious diseases, including outbreaks, preparedness, research, and vaccine development.
helen.branswell@statnews.com
@HelenBranswell
KABUDI yupo Marekani na kapiga picha na TRUMP baada ya kumuomba sana wafanye hivyo.
Trump anajua EBOLA ipo Tanzania ndio maana Kabudi inasemekana ilibidi apimwe sana, na akawekwa kwenye karantini mpaka aliporuhusiwa kumuona mheshimiwa.
SASA KAMA MNAFIKIRI WAMAREKANI NI WANAFKI, WAMETOA ONYO KWA WANANCHI WAO KWAMBA TANZANIA KUNA EBOLA NA WABONGO HAWATAKI KUTANGAZA, SO WATU WA MAREKANI ASIJE HUKU, NI TAHADGARI TU
 
Easy Chair Mark III

JF-Expert Member
Aug 19, 2019
897
1,000
Siku zote wazungu hupenda kuonyesha kuwa Africa ni sehemu isiyo na mpangilio wa makazi, zile sehemu zenye mpangilio kamwe hawazionyeshi

KWA kiasi kikubwa ni kweli ndiyo, Afrika hakuna mpangilio WA makazi, hili halipingiki hata kidogo.
Mathalani, asilimia zisizozidi ishirini( less than 20%) ya ardhi yote ya Tz ndio imepimwa NA kupangikiwa, this is disaster.
There's a death of Town Planning in Africa
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
21,246
2,000
KABUDI yupo Marekani na kapiga picha na TRUMP baada ya kumuomba sana wafanye hivyo.
Trump anajua EBOLA ipo Tanzania ndio maana Kabudi inasemekana ilibidi apimwe sana, na akawekwa kwenye karantini mpaka aliporuhusiwa kumuona mheshimiwa.
SASA KAMA MNAFIKIRI WAMAREKANI NI WANAFKI, WAMETOA ONYO KWA WANANCHI WAO KWAMBA TANZANIA KUNA EBOLA NA WABONGO HAWATAKI KUTANGAZA, SO WATU WA MAREKANI ASIJE HUKU, NI TAHADGARI TU
Bila Tanzania kuchukua hatua sitahiki hizo tetesi za wamarekani zitaimarika zaidi na mwishoe Nchi za Ulaya na Asia wataogopa kuja Tanzania na kuathiri utalii kwa kiwango cha kutisha
 
wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
21,407
2,000
Lakini leo nimesikia kwa masikio yangu radio capital tangazo la kutoka wizara ya afya la kutangaza dalili za huu ugonjwa wa ebola huenda ni kweli upo au haupo sijajua..
My take:nimeulizia wale ndugu wa mgonjwa alofariki kule hospital ya temeke mpaka sasa bado wako korokoroni kwa uchunguzi unaendelea
 
Mzalendo2015

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
6,612
2,000
Tanzania haieshi vituko na mafununu.
If these rumours are true but Magufuli and his Government trying to conceal the info they must be doing a very serious mistake and a grave one. It will come to a stage no more hiding, no cheating, no more politics.....! Iam sorry to say that IT WILL BE TOO LATE as hundreds,thousands if not millions of Tanzanians shall be already infected by the deadly EBOLA VIRUS.....! God forbid.
 
REDEEMER.

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
8,938
2,000
Huyo mgonjwa kafa zaidi ya weeks mbili zimepita, ukiwa contaminated na mgonjwa wa Ebola it will take hours na wewe kuanza kuumwa Ebola, yaani ile ni eruption, sasa mbona hatujasikia cases zozote mpya baada ya kifo cha huyu doctor popote na taarifa zinasema baada ya kutoka Kampala alienda Mwanza then Lindi then Dar na kote huko alikutana na watu wengi sababu alikua akifanya research ya master's yake

Ina maana kote huko hakuna aliemuambukiza katika mzunguko wote huo mpaka kufika Dar?
 
Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
10,839
2,000
Bila Tanzania kuchukua hatua sitahiki hizo tetesi za wamarekani zitaimarika zaidi na mwishoe Nchi za Ulaya na Asia wataogopa kuja Tanzania na kuathiri utalii kwa kiwango cha kutisha
umekunywa mbege nini?
tuchukue hatua ya kuficha? si tuombe msaada wao waje kutusaidia?
kwahiyo tufiche watu wafe?
unakumbuka dokta mwene malechela alisema ugonjwa flani akafukuzwa kazi, sasa hixi ka wa mkubwa umija wa mataifa
 
Tony254

JF-Expert Member
May 11, 2017
11,752
2,000
Huyo mgonjwa kafa zaidi ya weeks mbili zimepita, ukiwa contaminated na mgonjwa wa Ebola it will take hours na wewe kuanza kuumwa Ebola, yaani ile ni eruption, sasa mbona hatujasikia cases zozote mpya baada ya kifo cha huyu doctor popote na taarifa zinasema baada ya kutoka Kampala alienda Mwanza then Lindi then Dar na kote huko alikutana na watu wengi sababu alikua akifanya research ya master's yake

Ina maana kote huko hakuna aliemuambukiza katika mzunguko wote huo mpaka kufika Dar?
Pole kwa jamii yake kwani tumepoteza mtu mwerevu sana aliyekuwa anaendeleza masomo yake.
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
21,246
2,000
umekunywa mbege nini?
tuchukue hatua ya kuficha? si tuombe msaada wao waje kutusaidia?
kwahiyo tufiche watu wafe?
unakumbuka dokta mwene malechela alisema ugonjwa flani akafukuzwa kazi, sasa hixi ka wa mkubwa umija wa mataifa
Wewe mbweha ndiyo unakunywa mbege acha ujinga unajua maana ya neno hatua sitahiki? Mie nataka hatua za tahadhari siyo kuficha maradhi kama wewe kushinda mnashikana mikono hata mikojo ikichululuzikia kwenye vidole vyenu hamnawi mikono mnang’ang’ania salam za kukumbatiana wakari congo na Nchi nyingi sasa hawataki hiyo salam ikiwa ni kuishi kwa tahadhari
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom