Urusi yavuna mapesa kutokana na mafuta na gesi

Kuna faida za muda mrefu na faida za muda mfupi mtoa mada unatakiwa kuyaongeana ayo sio ushabiki tu

Mafuta na ges ya Russia mteja wake mkubwa ni Europe especially nchi za Europe union kwa sasa atawatesa ila tusisaha european union kwa maelezo yao wanatafta mbadala ya mafuta na gas ndan ya miez sita wanataka waache utegemezi sasa swali linakuja Europe union wakipata mbadala ayo mafuta na gas Russia atamuuzia nan
Africa ni nchi maskin ata akiamua kutuuzia sisi hatopata faida km faida anayoipata kutoka West
Ujue tunapenda tu kudanganyana kiukwel nchi za West ndo nchi zlizoshikilia dunia hii na itachukua mda sana ufalme wao kuangushwa
Iran na Venezuela wanamafuta mengi sana kuzidi Saudi Arabia lakin unawasikia je umeshaona mafuta yake Africa

Ni maoni tu
 
Haya kweli maoni hongera MKUU
ila pia ikumbukwe kwamba kutafta mbadala wa RUSSIA sio wepesi kama wanavyosema
Nakama itatokea sio mchakato waharaka hvyo nimuda
Nakama itakua muda ikitokea wamepata itakua kwagharama kubwa nadhani itapandisha ughali wamaisha hapo EUROPE maradufu ikumbukwe hakuna anaetaka hasara
Pia RUSSIA hatakosa soko la mafuta ila anaweza kidogo akapunguza faida kwatafsiri nyepesi EU kuachana na mafuta ya RUSSIA nikwamba wao RUSSIA watapata faid kidogo huko INDIA CHINA nk ila wao EU watapata hasara maana watanunua mafuta kwabeighali ukilinganisha nawaliokua wanayapata hapo RUSSIA
Maoni yangu!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom