Urusi yatishia kutumia silaha za nyuklia ikiwa Sweden, Finland zitajiunga NATO

Kwani nyuklia anazo peke ake!,huyu jamaa kazidi kelele.Watu wengi duniani wanajua madhara ya silaha za nyuklia sasa kabla hajazitumia hao hao wakuu wake wa jeshi wanaweza wakamgeuka,watu wanapenda maisha na yeye ni kiongozi tu wananchi wake wakichachamaa putin ataomba poo,kumbuka pia kuna watu wa karibu yake watakuwa wanakipigia mahesabu kiti chake.Vita ya nyuklia haitomletea yeye ushindi ila itabadirisha dunia,pumbavu tu ndo ataanzisha ujinga wa nyuklia.
yeye (Urusi) ana ongoza na US anafatia ktk swala la nyuklia....
 
putin tunasubiri ajichanganye tu kipigo atakacho kipata kitakua cha mbwa koko hata pata hata muda wa kumsimulia mkewe (kwa sauti ya Muroto)
Usisahau ahadi ya Putin kwamba hao mashoga hatawapa nafasi hata ya kutubu.

Amini amini nakwambia...
NATO hawana cha kumfanya Russia zaidi ya vikwazo na kupeleka silaha ndogo ndogo kwa nchi itakayokuwa ikitembezewa kichapo

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
 
Kwa hiyo akitumia hiyo nyuklia ndio yeye na warusi wenzake watabaki salama. Huyu Putin inaonekana keshalewa sana vodka kiasi kwamba hata yeye mwenyewe haijui hiyo nyuklia pamoja na kwamba anayo. Useless kabisa.
 
Wa
Usisahau ahadi ya Putin kwamba hao mashoga hatawapa nafasi hata ya kutubu.

Amini amini nakwambia...
NATO hawana cha kumfanya Russia zaidi ya vikwazo na kupeleka silaha ndogo ndogo kwa nchi itakayokuwa ikitembezewa kichapo

Vijana wa jamii forum hawawezi kukuelewa!Ila huo ndiyo ukweli.
 
Kwa hiyo akitumia hiyo nyuklia ndio yeye na warusi wenzake watabaki salama. Huyu Putin inaonekana keshalewa sana vodka kiasi kwamba hata yeye mwenyewe haijui hiyo nyuklia pamoja na kwamba anayo. Useless kabisa.
Hahaaaaaa bwasheee umenichekesha ,ungekua karibu ningekupa k vant kubwa
 
Halafu za kwao sasa wala hata hawajawahi hata kuzitest,lakini tunavyopigiwa makelele hapa sasa.Kila mara akifail tu anaanza wimbo huo huo wa Nyuklia utadhani mtoto mdogo anavyoimba 'rain go away' akiona mvua
Siku zote muoga hupiga kelele kweli atembeapo gizani.
 
Mmoja wa washirika wa karibu wa Rais wa Russia, Vladimir Putin Alhamisi ameionya NATO kwamba ikiwa Sweden na Finland zitajiunga na ushirika wa kijeshi unaongozwa na Marekani, basi Russia itapeleka silaha za nyuklia na makombora ya masafa marefu katika eneo la Ulaya.

Finland ambayo inashirikiana mpaka na Russia wenye urefu wa kilomita 1,300, pamoja na Sweden zinatafakari kujiunga na muungano wa NATO.

Finland itachukuwa uamuzi wiki zijazo, waziri mkuu Sanna Marin alisema Jumatano.

Dmitry Medvedev ambaye ni naibu mwenyekiti wa Baraza la Usalama la Russia, amesema iwapo Sweden na Finland zitajiunga na NATO basi Russia italazimika kuimarisha vikosi vyake vya nchi kavu, majini na angani katika bahari ya Baltic.

Medvedev pia ameelezea wazi tishio la nyuklia kwa kusema kwamba hakutokuwa tena na mazungumzo ya Baltic “isiyo na nyuklia” ambapo Russia ina eneo lake la Kaliningrad kati ya Poland na Lithuania.

“Hatuwezi tena kuwa na mazungumzo juu ya hadhi ya kutokuwa na nyuklia kwa Baltic, usawa lazima urejeshwe,” amesema Medvedev, ambaye alikuwa rais wa Russia kuanzia 2008 hadi 2012.

Source: VOA
Acha uwongo we Mmarekani wa Unyamilonda wamesema wata deploy...sio kushambulia
 
Hizo hela zinapigwa kila kukicha na sisi tungekuwa nazo hata mbili

Hamna anaeuza mashine ya traffic Kweli humu maana nasikia zinaingiza hela mwaka na mapato hayasomi popote ila mifukoni mwa untouchables
 
Mark my words KAMWE MRUSI hatatumia nuklia kwenye hii vita .. Kwakuwa akipiga naye atapigwa.. Na athari za nyuklia ni za vizazi na vizazi..HATHUBUTU..!
Sisi Waafrika ndio tunatakiwa tuamke wakishapigana hayo mabumo ila bado tunacheka na kima wa kulamba asali
 
Back
Top Bottom