Urusi yapeleka msaada wa vifaa vya ugonjwa wa Corona nchini Marekani

Kuna Wamarekani wa Mombasa Kampala Kigali Bujumbura Dar es salam Mogadishu Nakwengineko watakuja kuimba twaarab hapa
ndege ya kwanza aina ya antonov An-124 yaondoka Nchini Urusi ikielekea kwenye Nchi ya Marekani kwa ajili ya msaada wa vifaa vya kupambana na ugojwa wa corona.
Msaada huu unakuja baada ya mazungumzo ya njia ya simu yaliyofanywa na viongozi wa 2,kati ya Trump na Putin.



Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuna habari nimekutana nayo inasema ndege aina ya ilyushin-27 nayo imepeleka msaada sasa cijajua nimewengine ama ndio huu huu

Sent using My COVID-19
 
Kuna Wamarekani wa Mombasa Kampala Kigali Bujumbura Dar es salam Mogadishu Nakwengineko watakuja kuimba twaarab hapa Nakuna habari nimekutana nayo inasema ndege aina ya ilyushin-27 nayo imepeleka msaada sasa cijajua nimewengine ama ndio huu huu

Sent using My COVID-19
hamna sio iyo hii. ni ndege aina ya Antonov An-124,heavy cargo plane
images%20(23).jpeg
images%20(24).jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wengi ni wajinga, hawajui kuwa hizo nchi kupeleka misaada ni pamoja na kusaidia wananchi wao wanaoishi USA, yaani kuna idadi kubwa ya wachina na warusi wanaoishi US.
 
Vita ya Mashariki na Magharibi ni ya enzi na enzi.. Haitokuja kuisha. Ni mapema sana kusema US wamezidiwa hadi wategemee misaada kuendesha masuala yao.. Ingekuwa ni hivyo, kabla hawajapokea misaada toka nchi zingine, nafkiri wangekata kwanza misaada wanayotupatia huku Africa.

Washington DC, Moscow, Beijing na wengineo wanachokijafnya ni diplomatic games basi.!
 
Back
Top Bottom