Urusi yaonya kuhusu hatari ya WW3 kutokea

Nimeandika sana kuhusu madhara ya nuclear kwa dunia na atmosphere ya dunia, na inavyoonyesha watu wengi hawajui kuhusu madhara yake
ambayo ni deadly even hata baada ya miaka 100, 500 mpaka 1000 au permanetly.
Seriously kwa mtu anayejua madhara ya nuclear basi anajua wazi kwamba ikitokea Nuclear war kati ya mataifa haya makubwa lazima uwe
mwisho wa dunia au baadhi ya sehemu kuwa uninhabitable kwa muda tajwa juu au milele na vifo vya mabillion ya watu.
1 Joto kuongezeka kwa kiwango kikubwa kiasi cha binadamu kushindwa kuishi.
2 Atmosphere kuharibika vibaya kutokana na contamination na labda kuungua kutokana na hiyo blast, yaani atmosphere inashika moto
na kuanza kuwaka kama kifuu, where you're gonna buy oxygen?
3 Ardhi itaharibika na kuwa contaminated na radiation hivyo kupelekea ukosefu wa chakula globally for years/
4 civilization collapse watu watakuwa kama mbwa na wanyama wa mwituni ili kusurvive ni survive of the fittest.
5 mabillion ya binadamu kufa emmdiately na billions more kutokana na aftermath.
6 Wanasema kiasi kidogo tu cha nuclear exchange kati ya nuclear na pakistan kujumuisha warheads 100 za hiroshima (little boy 15 kilotons)
zinaweza kuua watu zaidi ya billion na kusababisha nuclear winter.

Russia ndio wana the biggest nuclear bomb of all time na milele, the tsar bomba (50 megaton) hili dude lina nguvu mara 3,333 ya little boy wa USA. na akilipiga basi anachakaza new york nzima na kuwa jivu. kama little boy aliweza kuua watu takribani laki sasa imagine bomb kubwa jingine ambalo lina nguvu mara 3,333 yake litaua watu wangapi?
Kama india na pakistan wakifanya piga nikupiga na kusababisha apocalypse na kuua zaidi ya 1 billion people then fikiria nini kitatokea Russia na USA wakifanya exchange na hayo madude.
Je unakataa mpaka hapo sio mwisho wa dunia?

hebu nenda angalau wikipedia nenda kasome kitu kinaita Nuclear Holocaust, ni deadly catastrophic you can ever imagine.

Nimechoka kuandika same thing everyday hizi ni baadhi ya post zangu kuhusu nuclear war.

1 Russia au Putin sio mtu pekee mwenye Weapons of mass destruction lakini yeye pekee ndio mwenye "will" ya kuweza kuzitumia.
NATO na USA sio wajinga kama yeye ndio maana hawatomsikiliza sababu wanajua kitakachotokea.

2 Vita ya nuclear sio simple kihivyo kiasi cha kufanyia show off au piga nikupige kama manati na mawe.
Madhara ya nuclear ni world ending mostly the collapse of modern civilization na worst case scenario ni extinction.
Hata huku Africa tutahusika na madhara yake na hao NATO hawatakuwa na cha kufanya zaidi ya kukaa kimya tu sababu wanajua aftermath.
Putin anachofanya ni suicide attempt na dunia nzima ni mkubali au tufe wote.

3 Ikitokea Nuclear War basi hakuna atakayepona dunia nzima hata sisi huku afrika tutaathirika na hiyo radiation,
na radiation inaweza kufanya dunia iwe uninhabitable kwa miaka 1000 ijayo, na mostly atmosphere itaharibika vibaya kutokana
na hiyo holocaust.
Hapa tunaongelea mwisho wa maisha duniani kwa ujumla au baadhi ya sehemu za dunia kuwa uninhabitable kwa mamia na maelfu ya
miaka au extinction ya baadhi ya races.

4 Kama Russia wakianzisha vita ya nuclear mataifa mengine ni lazima yakae kimya ili kuepusha Nuclear holocaust ambayo itaangamiza
dunia nzima, na hakuna mtu mwenye ubavu wa kuanzisha hicho kitu.

5 United States walitumia nuclear weapons kwa hiroshima na nagasaki na hakuna nchi yoyote iliyomgusa.
Na Russia pia wanaweza kutumia nuclear weapons popote na hakuna atakaye mgusa sababu kila mtu anapenda amani nchini
kwake na maisha ya wananchi wake.
Ni afe mmoja au tufe wote na mpaka sasa putin ndio mtu pekee anayeonekana kuwa na will ya kudeploy nuclear na
wala hajali chochote zaidi ya maslahi yake.
Mambo ya nuclear sio rahisi hivyo kwamba mimi nikipiga basi kila mtu anapiga kama manati, na kusema kwani nani hana mawe!

6 Uwezekano wa kutokea Nuclear War ni mdogo sana na hakuna mtu anataka kugamble na hiyo catastrophic risk.

Watengenezaji wa silaha na scientists wenyewe wanasema nuclear could indirectly contribute to human extinction wewe nani upinge?
wewe nani mkuu?
Inasemekana Russia ana miamba/mawe ambayo yapo milimani, wametumia mawe haya ili kuweza kutengeneza vificho kwa ajili ya mambo kama haya ya nuclear.
 
Marekani atadeclare war with russia soon baada ya kushusha wanajeshi wake ukraine na hicho ndio kitu USA hatokuja kuota kukifanya.
Silaha zao wanazotuma zinaharabiwa lakini USA bado anaogopa kwenda direct, hiyo sio mbinu bali ni uoga.
Wewe umejiuliza kwanini marekani alituma wanajeshi wake kwenye ardhi za nchi nyingine lakini anaogopa kukanyaga ukraine?

Just imagine Biden amejikanyaga kidogo tu white house ikabidi watengua kauli, hiyo tu ni sign tosha kwamba USA anaogopa direct war na Russia na hatojaribu.
Bado mapema sana US kuweka majeshi yake pale, na kwanini atume majeshi wakati Ukraine bado anafanya vizuri uwanjani?
 
Kwa usiku wa jana pekee russia ameua wanajeshi 500 wa ukraine, USA hatopeleka wanajeshi Ukraine mark my words.
 
Mbona yeye hasemi amepoteza askari wangapi? Vita ni propaganda mkuu, atakuja Ukraine atasema amepoteza askari 40, utabisha?
 
Inasemekana Russia ana miamba/mawe ambayo yapo milimani, wametumia mawe haya ili kuweza kutengeneza vificho kwa ajili ya mambo kama haya ya nuclear.
Nuclear bomb inayeyusha chuma tena pure steel siyo hivi vyuma chakavu itakuwa mawe? Russia hata aifunike nchi yake kwa vyuma vizito akianzisha vita ya nyuklia naye atamalizwa instant na ndiyo maana wataendelea kupiga domo tu la vitisho vya nyuklia ila kujaribu hawatojaribu
 
Kumbe?
Lakini USA alitumia na kuua watu zaidi ya laki mbili.
Wakati USA anaitumia Japan nyuklia Russia hakuwa nayo by then ndiyo project manhtan ya nyuklia ilikuwa ipo on fire huko us ikiwa ni alliance ya uk, usa na canada, so nchi zingine hazikuwa na silaha za nyuklia za kumjibu usa hata russia angetataka asingeweza mjibu US maaana hakuwa na hiyo teknolojia ya nyuklia. Russia silaha za nyuklia kazipata baadae kwa ujasusi wa kupata information kutokea usa.
 
Marekani atadeclare war with russia soon baada ya kushusha wanajeshi wake ukraine na hicho ndio kitu USA hatokuja kuota kukifanya.
Silaha zao wanazotuma zinaharabiwa lakini USA bado anaogopa kwenda direct, hiyo sio mbinu bali ni uoga.
Wewe umejiuliza kwanini marekani alituma wanajeshi wake kwenye ardhi za nchi nyingine lakini anaogopa kukanyaga ukraine?

Just imagine Biden amejikanyaga kidogo tu white house ikabidi watengua kauli, hiyo tu ni sign tosha kwamba USA anaogopa direct war na Russia na hatojaribu.
Tokea hata vita havijaanza US alishasema hatapeleka jeshi lake ukraine maana kupeleka itakuwa ni direct war na Russia.Mataifa haya China, USA, Russia na UK hayawezi pigana vita ya direct tit for tat maana uharibif wake ni mkubwa sana kwao na kwa dunia kumbuka uchumi wa russia unapitwa na india na brazil so ni uchumi unaojijenga, usa na china wamejenga uchumi kwa jasho, machozi na damu hawa wote vita vya moja kwa moja hawatopigana maana ina maanisha chumi zao zitaharibika na hawako tayari kuona hilo, Ila USA kwa sababu ya nguvu yake kubwa ya kuichumi inapobidi ana uwezo wa kuzikung'uta Russia na China kiuchumi na hata Kicyber na sometime amewahi fanikiwa kusambaratisha tawala na nchi kama alivyosambaratisha soviet union. Putin angekuwa ana Nyuklia peke yake duniani angekuwa ashainyuka ukraine angalau hata kidogo but lazima akili yake inamwambia akiinyuka atakuwa salama? na akikumbuka US ilichoifanya hiroshima na nagasaki basi anabaki kubwabwaja tu nyuklia nyuklia. Russia si ndiyo alisema atakayemsaidia ukraine silaha atakiona mbona nchi kibao zinamsaidia ukraine silaha na hana cha kuwafanya sasa kama hili kashindwa kulitimiza ndo ataweza kuswitch on button ya nyuklia?
 
M
Kama mtu anamsaidia Adui yako Maslaha mazito mazito...Anakesha anampa mbinu za kukumaliza huyo ni Adui pia..Udhaifu wa Urusi katika hii vita ni mkubwa ameshindwa kabisa kufunga anga la Ukraine au kupiga Hayo Maslaha yanayoletwa maana yanakuja na Ndege au Treni hizo ndio Target yakiingia tu piga sasa hii kulia liaa ooh Nuclear itasaidia nn?? Hii ni vita rasmi kati ya US na Urusi ni jambo moja tu Russia ajue anapigana na hizo nchi zote ajihami..
Masiraha wanamletea yeye, anamiliki siraha zinazoletwa na akina NATO kabla hazijatumika Kwa ukraine
 
You have no Idea what I'm talking about.

Nimeandika sana kuhusu madhara ya nuclear kwa dunia na atmosphere ya dunia, na inavyoonyesha watu wengi hawajui kuhusu madhara yake
ambayo ni deadly even hata baada ya miaka 100, 500 mpaka 1000 au permanetly.
Seriously kwa mtu anayejua madhara ya nuclear basi anajua wazi kwamba ikitokea Nuclear war kati ya mataifa haya makubwa lazima uwe
mwisho wa dunia au baadhi ya sehemu kuwa uninhabitable kwa muda tajwa juu au milele na vifo vya mabillion ya watu.
1 Joto kuongezeka kwa kiwango kikubwa kiasi cha binadamu kushindwa kuishi.
2 Atmosphere kuharibika vibaya kutokana na contamination na labda kuungua kutokana na hiyo blast, yaani atmosphere inashika moto
na kuanza kuwaka kama kifuu, where you're gonna buy oxygen?
3 Ardhi itaharibika na kuwa contaminated na radiation hivyo kupelekea ukosefu wa chakula globally for years/
4 civilization collapse watu watakuwa kama mbwa na wanyama wa mwituni ili kusurvive ni survive of the fittest.
5 mabillion ya binadamu kufa emmdiately na billions more kutokana na aftermath.
6 Wanasema kiasi kidogo tu cha nuclear exchange kati ya nuclear na pakistan kujumuisha warheads 100 za hiroshima (little boy 15 kilotons)
zinaweza kuua watu zaidi ya billion na kusababisha nuclear winter.

Russia ndio wana the biggest nuclear bomb of all time na milele, the tsar bomba (50 megaton) hili dude lina nguvu mara 3,333 ya little boy wa USA. na akilipiga basi anachakaza new york nzima na kuwa jivu. kama little boy aliweza kuua watu takribani laki sasa imagine bomb kubwa jingine ambalo lina nguvu mara 3,333 yake litaua watu wangapi?
Kama india na pakistan wakifanya piga nikupiga na kusababisha apocalypse na kuua zaidi ya 1 billion people then fikiria nini kitatokea Russia na USA wakifanya exchange na hayo madude.
Je unakataa mpaka hapo sio mwisho wa dunia?

hebu nenda angalau wikipedia nenda kasome kitu kinaita Nuclear Holocaust, ni deadly catastrophic you can ever imagine.

Nimechoka kuandika same thing everyday hizi ni baadhi ya post zangu kuhusu nuclear war.

1 Russia au Putin sio mtu pekee mwenye Weapons of mass destruction lakini yeye pekee ndio mwenye "will" ya kuweza kuzitumia.
NATO na USA sio wajinga kama yeye ndio maana hawatomsikiliza sababu wanajua kitakachotokea.

2 Vita ya nuclear sio simple kihivyo kiasi cha kufanyia show off au piga nikupige kama manati na mawe.
Madhara ya nuclear ni world ending mostly the collapse of modern civilization na worst case scenario ni extinction.
Hata huku Africa tutahusika na madhara yake na hao NATO hawatakuwa na cha kufanya zaidi ya kukaa kimya tu sababu wanajua aftermath.
Putin anachofanya ni suicide attempt na dunia nzima ni mkubali au tufe wote.

3 Ikitokea Nuclear War basi hakuna atakayepona dunia nzima hata sisi huku afrika tutaathirika na hiyo radiation,
na radiation inaweza kufanya dunia iwe uninhabitable kwa miaka 1000 ijayo, na mostly atmosphere itaharibika vibaya kutokana
na hiyo holocaust.
Hapa tunaongelea mwisho wa maisha duniani kwa ujumla au baadhi ya sehemu za dunia kuwa uninhabitable kwa mamia na maelfu ya
miaka au extinction ya baadhi ya races.

4 Kama Russia wakianzisha vita ya nuclear mataifa mengine ni lazima yakae kimya ili kuepusha Nuclear holocaust ambayo itaangamiza
dunia nzima, na hakuna mtu mwenye ubavu wa kuanzisha hicho kitu.

5 United States walitumia nuclear weapons kwa hiroshima na nagasaki na hakuna nchi yoyote iliyomgusa.
Na Russia pia wanaweza kutumia nuclear weapons popote na hakuna atakaye mgusa sababu kila mtu anapenda amani nchini
kwake na maisha ya wananchi wake.
Ni afe mmoja au tufe wote na mpaka sasa putin ndio mtu pekee anayeonekana kuwa na will ya kudeploy nuclear na
wala hajali chochote zaidi ya maslahi yake.
Mambo ya nuclear sio rahisi hivyo kwamba mimi nikipiga basi kila mtu anapiga kama manati, na kusema kwani nani hana mawe!

6 Uwezekano wa kutokea Nuclear War ni mdogo sana na hakuna mtu anataka kugamble na hiyo catastrophic risk.

Watengenezaji wa silaha na scientists wenyewe wanasema nuclear could indirectly contribute to human extinction wewe nani upinge?
wewe nani mkuu?
Maandiko yanakataa hiyo "Hypothesis." Hakuna atakaye haribu dunia ila ni aliyeiumba tu.
 
Waziri wa Mambo ya Nje wa Urusi, Sergey Lavrov amesema kuwa Mazungumzo ya Amani na Ukraine yataendelea, huku akionya kuwa hatari ya Vita ya Tatu ya Dunia ni kubwa na haiwezi kudharauliwa
Aliahidi kuwa Ukrain itakuwa ime-surrender ndani ya siku tatu: leo ni siku ya 100
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom