Urusi yajaribu kuwasiliana na Israel kuomba msamaha bila mafanikio baada ya kauli ya Sergie Lavrov dhidi ya Wayahudi

Jiandae tu kisaikolojia

Goliathi Putin anaondoka
Nakukumbusha tu ahadi yako maana siku si nyingi tutataka uitekeleze
20220504_204203.jpg
 
Wewe ndo ukae kimya maana ujui kitu kabisa.niambie wameingilia mgogoro gani?
Kaa kimya hujui kitu!! Ukisikia NATO's Basi jua kabisaaa ndo Full Israel ya Leo!!.....Hakuna NATO hakuna Israel!...kasome upya siasa za kimataifa ndo uje hapa!!
 
Hayo yamesemwa na msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa Urusi Maria Zakharova huku akiweka wazi pia kuwa mamluki wa Israeli wanapigana bega kwa bega na Azov nchini Ukraine.

“Bado, nitasema kitu fulani ambacho wanasiasa wenyewe nchini Israeli ambao sasa wanachangia kampeni hawatataka kukisikia. Au labda watataka kuyasikia. Nchini Ukraine, mamluki wa Israeli wako bega kwa bega na wanamgambo wa Azov,” alisema Waziri wa mambo yan je wa Urusi Bi Maria Zakharova

“Niliona video, muundo,na nyenzo,” Zakharova alisisitiza.

Azov ni kikosi cha wanamgambo kilichoundwa kama jeshi la kujitolea tangu mwezi Mei 2014, na kimekuwa kikipigana dhidi ya vikosi vya Urusi katika jimbo la Donbas nchini Ukraine. Kwanza kilishuhudia mapigano yaliyopelekea kukamatwa tena kwa Mauripol kutoka mikononi mwa wanajeshi wa Urusi na wapiganaji wanaotaka kujitenga wanaoungwa mkono na Urusi mwezi Juni mwaka 2014.

Pia amesema kuwa mazungumzo kuhusu chuki dhidi ya Wayahudi, ambayo yalianzishwa baada ya Sergei Lavrov kutoa matamshi makali sio "upendeleo", bali "ni ya kupotosha ukweli " wa matatizo halisi, alisema msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Urusi Maria Zakharova.

"Uache kuyaita 'ya upendeleo'. Kuna neno zuri la kibinadamu – Ubaya ," Zakharova alisema.

Zakharova alisema kwamba Urusi ilijaribu "kuwasiliana na Israeli kujaribu kufafanua, kuomba aina fulani ya huruma na uelewa wa tatizo ." Hatahivyo, kulingana na Zakharova, majaribio haya hayakufanikiwa.

Je Wayahudi kumuondoa Putin Kremlin? Tusubiri tuone.

Huyu ndiye Maria Zakharova aliyetoa kauli hiyo leo hiiView attachment 2211475
Fake news
 
Hakuna taifa kubwa kwa hapa Duniani kama Urusi.hakuna wa kumuondoa Putin zaidi ya Mungu pekee aliyemuumba.napata mashaka kwa matamshi ya mkremlin maana katika mataifa ambayo uwa ayapendi kuingilia mambo ya nchi chingine ni pamoja na Israel
Usisahau Mungu anaishi katikati ya watu. Watu watamuondoa Putin.
 
Hayo yamesemwa na msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa Urusi Maria Zakharova huku akiweka wazi pia kuwa mamluki wa Israeli wanapigana bega kwa bega na Azov nchini Ukraine.

“Bado, nitasema kitu fulani ambacho wanasiasa wenyewe nchini Israeli ambao sasa wanachangia kampeni hawatataka kukisikia. Au labda watataka kuyasikia. Nchini Ukraine, mamluki wa Israeli wako bega kwa bega na wanamgambo wa Azov,” alisema Waziri wa mambo yan je wa Urusi Bi Maria Zakharova

“Niliona video, muundo,na nyenzo,” Zakharova alisisitiza.

Azov ni kikosi cha wanamgambo kilichoundwa kama jeshi la kujitolea tangu mwezi Mei 2014, na kimekuwa kikipigana dhidi ya vikosi vya Urusi katika jimbo la Donbas nchini Ukraine. Kwanza kilishuhudia mapigano yaliyopelekea kukamatwa tena kwa Mauripol kutoka mikononi mwa wanajeshi wa Urusi na wapiganaji wanaotaka kujitenga wanaoungwa mkono na Urusi mwezi Juni mwaka 2014.

Pia amesema kuwa mazungumzo kuhusu chuki dhidi ya Wayahudi, ambayo yalianzishwa baada ya Sergei Lavrov kutoa matamshi makali sio "upendeleo", bali "ni ya kupotosha ukweli " wa matatizo halisi, alisema msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya Urusi Maria Zakharova.

"Uache kuyaita 'ya upendeleo'. Kuna neno zuri la kibinadamu – Ubaya ," Zakharova alisema.

Zakharova alisema kwamba Urusi ilijaribu "kuwasiliana na Israeli kujaribu kufafanua, kuomba aina fulani ya huruma na uelewa wa tatizo ." Hatahivyo, kulingana na Zakharova, majaribio haya hayakufanikiwa.

Je Wayahudi kumuondoa Putin Kremlin? Tusubiri tuone.

Huyu ndiye Maria Zakharova aliyetoa kauli hiyo leo hiiView attachment 2211475
Israel watawafanya nn urusi bwana unafikiri palestina hao
 
Ndo mana tulishasema hii vita haiwezi chukua muda mfupi kama pro putin wanavyodai kutokana na mamluki wa jeshi la ISRAEL wako vitani kuisaidia ukraine
 
Huyu ndiye Maria Zakharova aliyetoa kauli hiyo leo hii
Kwenye TITLE umeandika :

Urusi yajaribu kuwasiliana na Israel kuomba msamaha bila mafanikio baada ya kauli ya Sergie Lavrov dhidi ya Wayahudi​

Back
Top Bottom