elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,704
urusi imeanza ujenzi wa kinu cha nuclear kijulikanacho kama Bushar 2, huko Iran.
Kinu hicho ambacho kitazalisha umeme wenye MW 2,100 kitatumia teknolojia ya vinu vya nuclear ya kizazi cha tatu.
Makubariano ya ujenzi wa kinu hicho kati ya Moscow na Tehran yalifikiwa miaka mitatu iliyopita na yanaonyesha urafiki mkubwa uliopo baina ya serikali hizi mbili.
Source Rt