Urusi: Wanafunzi washambuliwa kwa risasi chuoni

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Ripoti za awali zinasema angalau watu nane wameuawa baada ya Mtu mwenye silaha kufyatua risasi katika Chuo kilichopo Mji wa Perm.

Baadhi ya Wanafunzi na Walimu walionekana kujificha, huku wengine wakiruka madirishani. Bado haipo wazi watu wangapi wamejeruhiwa. Polisi wanasema Mshambuliaji ni Mwanafunzi na tayari amekamatwa.

======

At least eight people have been killed when a gunman opened fire at a university in the Russian city of Perm, officials say.

The assailant walked on to the campus on Monday morning and started shooting.

Students and teachers barricaded themselves inside the university building; others were seen jumping from windows.

It is unclear how many people were injured. Russian police say the attacker has been detained.

Russia's official Investigations Committee says the attacker was a student at the university.

The incident occurred at at Perm State University, located around 1,300 kilometres (800 miles) east of the capital, Moscow.

Videos circulating on social media shows students throwing belongings from windows from buildings on campus before jumping to flee the shooter.

This piece of footage of students jumping out of windows was broadcast on Russian TV

Source: BBC
 
At least eight people were killed and several others injured in a shooting at a university in the Russian city of Perm on Monday, the state investigative committee said. A suspect entered the Perm State University campus "with an offensive weapon" and opened fire on Monday morning.

A suspect in the shooting was arrested and wounded after resisting law enforcement officers, the investigative committee said.
Hamza kauliwa ,hivi wangemkamata leo hii tungekuwa na wa kumuamini.
 
Shambulizi la kuotea ni kitu kibaya sana, wewe utakuwa una Atomic bomb, lakini mimi mwenye kimguu cha bata nikikushtukiza tu risasi 1 ya mwilini mwako tayari nimeshajichukulia pointi 3 za ushindi.

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Ukitumia neno "Angalau" aisee hili neno linaleta ukakasi walete neno jengine kwenye majanga Kama haya Kama mbadala wa neno at least..
 
Hamza angekamatwa mzima, basi wangemuua katika kituo cha Polisi au Mbweni. Wasingekubali aongee madudu yao Polisi.

R.I.P Shujaa Wa Taifa Hamza.
 
Haya mambo tulizoea kuyasikia Marekani. Sasa yamefika mpaka Urusi.Ni dalili za dunia kuelekea kusiko, ni tatizo la stress kuongezeka duniani
 
Back
Top Bottom