URUSI: Tunachunguza taarifa kuwa mashambulio yetu ya anga yamemuua kiongozi wa ISIS

Kurzweil

JF-Expert Member
May 25, 2011
6,622
8,395
Wizara ya Ulinzi ya Urusi imesema kuwa inachunguza taarifa za kifo cha kiongozi wa Dola ya Kiislam, Abu Bakr al - Baghdad baada ya vikosi vya nchi hiyo kufanya shambulio la anga wakati viongozi wa ISIS wakifanya kikao.

Kwa mujibu wa taarifa zilizothibitishwa na vyanzo mbalimbali kiongozi huyo wa juu kabisa wa ISIS alihudhuria kikao hicho kilichofanyika katika mji wa Raqqa.

=====

Screenshot from 2017-06-16 11-26-38.png

Moscow (CNN) - Russia's Defense Ministry says it is investigating reports that ISIS leader Abu Bakr al-Baghdadi was killed in a Russian airstrike in Syria last month.

The airstrike was carried out on the outskirts of the militant group's de facto capital Raqqa, on a command post where ISIS leaders were meeting, Russian state media TASS reports.

"According to information, which is being verified via different channels, the meeting was also attended by the (ISIS) leader Ibrahim Abu Bakr al-Baghdadi, who was eliminated in the strike," the ministry said, according to the TASS report in English.

They were discussing their exit from the city through the so-called southern corridor, the ministry said, according to TASS.

CNN is not able to verify the Russian claims. There have been multiple reports of al-Baghdadi's death.
 
Intelligence ya jamaa si ya kuchezea, naamini jamaa walikuwa wanafuatilia nyendo za mkuu bila kuchoka then wakapiga wote kwa pamoja.

Kama ni kweli, Hongera kwa kuwa warusi kulizoofisha hili kundi.
 
But the most important is that he has gone!
 
Intelligence ya jamaa si ya kuchezea, naamini jamaa walikuwa wanafuatilia nyendo za mkuu bila kuchoka then wakapiga wote kwa pamoja.

Kama ni kweli, Hongera kwa kuwa warusi kulizoofisha hili kundi.
watakuwa wamesaidiwa na TISS hao.,lol
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom