URUSI: Sasa Kuivunjia heshima Serikali, viongozi wake na Rais Mitandaoni Jela Siku 15 au faini Millioni 3.5

mitale na midimu

JF-Expert Member
Aug 26, 2015
10,420
17,701
Sheria hiyo imepitishwa na Bunge la Urusi na Itamgusa hata atakayemsema vibaya mitandaoni Rais Putin.
Yule mkosaji anayerudiarudia kosa hilo atapata ongezeko la adhabu zaidi ya hiyo iliyopangwa.

Mbunge wa Upinzani Sergei Ivanov akipinga sheria hiyo tata, alisema '' Kama tukiacha kumuita mjinga, MJINGA, hawezi kuacha Ujinga wake''.
Putin anatarajiwa Kusaini Sheria hiyo wiki chache zijazo.

======

Russia’s parliament has approved a controversial law that allows courts to jail people for online “disrespect” of government or state officials, including the president, Vladimir Putin.

The law, which critics say is reminiscent of Soviet-era legislation used to target political dissidents, stipulates fines of up to 100,000 roubles (£1,155) for “indecent” online posts that demonstrate a “blatant disrespect for society, the country, Russia’s official state symbols, the constitution, or the authorities”.

Repeat offenders can be hit with fines of up to twice this sum, or 15 days behind bars.

Alexander Verkhovsky, the head of the Moscow-based Sova Centre, which monitors abuse of anti-extremism legislation, said people could face prosecution for online comments such as “Putin is a bastard”, or jokes about parliament. Others expressed concern that the law was so vaguely worded that almost any online criticism of the authorities, including satirical memes, could be construed as “disrespect”.

“Soon we’ll be telling jokes about the authorities in whispers in the kitchen,” Sergey Shvakin, a Moscow-based lawyer, wrote on Facebook.

The law, which was authored by Andrei Klishas, a senator from Putin’s ruling United Russia party, was criticised by some MPs and government officials. “One of the tasks of government bodies is to calmly hear out criticism of its work,” Alexei Volin, the deputy communications minister, told the Vedomosti newspaper.

“If we stop calling a fool a fool, he won’t stop being a fool,” said Sergei Ivanov, an MP with the nationalist LDPR party, which usually backs the Kremlin on major issues.

Klishas denied the law was a form of censorship and said the authorities were “in and of themselves worthy of respect”. Putin is expected to sign the law into force in the coming weeks.

Parliament also approved separate legislation, likewise authored by Klishin, that will give the authorities powers to block webpages that publish “disrespectful” material or “fake news”. Klishin insisted, however, that the law would not be used to target independent or opposition websites, saying it would not affect “traditional media”.

The laws come after Putin’s trust ratings hit a 13-year low of 33% in the wake of a vastly unpopular move to increase the national retirement age by five years. The results of January’s poll, carried out by the state-backed Public Opinion Research Centre, represented a decline of 37 percentage points from 2015.

Putin is thought to be extremely sensitive to perceived insults. One of his first acts when he came to power in 2000 was to target a satirical television show called Kukly (Puppets) that was broadcast by the NTV television station.

In one episode, aired in January 2000, Putin was depicted as an evil, infant gnome muttering obscenities. Within months, the NTV channel was taken under state control, and jokes about the ex-KGB officer quickly disappeared from Russia’s television screens
 
Sheria hiyo imepitishwa na Bunge la Urusi na Itamgusa hata atakayemsema vibaya mitandaoni Rais Putin.
Yule mkosaji anayerudiarudia kosa hilo atapata ongezeko la adhabu zaidi ya hiyo iliyopangwa.

Mbunge wa Upinzani Sergei Ivanov akipinga sheria hiyo tata, alisema '' Kama tukiacha kumuita mjinga, MJINGA, hawezi kuacha Ujinga wake''.
Putin anatarajiwa Kusaini Sheria hiyo wiki chache zijazo.

Source:
Russia passes law to jail people for 15 days for 'disrespecting' government
Kama Putin ni mjinga sijui wangempata Faru John wangemwitaje?
 
Kumbe tuko kwenye right track? Nafikiri tulishavuka kitambo hii hatua.

Tunakoelekea vijana walioko kwenye masomo itaanza kuwawia ugumu kuelezea maana ya demokrasia.
 
Sheria hiyo imepitishwa na Bunge la Urusi na Itamgusa hata atakayemsema vibaya mitandaoni Rais Putin.
Yule mkosaji anayerudiarudia kosa hilo atapata ongezeko la adhabu zaidi ya hiyo iliyopangwa.

Mbunge wa Upinzani Sergei Ivanov akipinga sheria hiyo tata, alisema '' Kama tukiacha kumuita mjinga, MJINGA, hawezi kuacha Ujinga wake''.
Putin anatarajiwa Kusaini Sheria hiyo wiki chache zijazo.

Source:
Russia passes law to jail people for 15 days for 'disrespecting' government
Nchi za ki communist na u communist wenyewe, ni janga kwa dunia. Bahati mbaya na Tanzania tunapatikana huko .

Hata sisi huku bunge letu linapitisha miswaada mpaka unajiuliza. Hawa watu wana akili kweli ?!
Mfano mswaada wa Gas na mafuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama nchi ikiwa na viongozi imara kama kina Putin na x Jinping sio mbaya.

Mbaya ni pale unakuta kichaa ndio mwenye madaraka hajui hata maana ya uchumi
Mbaya zaidi ukute ni mkabila na fisadi, tena mwenye kuleta mgawanyiko kwenye jamii.
Wewe jamaa ....duuuuh
 
Mbunge wa Upinzani Sergei Ivanov akipinga
sheria hiyo tata, alisema '' Kama tukiacha
kumuita mjinga, MJINGA, hawezi kuacha Ujinga
wake''.

QUOTE OF THE DAY.
 
Penda cha kwako, hata huko wapo wanaowaona hao viongozi katika mtazamo kama wako huu
Kama nchi ikiwa na viongozi imara kama kina Putin na x Jinping sio mbaya.

Mbaya ni pale unakuta kichaa ndio mwenye madaraka hajui hata maana ya uchumi
Mbaya zaidi ukute ni mkabila na fisadi, tena mwenye kuleta mgawanyiko kwenye jamii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi za ki communist na u communist wenyewe, ni janga kwa dunia. Bahati mbaya na Tanzania tunapatikana huko .

Hata sisi huku bunge letu linapitisha miswaada mpaka unajiuliza. Hawa watu wana akili kweli ?!
Mfano mswaada wa Gas na mafuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbuka mfumo wa uendeshaji Serikali KWA nchi nyingi wenye Sera ya Ujamaa, wameiga mfumo unaotumika Urusi, na China KWA kiasi Fulani.
KWA Tz, Serikali ime-copy na ku-paste mfumo uliopo Urusi, ambao kwao Rais amefanywa kuwa ni Mungu ktk nchi hiyo.Mungu Vladimir Putin ndiye mwenye mamlaka yote kwenye nchi hiyo. Tz nako hatupo mbali sana na Urusi, hata mfumo wa utendaji ktk baadhi ya Taasisi unafana moja KWA moja na ule unaotumika kule Urusi, eg. TISS inafanya kazi ktk mfumo unaotumika kule na FSB (zamani iliitwa KGB), na hata watendaji wengi wa TISS walipata mafunzo yao huko Urusi chini ya KGB au FSB ya leo.
 
Back
Top Bottom