Urusi: Rais Putin asisitiza kutoruhusu ushoga, asema ndoa ni kati ya mwanamke na mwanaume tu

Acheni unafiki nyie watu na mungu anawaona nyie si ndio mulikua mnapiga kelele kusema kua majamaaa wameonewa!!!je wakumbuka siku ya hukumu ya wale watu kuna mama ambaye aliitwa kutoa ushahidi kua mtt wake naye alifanyiwa kitendo kile alikua analia baada y hukumu kupita na kusema alikua ana namna maana aliambiwa aseme vile, kwenye Kampeni za wapinzani moja ya ahadi zao zilikua kuwatoa jamaaa, wasaniii wote waliimba kwa namna tofuti kua jamaa wameonewa, leo hii mnaleta unafiki. unafiki mbaya sana bora kuua kuliko unafiq.
..wamekutwa na hatia na mahakama zote hapa nchini.

..hata mahakama ya afrika mashariki ilikubaliana na mahakama za Tz.

..nashangaa na kusikitika kwanini wameachiwa, na kupewa heshima kubwa ya kupokelewa Ikulu. Na mapokezi hayo yakatangazwa dunia nzima ili kutuchafua waTz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni unafiki nyie watu na mungu anawaona nyie si ndio mulikua mnapiga kelele kusema kua majamaaa wameonewa!!!je wakumbuka siku ya hukumu ya wale watu kuna mama ambaye aliitwa kutoa ushahidi kua mtt wake naye alifanyiwa kitendo kile alikua analia baada y hukumu kupita na kusema alikua ana namna maana aliambiwa aseme vile, kwenye Kampeni za wapinzani moja ya ahadi zao zilikua kuwatoa jamaaa, wasaniii wote waliimba kwa namna tofuti kua jamaa wameonewa, leo hii mnaleta unafiki. unafiki mbaya sana bora kuua kuliko unafiq.

Sent using Jamii Forums mobile app

..kwanza simkumbuki huyo mama.

..pia alitakiwa kusema hayo mambo yake mahakamani.

..kweli Lowassa aliahidi kumtoa Babu Seya.

..Lakini mimi ni kati ya wapinzani ambao hawakukubaliana na ahadi hiyo.

..Je, wewe ulikubaliana na kila ahadi aliyotoa mgombea wa ccm?

..Babu Seya alipita ktk ngazi zote za mahakama zetu, mpaka mahakama ya Rufaa. Kote alikopitia mahakama ilimkuta na hatia. Katika mazingira hayo hatuwezi kusikiliza wasanii kwani siyo kazi yao na hawana utaalamu ktk masuala ya kijinai.

..Mgombea wa CCM na kampeni yake walimpinga Lowasa kuhusu Babu Seya.

Leo CCM mmempokea Lowassa pamoja na Babu Seya. Sasa mnafiki ni nani kati ya CCM na wapinzani?

..CCM mliokuwa mkipinga suala la Babu Seya kuachiwa kwanini sasa hivi mmekuwa kimya?
 
... angekuwa na akili angejenga mifumo imara bada ya kujijenga yeye binafisi! Putin, Putin, Putin! Isn't Putin just a human being? How long is gonna live? Soon very soon is gonna perish. Je, ameweka mifumo imara ya kuzuia ushpga Urusi? Hilo ndio la muhimu otherwise none sense zaidi ya kujitafutia kiki za muda tu.
 
..ccm mnajichanganya na kuongea kwa ndimi mbili.

..CCM mnapinga vipi ushoga, huku mkiunga mkono walawiti watoto kama Babu Seya na Papii?

..mnachofanya ni unafiki tu.
Teh teh teh! Watawala wa Ccm wana ndimi mbili.
 
... angekuwa na akili angejenga mifumo imara bada ya kujijenga yeye binafisi! Putin, Putin, Putin! Isn't Putin just a human being? How long is gonna live? Soon very soon is gonna perish. Je, ameweka mifumo imara ya kuzuia ushpga Urusi? Hilo ndio la muhimu otherwise none sense zaidi ya kujitafutia kiki za muda tu.
Umepanic Bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu weupe ni wehu,,yaan wanakulazimisha ushiriki kinyume na maumbile ili wakupe msaada..hivi huwa wanakwama wapi hawa jamaa!
Weupe wa ngozi lakin mioyo yao imejaa sumu iliyo hatar sana..
 
Hata Saudi Arabia hawataki tena kabisaaa lakini sijawahi kusikia wakipigwa mikwara na marekani au kuwekewa vikwazo.
 
MAENDELEO HAYANA VYAMA!
Putin ni zao la serikali ya awamu ya5! Hongera sisiemu kwa kumwezesha Putin kuwa rais wa urusi
 
Huku hakuna cha haki za binadamu kupiga Kelele.

Jamaa amesema na wala hutasikia vikwazo kutoka Marekani.

Huku hakuna wambea wa kusafiri kwenda marekani kupeleka umbea, ukienda ujue ukirudi kifo ni haki yako.

=====

(AFP) – MOSCOW: Russian President Vladimir Putin on Thursday stressed that marriage is solely a heterosexual union and supported the idea of enshrining the notion in the country´s updated constitution.

“A marriage is a union of a man and woman,” he said at a meeting with a Kremlin-appointed committee discussing new amendments to the Russian constitution. “This is the right idea and it should be supported. We need to only think about how to formulate it and where,” he said after conservative lawmaker Olga Batalina said Russia´s constitution should uphold “traditional family values.”

She claimed the family is under attack from attempts to introduce new terms like “parent number one” and “parent number two.” “This is not fantasy, this is reality in some countries,” said Batalina, a senior lawmaker in the majority United Russia party who has lobbied for Russia´s ban on foreign adoptions and a “gay propaganda” law which de-facto outlawed LGBT activism.

“As long as I´m president, we won´t have (parent number one and parent number two). We will have ´dad´ and ´mom´,” Putin said. Putin in January announced that Russia needed changes to the constitution written in 1993 and appointed a committee of dozens of lawmakers and celebrities to come up with ideas.

At the televised meeting Thursday, members advised putting into the constitution phrases about Russia being a “peacemaking state” for humankind, and a country that was victorious in World War II, among a huge range of other offers.

Source: AFP
Mbona hata Museveni hataki ushoga, na hajazuiwa kwenda US na vikwazo hajawekewa?
Huyo Makonda wenu ni muuaji mshenzi msitake kuleta ushabiki maandazi

Si umeona hata yeye mwenyewe kaka kiume zaidi,sio wale wanaofagilia ushoga hata maumbile yao tu yanatilisha mashaka...
 
... angekuwa na akili angejenga mifumo imara bada ya kujijenga yeye binafisi! Putin, Putin, Putin! Isn't Putin just a human being? How long is gonna live? Soon very soon is gonna perish. Je, ameweka mifumo imara ya kuzuia ushpga Urusi? Hilo ndio la muhimu otherwise none sense zaidi ya kujitafutia kiki za muda tu.
Tatizo ni pale wewe wa Mbagala Kizuiani unajiona kuijua Mifumo zaidi ya Putin aliyepo Moscow.
 
Huyu dudus ni mutu wa ajabu sana. Badala kumpa pongezi puttin yeye ni kumponda tu kisa asisitiza kutoruhusu ushoga,,,bahati ameidelete comment yake otherwise ningempa neno moja tu
 
Lakini inasemekana baba Keagan analiwa ndogo na Mshua ina maana wanakulana wao kwa wao
 
Back
Top Bottom