Urusi na Ukraine wasaini makubaliano ya kuruhusu uuzaji wa nafaka

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,021
1,608
Maafisa wa Urusi na Ukraine wametia saini makubaliano ya kuruhusu mauzo ya nafaka kutoka bandari ya Bahari Nyeusi ya Ukraine, yanayokusudia kupunguza tatizo la upungufu wa chakula duniani

Nchi hizo pamoja na nchi Jirani ni miongoni mwa wauzaji wakubwa wa chakula duniani, lakini vita vinavyoendelea vilisababisha kufungwa kwa bandari ya Bahari Nyeusi, na kukwamisha usafirishaji wa nafaka nje ya Ukraine

Aidha, Mkataba huo ni halali kwa siku 120 na unaweza kurudiwa bila mazungumzo zaidi

……………………….

Russia, Ukraine sign UN-backed grain export deal
Agreement set to allow grain to be exported from Ukrainian Black Sea ports amid fears of a global food crisis.

Russian and Ukrainian officials have signed a deal to allow grain exports from Ukrainian Black Sea ports, as UN Secretary-General Antonio Guterres and Turkey’s President Recep Tayyip Erdogan said the agreement would help ease a global food crisis.

The neighbouring, warring countries are among the world’s biggest exporters of food, but Russia’s invasion led to a de-facto blockade of the Black Sea, resulting in Ukraine’s exports dropping to a sixth of their pre-war level.

Russian defence minister Sergei Shoigu and Ukraine’s infrastructure minister, Oleksandr Kubrakov, signed the deal separately on Friday, carefully avoiding sitting at the same table and avoiding shaking hands.

The signing ceremony took place at Istanbul’s lavish Dolmabahce Palace in the presence of Erdogan and Guterres.

“Today, there is a beacon on the Black Sea. A beacon of hope [and] possibility … and relief in a world that needs it more than ever,” Guterres said, calling on Russia and Ukraine to fully implement the accord.

Friday’s deal means around $10bn worth of grain will be available for sale with roughly 20 million tonnes of last year’s harvest that can now be exported, Ukrainian President Volodymyr Zelenskyy said.

The agreement is valid for 120 days and may be automatically renewed without further negotiations

Source: Al Jazeera
 
warusi wasivyo na aibu wanaiba nafaka na vyuma vya ukraine halafu wanauza aisee ovyo sana hawa.
Nataman sana Russia wafel kabisa ,taifa lisilo na utu, leo wamelipua Bandar ya Odessa yenye maghala ya nafaka ,,mda mfup baada ya kukubaliana nafaka hizo ziuzwe ili kuokoa dunia na njaa,ukizingatia weng watumiaji wa hizo nafaka ni Africa, kwa wanaokaa kwa mashemeji hawajui bei ya ngano kwa sasa ni mara dufu
 
Masaa chache yalopita majeshi ya Russia yameshambulia sehemu ya maghala kwenye bandari ya Odesa na kuharibu vifaa ya kufyatulia makombora ya HIMARS.

Ukraine-Russia live news: Guterres condemns attack on Odesa port​

A general view shows a sea port in Odessa, Ukraine.

Russian missiles hit infrastructure in Ukraine's port of Odesa a day after Russia and Ukraine signed a deal to reopen Black Sea ports to resume grain exports [File: Matthias Williams/Reuters]

Published On 23 Jul 202223 Jul 2022
  • UN Secretary-General Antonio Guterres “unequivocally condemns” reported strikes on Ukraine’s Odesa port.
  • Russian missiles have hit infrastructure in Ukraine’s port of Odesa, a day after Moscow and Kyiv reached a deal over grain exports.
  • Thirteen Russian missiles have hit Ukraine’s central Kirovohrad region, according to the local governor.
  • Fitch and Scope have downgraded Ukraine’s ratings after the war-ravaged country requested a debt payment freeze.
  • Russia says it destroyed four US-made HIMARS launchers, in a claim denied by Ukraine.

Source: Aljazeera/ Reuters
 
Ukisoma kitabu kinaitwa "How the world works" ,cha Noam Chomsky, utasema unatamani Wazungu wote wafe. Hakuna cha Mrusi wala Marekani na washirika wake, wote ni wanyama sana.
 
Nataman sana Russia wafel kabisa ,taifa lisilo na utu, leo wamelipua Bandar ya Odessa yenye maghala ya nafaka ,,mda mfup baada ya kukubaliana nafaka hizo ziuzwe ili kuokoa dunia na njaa,ukizingatia weng watumiaji wa hizo nafaka ni Africa, kwa wanaokaa kwa mashemeji hawajui bei ya ngano kwa sasa ni mara dufu
Wee ni kichaa aisee
 
Masaa chache yalopita majeshi ya Russia yameshambulia sehemu ya maghala kwenye bandari ya Odesa na kuharibu vifaa ya kufyatulia makombora ya HIMARS.

Ukraine-Russia live news: Guterres condemns attack on Odesa port​

A general view shows a sea port in Odessa, Ukraine.

Russian missiles hit infrastructure in Ukraine's port of Odesa a day after Russia and Ukraine signed a deal to reopen Black Sea ports to resume grain exports [File: Matthias Williams/Reuters]

Published On 23 Jul 202223 Jul 2022
  • UN Secretary-General Antonio Guterres “unequivocally condemns” reported strikes on Ukraine’s Odesa port.
  • Russian missiles have hit infrastructure in Ukraine’s port of Odesa, a day after Moscow and Kyiv reached a deal over grain exports.
  • Thirteen Russian missiles have hit Ukraine’s central Kirovohrad region, according to the local governor.
  • Fitch and Scope have downgraded Ukraine’s ratings after the war-ravaged country requested a debt payment freeze.
  • Russia says it destroyed four US-made HIMARS launchers, in a claim denied by Ukraine.

Source: Aljazeera/ Reuters
Urusi inaelekea hizo HIMARS zinampa shida Sana maana kila akifanya shambulio mahali anatuambia kaziharibu lkn ushahidi hatupi.
 
Urusi sio ya kuiamini hata kidogo, sitashangaa akivunja hayo makubaliano akapeleka warships zake baada ya Ukraine kuondoa mines zao baharini.
 
Back
Top Bottom