Urusi: Kremlin wametoa picha za Rais Putin akiwa mapumzikoni Siberia baada ya minong’ono juu ya afya ya Rais huyo kuwa mingi

I agree, but still I don't understand how Russia falls into the category of monarchy states.
Mkuu:
Huu utawala wa monarch ni kipindi cha transition ambao takriban nchi zote zilizo kuwa kwenye mfumo wa kijamaa/communism ni lazima upitie.
 
Madikteta ni vigumu kuwaamini watu wengine.
Kuna akili fulani kwa viongozi hawa ambao wanainua taifa mfano marehemu Gaddafi, huwa sijui hawawaamini wengine, hata mwendazake alikiwa na akili hizi hizi, alihisi ni yeye anaweza wengine vilaza tu, huwa hawaandai kabisa waendelezaji wao.
 
Uko sahihi,
Wala haiitaji political science kuelewa hilo.
Labda political scientists waliomo humu watusaidie, ila nchi ambayo haijengi taasisi imara ikitegemea utashi wa kiongozi aliyepo, ni swala la muda tu, itayumba.

Na ili uwe na uongozi uliobalance vizuri, hakikisha katiba ya nchi imetoa mamlaka ya kiasi kwa raisi lakini mamlaka hayo pia yakiwa utaratibu wa kuyazibiti.

Ndio maana hata hapa Tanzania eneo la eneo la kuanzia ni katiba mpya.
 
Hujielewi wewe.
Lazima ujione shithole sababu ndio ubongo wako ulilishwa hivyo na hao unaowaabudu.

Tofauti ya Putin na viongozi wa Afrika ni moja tu, kwamba Putin anatawala taifa la watu wabunifu ambao hawategemei chochote toka kwa wazungu basi.

Misimamo ya Putin alikuwa nayo pia Mugabe ila Mugabe alifeli sababu raia wake ni wapumbavu, hawajui kubuni chochote, ni tegemezi kwa wazungu.
 
Kuna akili fulani kwa viongozi hawa ambao wanainua taifa mfano marehemu Gaddafi, huwa sijui hawawaamini wengine, hata mwendazake alikiwa na akili hizi hizi, alihisi ni yeye anaweza wengine vilaza tu, huwa hawaandai kabisa waendelezaji wao.
Unatamani wawe kama nyerere ukishindwa narudi ikulu
 
Back
Top Bottom