Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 24,023
- 71,229
Sure ...by the way ,,, kwamchango wako wewe unaonaje ??? Kuna vita kweli hapo.Yeah kama kawaida mkuu
Sure ...by the way ,,, kwamchango wako wewe unaonaje ??? Kuna vita kweli hapo.Yeah kama kawaida mkuu
Ila mwisho wa siku watakaa chini na kuweka sawa mambo...always Marekani huwa anataka kuwa namba moja na anatamani hata Urusi isambaratike kabisa abaki mwenyewe (Marekani hana rafiki ama adui wa kudumu, anytime unaweza ukashangaa wakaa mezani vinginevyo siku nyingi sana angeshamvaa ila sababu bado hajapata maana Korea kuna wanaomkingia kifua)Aliyekutangulia kuiona siku sio wa kubeza, Nk hana historia katika vita yoyote kubwa, hivyo naona anataka kuingia msitu mgeni kwake, japo silaha zake pia sio za kubeza lakini "avaaye asijifu kushinda avuaye)
China na Urusi zinasema majadiliano ndo njia pekee ya kutatua mgogoro huo huku ikisisitiza sera yake ya 'double freeze' ambapo NK iache kufanya majaribio yake ya makombora na Marekani iache kufanya mazoezi ya kijeshi na SK, Marekani imekataa mpango huu kwa kusema kwamba ina haki ya kufanya mazoezi ya kijeshi na washirika wake huku ikisisitiza kwamba muda
wa mazungumzo na Korea Kaskazini unakaribia ukomo.
Unaomba/unataka kutambuliwa kwamba una nguvu za kinyuklia! Njia nzuri zaidi ni kufanya kitu ambacho automatically kitamfanya sio tu atambulike bali aheshimike na sio kulialia kijinga eti "anataka atambulike" kama mtoto mdogo; kweli Kim bado toto.Hao jamaa hawajaufyata wanataka watambuliwe kama taifa lenye nguvu za kinyuklia kinyume na hapo hakuna alichokifyata
sasa andunje anataka kutumbuliwa kwa kulazimishaUnaomba/unataka kutambuliwa kwamba una nguvu za kinyuklia! Njia nzuri zaidi ni kufanya kitu ambacho automatically kitamfanya sio tu atambulike bali aheshimike na sio kulialia kijinga eti "anataka atambulike" kama mtoto mdogo; kweli Kim bado toto.
Alisema watafanya mazungumzo pale ambapo watafanya jaribio la kombora litakaloweza kupiga USA na so ndio wameshalifanya sasa ni muda wa mazungumzo
Hao jamaa hawajaufyata wanataka watambuliwe kama taifa lenye nguvu za kinyuklia kinyume na hapo hakuna alichokifyata
KabisaMkuu kwani unafikiri hilo hawalijui, basi tu ubishi na kubeza beza tuu eti Kim kaufyata!!
Unaomba/unataka kutambuliwa kwamba una nguvu za kinyuklia! Njia nzuri zaidi ni kufanya kitu ambacho automatically kitamfanya sio tu atambulike bali aheshimike na sio kulialia kijinga eti "anataka atambulike" kama mtoto mdogo; kweli Kim bado toto.
sasa andunje anataka kutumbuliwa kwa kulazimisha