Urusi imezikatia gesi nchi za Poland na Bulgaria. Putin alivyosema walipe kwa ruble hakuwa anatania

Russia hakuna mabasha. NATO huwa wanawatumia wanajeshi mashoga kuwahadaa wanaume kwakuwapa jicho kisha kuwageuka. Russia kitendo cha kuonesha ushoga huwa unawatia hasira zaidi. Watakutandika risasi kwenye hilo shimo. Hivyo NATO hawana njia nyingine yakumuondoa Putini mafarakani

Sent from my SM-G5500 using JamiiForums mobile app
Subili utayaona majibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Poland imesema hahitaji hiyo gesi ya Urusi

Lakini mkataba ulikuwa kati ya kampuni ya Poland na kampuni ya Urusi

Kampuni ya Poland inayonunua gesi kuuza poland inasema kampuni ya Urusi imevunja mkataba kwa kutoipelekea gesi.Kuiburuza kampuni ya Urusi mahakamani kwa kukiuka mkataba


"Poland's deputy foreign minister said the country could cope without Gazprom's gas and had "taken some decisions many years ago to prepare for such a situation".

Polish state gas company PGNiG, which bought 53% of its gas imports from Gazprom in the first quarter of this year, confirmed that supplies to the country had been halted

It described the suspension as a breach of contract, adding that the company would take steps to reinstate the gas supply."
Mkataba hauainishi namna ya kufanya malipo zaidi ya kusema Euro/dola zitatumika. Muuzaji ndiye mwenye mandate ya kuelekeza mode of payment. Kwa sasa urusi imeelekeza mnunuzi lazima afungue akaunti Gazprombank ambako ataweka hizo dola au Euro zake kama mkataba unavyosema alipe kwa Euro/dola. Baada ya hapo asubiri gesi! Kinachoendelea na dola zake alizoweka hakimhusu! Gazprombank huzitumia hizo dola kununulia ruble kisha kuzituma hizo ruble kwa gazprom ambayo ndiyo huuza gesi. Rais wa EU keshasema huo utaratibu unakubalika na wanunuzi wakubwa wa gesi wa ulaya Ujerumani na Austria wameukubali. Ona hapa:

Austria will pay in rubles for Russian gas – official​

The country has accepted new payment terms and opened a ruble account, Chancellor Karl Nehammer has announced
Austria will pay in rubles for Russian gas – official

© Getty Images / ullstein bild
Austria has accepted the new ruble gas payment mechanism, introduced by Russia earlier this month, and will abide by it, Chancellor Karl Nehammer announced on Wednesday.
We, that is, [state energy company] OMV, accepted the terms of payment, as did the German government. They [the terms] were found to be in line with the terms of the sanctions. For us, this was important,” Nehammer said at a press conference.
Wewe ukizira wenzio wala!!
 
Poland imesema hahitaji hiyo gesi ya Urusi

Lakini mkataba ulikuwa kati ya kampuni ya Poland na kampuni ya Urusi

Kampuni ya Poland inayonunua gesi kuuza poland inasema kampuni ya Urusi imevunja mkataba kwa kutoipelekea gesi.Kuiburuza kampuni ya Urusi mahakamani kwa kukiuka mkataba


"Poland's deputy foreign minister said the country could cope without Gazprom's gas and had "taken some decisions many years ago to prepare for such a situation".

Polish state gas company PGNiG, which bought 53% of its gas imports from Gazprom in the first quarter of this year, confirmed that supplies to the country had been halted

It described the suspension as a breach of contract, adding that the company would take steps to reinstate the gas supply."
Sasa kama Poland hawahitaji gesi ya Urusi wanaenda mahakamani kufanya nini tena...

Jibu ni kwamba wanaihitaji gesi ya Urusi tena sana tu....
 
Urusi imesitisha huduma za kusambaza gesi katika nchi za Bulgaria na Poland, hali ambayo inaonesha mwelekeo wa uhusiano wa Urusi na mataifa ya Ulaya unazidi kudhorota.

Inadaiwa kuwa agizo hilo limetolewa na Rais wa Urusi, Vladimir Putin.

Nchi hizo ni za kwanza Barani Ulaya kusitishiwa usambazaji kutoka Urusi tangu taifa hilo lililoanza kuivamia Ukraine, Februari 24, 2022.

Vita ya Urusi na Ukraine imesababisha vifo zaidi ya 1,000, pia uhusiano unazidi kuwa mbaya kati ya Urusi na wanachama wa NATO.

Source: Daily Mail
Mbna wamekufa watu kidogo sana hawajafika hata laki
 
Urusi imezikatia gesi nchi za Poland na Bulgaria baada ya nchi hizo kukaidi kulipia gesi kwa kutumia pesa ya Urusi ruble. Mara baada ya tangazo hilo kutoka, bei ya gesi ilipanda kwa asilimia 12 katika nchi za magharibi!!

Gazprom halts gas supplies to Bulgaria, Poland
Russia’s state-owned energy corporation has put it down to Sofia and Warsaw’s failure to pay for the fuel in rubles

Gazprom, Russia’s major gas supplier, has announced that it completely halted gas deliveries to Bulgaria and Poland after these countries failed to pay for the fuel in rubles. According to the statement, the gas supplies will not resume until Sofia and Warsaw comply with the new terms.
Putin alichofanya hapa Ni kuwahi TU ili kuogopa fedheha au kuyagawa mataifa ya Ulaya (Divide and Rule)

IKO HIVI

Mkataba wa Poland kununua Gas Urusi unaisha Mwezi Octoba mwaka 2022. Poland imeweka wazi kuwa Baada ya mkataba kuisha haitanunua Gas kutoka Urusi,badala yake itaanza kufungua mabomba ya Gesi ya Kutoka Norway ambayo yalijengwa tangu mwa 2011. Mabomba hayo yalichelewa kufunguliwa kwasababu ya Gharama nafuu ya Gesi ya Urusi dhidi ya Gas ya Norway. Kwahiyo Kitakachobadilika Huko Poland Ni Gharama za Gasi TU na Wala sio kwamba Wataganda kwa kukosa Gasi Kama ninavyoona wengi wakishadidia.

Kuhusu Bulgaria. Hapa Kuna Kichekesho. Bulgaria inaitegemea Gas ya Urusi kwa 97%,Lakini Gasi hiyo inachangia 11% ya vyanzo Vya Nishati nchini Bulgaria. Kila mwaka,Bulgaria Inaagiza kiasi Cha Gasi Cha 111M m^3 kwa Mwaka. Meli kubwa na kubeba LNG inabeba kiasi Cha Gas Cha 260M m^3. Kwamaana hiyo,Bulgaria akipata Oil Tanker Moja ya LNG kutoka Marekani atatumia miaka 2 bila kuhitaji Gasi nyingine. Hapo Ni Bei TU itabadilika na Wala sio kukosekana kwa Gasi.

MAONI YANGU

Tangu tishio la Urusi kukata Gasi kuelekea Ulaya lianze,Mimi niliamua kufuatilia Umuhimu wa Gas ya Urusi barani Ulaya hasa Kiuchumi. Nimekuja Kugundua kwamba,Nchi ya Ujerumani ndio Mateka wa Urusi linapokuja kwenye suala la Gasi. Ujerumani inatumia kiasi kikubwa Cha Gasi kutoka Urusi kuendesha uchumi wake,na mbaya zaidi Hakuna mbadala wa Gasi hiyo. Kwa maana hiyo,Kama Urusi itakata Gasi yake kuelekea Ujerumani,basi hapo Uchumi wa Ujerumani utaingia RECESSION. Na Kwa kuwa Ujerumani ndio yenye Uchumi mkubwa barani Ulaya,Basi Ni wazi Ulaya nzima itayumba Kiuchumi.
 
Putin ni bogus, hakuna popote ambapo mkataba unaongelea hayo madafu yake for the terms of payment, tayari wamemwambia akaye na gesi yake kuna sources nyingi.

Kuanzia mwakani atatembeza hiyo gesi kama karanga.
 
Makampuni ya Urusi mengi yalikuwa ya Magharibi unashitaki vipi ? Kwa mfano Total ya Tanzania ambayo wamiliki wafaransa ina mkataba na Total ya ufaransa kununua mafuta Tanzania na kuyauzia kampuni ingine ya ufaransa.Ufaransa ikasema hainunui mafuta Tanzania utamshitaki nani kwa kuvunja mkataba?
hata Kama yalikuwa ni ya magharibi ,yaliingiaje kufanya biashara urusi!?? walikuwa na mikataba na urusi!! Na walikuwa wanalipa Kodi,hivyo wembe unakata kotekote!! Putin Safi Sana,Katia gesi hao kenge!!! na kipindi Cha kuganda ndo kimeingia,watageuka barafu kenge hao!!
 
Back
Top Bottom