Urusi imeuvunja moyo wangu

Kwanza naomba niseme wazi kuwa mleta mada ni Mnafiki tena mwenye unafiki wa kiwango cha SGR, kajifanya mrusi kumbe ni mna NATO proMax.

Pili Uzi umejaa taarifa za propaganda kutoka blogs za Kyiv nation independence, BBC na CNN.

Tatu mleta mada inaonekana bado huijui urusi kiuchumi, kisiasa na kijeshi ndo maana unalialia.

Hebu ngoja tu assume hizo taarifa zako ni sahihi na Urusi kapata hiyo hasara.
Halafu turudi kwenye hesabu za mrusi upande wa Nishat tu aliyowauzia EU toka mwezi 2-3 ni zaidi ya $47B/month ukizileta kwa pesa za kibongo ni zaidi ya 100T.

Haya sasa chukua hiyo 100T toa hivo vi trillions vyako ulivyo mezeshwa, halafu uone mrusi anabaki na trillions ngapi kwenye wallets. Na hapo ni mauzo ya mwezi mmoja tu kwa nchi za EU hapo sijaweka sehemu nyingine kama USA, South America na ASIA.

Niliwahi kusema hapa kuwa, kwa jinsi EU na USA wanavyomtegemea Russia kuendesha maisha yao, basi Russia anaweza endesha hii operation hata kwa miaka 10 mfululizo bila kukata upepo kwa pesa hizo hizo za wanao chochea vita. Na kadiri hii operation inavyo endelea ndo Russia anazidi kuteka miji mhimu na zenye rasilimali nchi Ukraine ambazo ndo target za hao mabwana wa western na USA.

Russia siyo Madagascar.
Kumbuka vifo vya wanajeshi ndio vitakavyowarudisha nyuma. Maisha matamu hata kama ni mjeshi

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
usiniforce nichambue gharama zingine za uendeshaji wa vita nilizo ziacha pamoja na athar za vikwazo na mali za urusi alizo poteza kupitia sunctions. usinifanye nifafanue Swift na mambo mengi kwa undani zaid.
tukutane kwenye uzi ujao
Uzi ujao mwanangu vip? Tayari nausubiri sisi wajerumani wa kankonko

Sent from my Nokia 1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Wabongo mnachekesha sana, ujuaji mwingi.
Ukiambiwa VITA basi kaa ukijua Kuna wanajeshi watauwawa, uhalibifu wa vitu mbalimbali km tanks, ndege, nk.
Mnadai putin anapigwa wakati bado yuko ukrein na maeneo mengi bado kayashikilia. Km angepigwa mpaka sasa asingekuwepo Ukrein, angesharudishwa nyuma na vita ingepiganiwa ndani ya Rusia. Acheni propaganda za kitoto. Ukrein haitakuwa Ukrein tena baada ya opareshen ya Rusia
 
Back
Top Bottom