Urusi: Bajeti ya jeshi yapunguzwa kutokana na athari za COVID-19

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,010
9,875
Urusi yatarajia kupunguza matumizi kwa jeshi lao kwa 5% kwa mwaka 2021 hadi 2023 kutokana na kupungua kwa bei za mafuta na janga la COVID19 lilivyoathiri uchumi wa nchi hiyo

Kwa takwimu za mwaka 2019 Urusi ilikuwa ni nchi ya nne kwa matumizi makubwa ya jeshi. Pesa iliyokuwa ikitumika ilikuwa ni 3.9% ya Pato la Taifa

Rais Vladimir Putin amehitaji kuboresha maisha ya watu na kuwekeza katika Afya na Elimu, viongozi wengine walishauri apunguze matumizi kwa jeshi ili kufanikisha hayo

Imesemekana kwamba matumizi katika jeshi yamekuwa yakiongezeka tangu Rais Putin aingie madarakani, japo taarifa kuhusu kiwango cha pesa kinachotumika kwa matumizi ya jeshi kinasemwa kuwa ni siri ya nchi

====

Russia is considering cutting spending on the military as low oil prices and the coronavirus crisis have pummeled its economy, a document published by the finance ministry shows.

The ministry has proposed the government cut state spending on the military by 5 percent between 2021 and 2023. The proposal, published on Monday, also includes budget spending cuts of 10 percent for the court system, the servicing of Russia’s debt and wages for civil servants.

Russia, which flexed its military muscle with its 2014 annexation of Crimea from Ukraine and intervention in the Syrian conflict, dropped out of the list of the top five biggest military spenders in 2018 after its spending fell 3.5 percent.

Last year it returned as the world’s fourth largest military spender and increased its military expenditures by 4.5 percent to $65.1 billion, according to the Stockholm International Peace Research Institute. That amount corresponded to 3.9 percent of its gross domestic product, it said.

President Vladimir Putin has called for better living standards and investment in healthcare and education. Some government officials have called for lower military spending to free up funds for such initiatives.

Military expenditures have increased under Putin, but the Kremlin said in 2018 that Russia would cut its defense budget to less than 3 percent of GDP within the next five years.

Exact figures for military funding are considered a state secret in Russia, but in 2018 the defense ministry said 20 trillion roubles ($282 billion) had been earmarked for the construction of military infrastructure under a new armament program for 2018-2027.

The World Bank expects the Russian economy to contract by 6 percent this year.
 
Trump ameshaanza kutumia jeshi kuzima maandamano Portland huko, hali ni mbaya sana kwa sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Jeshi gani la Marekani/US Army lipo Portland?
Screenshot_20200722-200342.jpg
Screenshot_20200722-200615.jpg
Screenshot_20200722-200655.jpg
 
Yani hakuna watu wabishi duniani kama watanzania.we upo buza kwa mparange, unabisha mambo yanayotokea USA.na sio Marekani tu Dunia nzima uchumi umeyumba kwa sababu ya corona.
Tofautisha kati ya Federal Agencies na US Amry,hivyo ni vitu viwili tofauti.
 
Back
Top Bottom