Uruguay yahalalisha bangi kisheria, Kuna uwezekana nchi za Afrika kuiga

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Nchi ya Uruguay imehalalisha matumizi ya Bangi kama kiburudisho ni katika hali ya kupambana na magenge ya mihadarati.

Sasa na sheria hii inawatuhusu raia wake tu na si wageni kutumia bangi kama kiburudisho.

Source Bbc swahili
 
Kupambana na uvutaji bange ni moja ya ukiukwaji wa haki za binadamu.
 
Nchi ya Uruguay imehalalisha matumizi ya Bangi kama kiburudisho ni katika hali ya kupambana na magenge ya mihadarati.

Sasa na sheria hii inawatuhusu raia wake tu na si wageni kutumia bangi kama kiburudisho.

Source Bbc swahili

Mkuu Ritz
Habari za kilimo mshtue kamanda Mwita Maranya akawekeze ana uzoefu wa kilimo hiki!
 
Last edited by a moderator:
mbona mi baba na mama walisema nikivuta nitachanganyikiwa?? au tunachanganyikiwa waafrika tu wenzetu wazungu kwao kiburudisho??? wake up Africans
 
Wakiruhusu bongo tumepoteza wengi watavuta hadi watachoka waanza kutafuta methamphetamine, ikiruhusiwa sitovuta ila sio siri napenda kutumia bangi kama mboga, kitu ukiipika ka mboga ya majani tamu kinoma, afu mwili unajengeka fresh, hata akili uwezo wa kufikiri unakua juu kdg... Hakuna mboga ya majani ka bangi
 
kuna mbunge aliwai kusema Tanzania iwaruhusu watu wavute bangi iwe halali.Daah NGIBA ,msuba,majani,dope aaah bonge la kiburudisho!
 
Nchi ya Uruguay imehalalisha matumizi ya Bangi kama kiburudisho ni katika hali ya kupambana na magenge ya mihadarati.

Sasa na sheria hii inawatuhusu raia wake tu na si wageni kutumia bangi kama kiburudisho.

Source Bbc swahili
gty_uruguay_131209_16x9_1600.jpg
 
Loh naanza kulima, polisi sitaki mnifuate maana nitakuwa naexport Uruguay
 
Back
Top Bottom