Urudishwaji wa kadi na upokeaji wa wanachama upya....kuna nini???? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Urudishwaji wa kadi na upokeaji wa wanachama upya....kuna nini????

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mhandisi Mzalendo, Jun 18, 2012.

 1. Mhandisi Mzalendo

  Mhandisi Mzalendo JF-Expert Member

  #1
  Jun 18, 2012
  Joined: Aug 23, 2010
  Messages: 2,226
  Likes Received: 1,103
  Trophy Points: 280
  nimejaribu kufuatilia mikutano ya ccm ya hapa dar es salaam kama miwili hivi kwa siku za karibuni, mmoja wapo ni ule wa jangwani siku kadhaa zilizopita na ule wa jana ulioongozwa na uvccm mkoa wa dar es salaam kwa ajili ya vyuo vikuu ,disha kadi za vyama vingine(jangwani) wengi ni wasichana na wanawake na nikaona wanaume wachache sana na pia ule wa jana wa uvccn na vijana wa vyuo vikuu walikuwepo wanawake tupu hamna mwanaume hata mmoja(source: clouds tv taarifa ya habari j2 usiku). nkajiuliza maswali kadhaa kichwani mwangu ....
  1. kwa nini wanawake tupu??
  2. wanajiandaa na nini?
  3. viongozi wa ccm hawalioni hili la vijana wa kiume kutojiunga nao(je wamekosa mvuto na chama au ni mbinu mojawapo?)
  4. kuna uhusiano wa wimbi la wanawake tupu kujiunga ccm na uchaguzi wa 2015?
  5. kina uhusiano wa wingi huu wa wanawake na jinsia ya mgombea uraisi 2015 kwa kupitia ccm????

  hebu wenzangu nisaidieni katika hili
  tafakari chukua hatua.
   
 2. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #2
  Jun 18, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Wanawake wengi waliandaliwa, tena wengine ni wanachama watiifu kwa ccm, wanajifanya ndo wanajiunga upya.
  Wengine ni wale ambao wazazi wao wapo kwenye system, na wengine ni wale ambao akina rizmoko wamewararua.

  Hapo sasa!
   
 3. m

  mamajack JF-Expert Member

  #3
  Jun 18, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 1,162
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  UKIWA MWANAMKE NYINYIEMU NI VIRAHISI KUPATA VITI MAALUMU,UKIZAA MTOTO MMJA AMBAYE BABAKE ATAKUWA NI AMONG MAFISADI UMEULA.WHETHER UNAUWEZO AU HAUNA UWEZO WA KUWATUMIKIA WANANCHI.AU UKIWA KUBURUDISHA CHA FISADI,NI KIGEZI TOSHA KUPATA NAFASI,THAT'S WHY WANAWAKE WENGI WANAINGIA CCM.

  where we dare to speak openly jamani, mh!!!!
   
 4. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 18, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,737
  Likes Received: 12,807
  Trophy Points: 280
  Hakuna jipya hapo,hao wanapenda khanga na t.shirt.
   
 5. Mhandisi Mzalendo

  Mhandisi Mzalendo JF-Expert Member

  #5
  Jun 18, 2012
  Joined: Aug 23, 2010
  Messages: 2,226
  Likes Received: 1,103
  Trophy Points: 280
  me navyoona wanaandaa wapiga kura watiifu wa mwaka 2015 kwa kuwa watasimamisha mgombea mwanamke mwaka huo so kura za wanawake zitakua ni muhimu kwao....wanaume wengi hawapigi kura
   
 6. Mhandisi Mzalendo

  Mhandisi Mzalendo JF-Expert Member

  #6
  Jun 18, 2012
  Joined: Aug 23, 2010
  Messages: 2,226
  Likes Received: 1,103
  Trophy Points: 280
  ila tshirt na kofia nazo c zawafaa wanaume, ubwabwa na posho nazo si zawafaa kwanin wawalenge wanawake zaidi??? kuna ajenda humoo
   
 7. Mhandisi Mzalendo

  Mhandisi Mzalendo JF-Expert Member

  #7
  Jun 18, 2012
  Joined: Aug 23, 2010
  Messages: 2,226
  Likes Received: 1,103
  Trophy Points: 280
  daah nachelea kukuunga mkono kwa hoja yako hii...ila lisemwalo lipo na sidhani chama kongwe kimeishiwa mbinu kiasi hicho.....
   
Loading...