urudishwaji wa hii mikopo 2liyopewa heslb | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

urudishwaji wa hii mikopo 2liyopewa heslb

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by sop sop, Sep 25, 2012.

 1. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #1
  Sep 25, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  namshukuru mungu mm n mmojawa wa2 waliopata hii mikopo ,sasa nilikuwa nauliza lits say nmekosa kaz au nmeajiriwa katika private sector watanikamatajE???
   
 2. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #2
  Sep 25, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Kwani wewe muhalifu? Ulihusika kwenye EPA? Meremeta? Richmond? Sema kama kweli tukutafute.
  My advise: kama unaweza kukwepa kwepa huwezi fungwa hakuna kesi hapo.
   
 3. sop sop

  sop sop JF-Expert Member

  #3
  Sep 25, 2012
  Joined: May 2, 2012
  Messages: 650
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  hapo sawa
   
 4. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #4
  Sep 25, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,847
  Trophy Points: 280
  mkuu kumbuka hii nchi ni shamba la bibi ukipewa kidogo kula tu hamna kurudisha wala kukamatwa
   
 5. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #5
  Sep 25, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  hii ndo tz bwana kwani hao mafisadi nani amewakamata??? iweje waje watukamate sisi.....
   
 6. QUALIFIED

  QUALIFIED JF-Expert Member

  #6
  Sep 25, 2012
  Joined: Jun 13, 2012
  Messages: 747
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 45
  kurudisha ni lazima vijana hata kama ukifanya kazi private institution ukishapata hati ya kuajiliwa watakudaka thru TRA kuweza kukwepa kulipa labda ukafanye kazi nje ya nchi tena iwe umeondoka kimagumashi
   
 7. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #7
  Sep 25, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Me ntalipa kama kawaida, na kuepusha usumbufu nawalipa kwa mkupuo, kubabeki sitaki kukata 8% hawa jamaa watakata zaidi
   
Loading...