Urithi wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli

Ameacha nchi ni masikini zaidi kuliko alivyoikuta hopeless kabisa huyu kichaa
Habari.

Kuna watu waliimba na kuhubiri,
Kusujudu na kurukaruka.
Kunywa bia na kuponda bata la kufa mtu kwamba kwa maisha yao yatakuwa bora mno baada ya Magufuli.

Leo ni miezi 8 bila Magufuli lakini kila wakigeuka huku hakuna umeme, wakigeuka hakuna maji ,wakigeuka huku mbolea lakini moja, wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye migodi ,wakigeuka huku wanafukuzwa kwenye mitaa, wakigeuka huku Mungu wao yuko jela kwa ugaidi.

Leo ndiyo wamejua Magufuli alikuwa anafanya kwa ajili yao?
Jinga kabisa na bado mtaendelea kuwa watumwa hivyo hivyo.
Waliowadanganya wamtukane Magufuli wote wamepata mabwana Ulaya wanalishwa bure.

Malipo ni hapa hapa duniani.
 
Mimi nasema mara mia mbili hali hii kuliko yale maisha chini ya mwendakuzimu. Hata huko aliko afe tena
 
Kuna watu humu naonaga wanaumia kuhusu urithi (legacy) ya Magufuli mpaka wanajenga hoja eti inalazimishwa kwa nguvu.

Mi nawaambiaaga ni watu wenye akili kubwa tu tunaoelewa urithi wa Magufuli.

Haya muoneni na huyu Rais wa Shelisheli, naye ameungana na akili kubwa waliomuelewa Magufuli.

Au kuna watu wamemlazimisha kusema haya aliyoyasema?

" With these words, I would like to pay tribute to the exceptional African leaders who have recently passed. Late President John Pombe Magufuli was an extraordinary leader and a true visionary. His achievements for the people of the United Republic of Tanzania bears true testament to his lasting legacy."

- Wavel Ramkalawan (Rais wa Shelisheli) akihutubia kikao cha wakuu wa nchi za SADC jana tarehe 17-8-2021

Chanzo: Maiden Speech of President Wavel Ramkalawan on the occasion of the 41st Summit of SADC Heads of States and Government

-------

Kwa wapenzi wa picha, Mh. Rais ndo huyu hapa. Mwafrika mwenzetu wa nywele za kipilipili. Ni saluti kubwa sana kuona anamkubali mwafrika mwenzie, maana waafrika huwa hatufagiliani.

View attachment 1896685
Hawajui hata uchaguzi wa 2015 tulimchagua JPM na siyo CCM.
 
Hudhani kuwa kina Ben Azory Mawazo Lissu au hata wale wa kwenye viroba walikuwa na ndugu, jamaa, marafiki au hata sympathisers?

Au unadhani unavyotanguliza wewe njaa zako na wengine ni hivyo?

View attachment 1899920

Bila shaka wewe na huyu:

View attachment 1899909

baba mmoja mama mmoja au katika ile timu iliyo tupotezea ndugu zetu wengi.

Roho zenu na huyu hapa:

View attachment 1899902

zinaonekana kufanana. Hata mnadhani mliowaua, kuwajeruhi au kuwapoteza ilikuwa ni sawa tu.

Mashetani wakubwa nyie.
Ndimala Tegambage, Mhariri wa Mtanzania Dr Ulimboka na wengine ni JPM siyo?
 
Una maana nao walikutwa kwenye viroba?
Hilo la viroba acha kabisa, usione nchi ipo ilipo ukafiri ni simple, kawaulize msumbji waliliona la kawaida kinachotokea wanakijua, majeshi kutoka nje yapo huko.
 
Aliyeweka watu kwenye viroba ni mwovu sana!

Aliyewapoteza kina Lijenje, Azory au Ben ni mwovu, hana utu na heri ya ibilisi kuliko yeye.
Pole sana hujui nchi inalindwaje, siyo kosa lako. Kwa akili zako uanfiri Rais anatoa amri aua Azory au.... POLE SANA
 
Pole sana hujui nchi inalindwaje, siyo kosa lako. Kwa akili zako uanfiri Rais anatoa amri aua Azory au.... POLE SANA

Unayasoma wapi ya nani anatoa amri?

Ninakazia:

"Aliyeweka watu kwenye viroba ni mwovu sana!

Aliyewapoteza kina Lijenje, Azory au Ben ni mwovu, hana utu na heri ya ibilisi kuliko yeye."
------

Vipi ulikuwa mmoja wao?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom