Urio anaetajwa kwenye hii kesi ya Mbowe ni nani?

Ulisikiliza/kusoma ushahidi wa kwanza wa Adamoo na Ling'wenya (Walisema walipigwa na vitako vya bunduki kichwani huku wakiambiwa mkiwa wakaidi tutawatupa kama wenzenu ). Ambao walikuwa nao Tazara na Mbweni ila baada ya hapo hawajawaona tena mpaka walipoambiwa watatupwa kama wenzao. Tafakari. Serikali iwalete Lijenje na Urio. Na pia kila kituo walichokuwa wanapelekwa walikuwa wanaingizwa mahabusu kwa majina bandia hivyo huwezi kuwakuta katika register ya polisi popote pale Tanzania (unaona chezo hilo)
Ngoma hii ni nzito. Kuweni na subira. Urio na Lijenje wanaweza kutokea mahakamani wakiwa ni mashahidi wa upande wa serikali. Hamjui how the national security systems work. Kuna kitu kinaitwa fifth column! Mbowe atakuwa aliingia kichwa kichwa.
 
Inawezekana labisa hapo Luteni anataka apande faster awe Major....muda mwalim mkuu
 
Ngoma hii ni nzito. Kuweni na subira. Urio na Lijenje wanaweza kutokea mahakamani wakiwa ni mashahidi wa upande wa serikali. Hamjui how the national security systems work. Kuna kitu kinaitwa fifth column! Mbowe atakuwa aliingia kichwa kichwa.
Wewe acha kujidanganya wewe.hadi leo 5nov2021 hakuna muunganiko wa ushahidi wowote kuwa kulikua na njama za kufanya Ugaidi Mr Mbowe.
Mnapoteza muda tu.
Viongozi waliotakiwa kuuwawa na Mbowe ni Sabaya.
Mmawatesa watu bure tu.
Kama huyo Lutenant Urio hajafa Basi mnamkaririsha uongo.
Mtaumbuka tu.
Ukweli na uongo daima ukweli huja juu.
 
Leo imetoka twitter kuna uwezekano hakupotea ila kahifadhiwa mahali.Ndiye alikuwa informer ,toka twitter
Huyu Luteni Urio [kama informer] wa kina Kingai na Mahita hata aitwe leo mahakamani na akawa na jambo lolote kama ushahidi halitakuwa na thamani au umuhimu wowote ktk kesi hii mpaka hatua hii...

After all hata kama ni muhimu kwa kiwango gani kwa Jamhuri, hayupo hawakumwingiza kwenye orodha ya mashahidi isipokuwa [labda] upande wa utetezi wamtake kwa nguvu ya mahakama kuja ku - testify against Jamhuri iwapo wataona umuhimu huo kama ambavyo Sabaya na IGP Simon Sirro ataitwa na mahakama...

Na kama huyo Luteni ndiye "shahidi wao muhimu", na mwenye " kitu kizito" cha kuwaponda kina Mbowe, wasingekuwa na mashahidi 24 wasiokuwa na lolote ili kuja kupoteza muda na rasrimali za umma tu mahakamani. Huyu huyu mmoja angekuja na kumaliza kila kitu...
 
Wewe acha kujidanganya wewe.hadi leo 5nov2021 hakuna muunganiko wa ushahidi wowote kuwa kulikua na njama za kufanya Ugaidi Mr Mbowe.
Mnapoteza muda tu.
Viongozi waliotakiwa kuuwawa na Mbowe ni Sabaya.
Mmawatesa watu bure tu.
Kama huyo Lutenant Urio hajafa Basi mnamkaririsha uongo.
Mtaumbuka tu.
Ukweli na uongo daima ukweli huja juu.
Tunajua ni ngumu sana kwako kuamini au hata kufikiria kwamba haka ka mr mbowe kumbe ni kagaidi (ka tourist) ka siku nyingi! Sasa kamedakwa.
 
Huyu Luteni Urio [kama informer] wa kina Kingai na Mahita hata aitwe leo mahakamani na akawa na jambo lolote kama ushahidi halitakuwa na thamani au umuhimu wowote ktk kesi hii mpaka hatua hii...

After all hata kama ni muhimu kwa kiwango gani kwa Jamhuri, hayupo hawakumwingiza kwenye orodha ya mashahidi isipokuwa [labda] upande wa utetezi wamtake kwa nguvu ya mahakama kuja ku - testify against Jamhuri iwapo wataona umuhimu huo kama ambavyo Sabaya na IGP Simon Sirro ataitwa na mahakama...

Na kama huyo Luteni ndiye "shahidi wao muhimu", na mwenye " kitu kizito" cha kuwaponda kina Mbowe, wasingekuwa na mashahidi 24 wasiokuwa na lolote ili kuja kupoteza muda na rasrimali za umma tu mahakamani. Huyu huyu mmoja angekuja na kumaliza kila kitu...
Kwenye commital pale mahakama ya Kisutu, mashahidi walikuwa 21 tu. Kwenye mahakama ya mafisadi ni mashaidi ni 24. Maana yake mashaidi watatu waliombewa kuingizwa. Wengine majina yao yaliombwa kutotangazwa hadharani hadi wakati wa kesi. Upande wa utetezi walifanya hivyo hivyo.
 
Kwa hiyo unadhani yumo?

Jibu ni hili kwa herufi kubwa na kujiamini kabisa: HAYUPO...!!

WHY?

Kwa sababu walishamuua sawasawa tu kama walivyomua Moses Lijenje...

Sababu za kumuua?...Mimi na wewe kwa sasa hatuwezi kuzijua lakini itajulikana tu muda si kitambo...

NA HUU NDIYO uthibitisho kuwa, KESI HII NI YA KUBUMBA/KUTENGENEZWA MAGOGONI na yeyote aliyeshiriki halafu akaanza kuleta za kuletwa katikati ya safari kama kusitasita kuendelea mbele, kuugomea mkakati, kuanza kuhoji na kutishia kujitoa, basi dawa take ni KUUWAWA TU...!!
 
Duuh! Ngoja tusubiri.
 
Twitter wamasema wamefichwa na serikali.Mkague Mchambuzi twittani (Ndiyo maana hata ndugu zao huwasikii kupiga kelele
 
MCHAMBUZI

@Mchambuzi5

#MOSES LIJENJE NI MSALITI
Right pointing backhand index
Chanzo changu kinaniambia Moses Lijenje alikuwa kwenye mpango wa kuwauza akina Adamoo,
Right pointing backhand index
Ndiye aliyekuwa msiri wa Kingai na Kundi lake
Right pointing backhand index
Wakati wanakamatwa akina Adamoo alikuwa pamoja nao lakini alitoweka ghafla eneo la tu
 
Twitter wamasema wamefichwa na serikali.Mkague Mchambuzi twittani (Ndiyo maana hata ndugu zao huwasikii kupiga kelele
Tuashumu kuwa ni kweli..

Hawa kama wapo wangeweza kuwa mashahidi wa upande wa mashitaka bila shaka, au siyo...?

Sasa kama ndivyo, tunadhani kwanini wawafiche...?

Je, ni kwa sababu za kiusalama? Kwa security threats toka wapi? CHADEMA/Freeman Mbowe?

Kama ndivyo, this is very ridiculous maana mashahidi "muhimu" walio kwenye risk ya kiusalama ni upande wa utetezi. Hawa hata wakisema hawatawa - disclose mashahidi wao baadhi kwa sababu za kiusalama, mtu atàona sense...!!

Maana kama ni ishu ya kuwaficha ni USALAMA wao , basi waliopaswa kufichwa ni hawa kina Kingai, Mahita, Jumanne na waliokwisha kutoa ushahidi...

Nini maana ya hoja hii?

Ni kwa sababu hii kusema "wamefichwa", ni hisia zisizo na ukweli wowote kwa sababu mwenendo wa kesi unasema na kutoa majibu ya kila swali...!

Na kama ndugu zao hawapigi kelele, yaweza kuwa ni kwa sababu nyingine siyo hii...

By the way, kama kuna mtu anadhani Jamhuri wana shahidi/mashahidi wanaoweza kuja kuupindua uongo wa kina Kingai na Mahita [wakamata magaidi na waandaa mashitaka] wakishirikiana na wenzao kuwa ukweli, atakuwa na tatizo upstairs...!

Hebu jaribu tu kufikiri.

Kwamba, tuashumu Urio na Lijenje wamefufuka na wakajitokeza mahakamani ku - testify, unadhani watakuja na lipi jipya ambacho waigizaji wakuu wa filamu hii Kingai na Mahita hawaja display mahakamani...?

Kumbuka kuwa kesi yoyote ya jinai inaendeshwa kwa mujibu wa sheria ya CPA na kesi yoyote ya jinai inakuwa established na HATI YA MASHITAKA na USHAHIDI wa kuisapoti au kuyathibitisha makosa yaliyo ktk hati ya mashitaka...!!
 
Back
Top Bottom