Tofauti na zamani, siku hizi interaction zimekuwa nyingi hivyo usafi hauzingatiwi hususan public toilets na maji yanayotumika humoMbona zamani haikuwa case miaka hii imezidi. Ina maana wanawake wa zamani huwa walikuwa hawaendi chooni.....?!
Hata kama tayari unayo unapona kwa baking soda?Ukishindwa basi chukua baking soda kunywa kwa siku saba nusu kijiko cha wali weka kwenye maji glas moja mara tatu kwa siku. Kumbuka kunywa maji glas nane kila siku
Hii inatumikaje mkuuBicarbonate of soda ni mwisho wa tatizo
Bicarbonate nusu kijiko cha chakula unachanganya na maji safi na salama ujazo wa Mil 400(nusu lita kasoro Mils100)Hii inatumikaje mkuu
Ukimaliza dozi mkuu nenda kapime,utaleta mrejesho.Sina mashaka na hii tibaHii inatumikaje mkuu
Daktari mchoyo haujambo..?😉Ukimaliza dozi mkuu nenda kapime,utaleta mrejesho.Sina mashaka na hii tiba
sijambo,shkamooDaktari mchoyo haujambo..?😉
Salam gani hiyo au kuna kitu wataka ninyima!..sijambo,shkamoo
salamu ni haki yako kabisa mkuu itikia tu maana hata chakukupa sina.Salam gani hiyo au kuna kitu wataka ninyima!..
Sikujua kuwa wewe ni dokta ila mchoyo!
fanya urine culture and sensitivity ujue ni bacteria gani wanaokusumbua na wanarespond kwa dawa ganiNaomba kujuzwa dawa ya UTI sugu iwe ya kienyeji au kisasa......! Shukrani
We ndo mkubwa! Fanya hivi weka picha ya hiyo dawa Kama unayo siku yakinifika niwatatue au nayo utaninyima..?😜salamu ni haki yako kabisa mkuu itikia tu maana hata chakukupa sina.
Sina kwa sasa,ila madukani zipo.Inauzwa 300 tu mkuu.We ndo mkubwa! Fanya hivi weka picha ya hiyo dawa Kama unayo siku yakinifika niwatatue au nayo utaninyima..?😜