Urgently tahrir squre za tanzania zinatafutwa kwa miji mikubwa nwisho mwezi wa 7.

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Jun 4, 2011
7,789
8,902
Zina tafutwa tahrir squre kama tano hivi mwisho mwezi wa 7 kwa miji ifuatayo.
1. Dar
2.mwanza
3.arusha
4.mbeya
5,dodoma

hizi ni za kupiga kambi mwanzo mwisho
 
Tahrir square?ni kazi ngumu lakaini tukishaanza mpaka kieleweke,vuta nikuvute
 
Back
Top Bottom