Julian Bauer
Member
- Oct 3, 2011
- 8
- 2
Natafuta Rafiki wa Kike wa kubadilishana mawazo na awe na sifa zifuatazo:-
- Awe na utu
- Awe mcha mungu pref christian
- Asiwe na nyodo
- Awe na upeo wa kujua mambo
- Awe as natural as possible
- Awe SMART (kimavazi, mavazi ya heshima)
- Awe na Umri kati ya 26-28
- Kwa walio serious tu tuma maombi hapa info.julian@yahoo.com