Urgent used Massey Ferguson Tractor needed

Kipimbwe

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
370
71
Wapendwa habari za majukumu.Jamani natafuta tractor MFused Hp isiwe pungufu ya 70.Kama kuna mwenye nalo au anayeweza kunisaidia kulipata nilinunue naomba msaadaTafadhali ni PM.
 
Yapo mengi opposite na River Side Ubungo au karibu na Landmark Hotel, Mandela Rd.
 
MANING INTERNATIONAL(T)LTD: tunadeal na uuzaji wa spear parts na uuzaji wa tractors kutoka Europe.
Massey Ferguson 165 Manufactured in England ziko njiani kutoka Austria...zitaingia January mwisho.
Tel: +255 718 796 770
 
Back
Top Bottom