Urgent Toyota rush for sale in dar

pngoda

Member
Oct 4, 2011
19
1
Ninauza Toyota rush, modeli ya mwaka 2007, rangi nyeusi metalic (presidential colour), imetembea mileage 67000kms tu mpaka sasa. imeingia nchini mwezi wa saba mwaka huu. iko kwenye hali nzuri sana. kwa mwenye kuhitaji anichec pngoda@yahoo.ca
 
Transimission: cc1490
No accident history
bei: 26m only
mbele2.jpg ndani.jpg nyuma.jpg
 

Attachments

  • front site.jpg
    front site.jpg
    26 KB · Views: 276
dvd video.jpg with DVD option, A/C | AirBag | AlloyWheel | PowerSteering | PowerWindow | ABS | Navigation
 
Transimission: cc1490
Nadhani alimaanisha Auto or Manual or both?
na si size ya Engine
 
Ni kweli mkuu
Engine capacity: cc 1490
transmission: Auto
Drive: 2WD
Navigation pia inayo, its a classic vehicle kwa kweli
 
kiongozi yote hayo ni majibu ila sahihi zaidi ni (c) 26millioni na negotiable
 
Back
Top Bottom