Urgent: Natafuta shule yenye kufundisha vizuri CBG Form 5

IQup

JF-Expert Member
Jul 3, 2018
620
1,000
Heri ya mwaka mpya kwa wote!

Msaada mwenye kujua shule ya private, iwe ya kulala huko, mchepuo CBG kidato cha tano.

Nina ndugu anahitaji kuhamia katika shule yenye vigezo tajwa hapo juu. Mwenye uelewa tujuzane, jina la shule, gharama zake ikiwezekana na mawasiliano yake.

Mwanafunzi ni jinsia ya kike, alipata division II point 20. Shule za mkoa wa Morogoro anapendelea zaidi japo sio lazima kuwe huko.

Karibuni kwa lolote.
 
balibabambonahi

JF-Expert Member
Apr 5, 2015
10,035
2,000

Gilli sec.kibaha panamfaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
IQup

JF-Expert Member
Jul 3, 2018
620
1,000
thanks, alfa na kigurunyembe zote nilijibiwa nafasi zimejaa. Nishapata zingine tayari, asante sana
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom