Urgent! Natafuta mtu wa kunipigia picha kwa ajili ya banner | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Urgent! Natafuta mtu wa kunipigia picha kwa ajili ya banner

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Uswe, Aug 10, 2012.

 1. U

  Uswe JF-Expert Member

  #1
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  nataka kutengeneza banner na flyers, natafuta profesional camera man wa kunipigia hizi picha, kama wewe ni mtaalamu wa hii kitu au unafahamu mtaalamu naomba uni-PM

  asante!
   
 2. S

  Sometimes JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2012
  Joined: Dec 28, 2010
  Messages: 4,567
  Likes Received: 360
  Trophy Points: 180
  Mimi ni mtaalamu lakini nipo Tunduma. Niletee nauli nije fasta!
   
 3. U

  Uswe JF-Expert Member

  #3
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  asante kwa proposal boss, ila nahitaji mtu aliye dar es salaam. it is urgent and i am planning to fly no one for this.
   
 4. C.T.U

  C.T.U JF-Expert Member

  #4
  Aug 10, 2012
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 4,708
  Likes Received: 1,210
  Trophy Points: 280
  hauko serious ina maana makampuni huyajui au una hela za mawazo unataka mpiga picha wa kuunga unga?
   
 5. U

  Uswe JF-Expert Member

  #5
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  vyote vinawezekana, Lakini nimepata mtu, kanitumia kazi zake zilizopita, nimetathmini, nimemwambia kazi yangu kaelewa, kesho tunaanza kazi, na nimempata huyu mtu kupitia post hii - if u thought u are smarter than uswe, think again!
   
 6. Buggy

  Buggy JF-Expert Member

  #6
  Aug 10, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 239
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mie nipo dar, ni photographer na graphic designer pia! Natumia camera aina ya Nikon 3100. Call on: 0655 228404
   
 7. Y

  Yamwana Member

  #7
  Aug 10, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Uswe, tunaweza kukufanyia kazi zako zote, yaani kupiga picha, banners na leaflets kwa ubora wa hali ya juu pasipo gharama kubwa. Moja ya mashine yetu ina uwezo kwa kuprint up to 44 inch with crystal clear pictures. karibu sana O717 418929
   
 8. U

  Uswe JF-Expert Member

  #8
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135

  Asante yamwana, bahati mbaya nafikiri hii imepita lakini ninachukua namba yako, tumeanza promotion 'Umateumate' (katika jahazi la clouds fm) itayodumu hadi mwezi wa 12, in btn tutalauch products mbili, for sure nitakucheck tunapohitaji tena mtu.

   
 9. Y

  Yamwana Member

  #9
  Aug 12, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Karibu sana Uswe, you will be amazed to work with our small but very friendly and professional office.
   
 10. Pelham 1

  Pelham 1 JF-Expert Member

  #10
  Aug 15, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 521
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mkuu:
  Ukishamaliza naomba tenda ya kukufanyia adversing,kupromotin na marketing kupitia my company [tms] ktk product utakazo kuwanazo plizzz...
   
 11. U

  Uswe JF-Expert Member

  #11
  Aug 15, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  sasa hivi tumesha-engage kampuni ingine but it always good to have information bse there is another time, tutaanza promotion ingine January, you have a website or something i can learn more about your services.
   
Loading...