Si pembe za ng'ombe tu hadi **** za ng'ombe pia wananunua na kusafirisha mpaka kwao huko Uchina!siku hizi wananunua mpaka pembe za ngombe kwenye machinjio yameshakuwa dili sijui wanaenda kutengenezea nini hawa majamaa, labda wamegundua matumizi mbadala ya pembe za ndovu ambayo itaponya tembo wetu, chunguza kwa makini kama unaona sio za ankole mjulishe mpiga filimbi
huh huh.. nawewe utakua jipu mkuu.Si pembe za ng'ombe tu hadi **** za ng'ombe pia wananunua na kusafirisha mpaka kwao huko Uchina!
waliokuwa wizara ya mawasiliano msimu uliopita walitunga sheria ya kuwakomesha , mnadhani mtakuwa salama ? ukumbuke serikali mpya imewaenzi kwa kuwapa ulaji zaidi , mimi sitahangaika kuwapa michongo najikalia kimya niokoe bawa langu , kuna taarifa kwamba kila mchina aliyepo nchi hii analindwa na hakuna asiyejua wanachokifanya .Kuna jirani zangu wapangaji wachina wanapakia mizigo usiku ya pembe ambazo sijajua ni za wanyama gani. Hata muda huu wanapakia mafichoni. Mchana huwa wanajificha. Tafadhali sana mwenye namba ya whittle blowers za TRA anipatie. Shukrani.
Duh ! wanafanyia kitu gani tena hivyo vitu aisee ?Si pembe za ng'ombe tu hadi **** za ng'ombe pia wananunua na kusafirisha mpaka kwao huko Uchina!
Tafuta no. ya magu au majaliwa. Ukipiga polisi umeliwa lazima wakachukue mshiko na wachina waendelee na deal kisha wewe wanakunyooshea kidole kwa wachina, wachina wanaweza wakakuuwa.Kuna jirani zangu wapangaji wachina wanapakia mizigo usiku ya pembe ambazo sijajua ni za wanyama gani. Hata muda huu wanapakia mafichoni. Mchana huwa wanajificha. Tafadhali sana mwenye namba ya whittle blowers za TRA anipatie. Shukrani.
Asanteni sana wakuu. Nimeshapata namba nitaifanyia kazi fasta. Nitaleta mrejesho mambo yakishakuwa sawa.
Ni kweli wanasafirisha hizo mb 00 za ng'ombe mpaka vyuma vya ng'ombe. Mbona ilishatoka mpaka kwenye taarifa ya habari wakiwa wanachafua mazingira kwa kutiririsha maji machafu yanaingia mpaka kwenye eneo la shulena
huh huh.. nawewe utakua jipu mkuu.
Kaka hap iteni wananchi waje mujae hapo muwapebkichapo... Polisi wanajua hilo deal na wanajua kila kitu .. Usihangaikebhata kuwapigia simuYaani ni bora ukwawashughulikie wenyewe na majirani wenzeko. Polisi na mahakama bado sina imani nao kumejaa wapiga deal sana huko.
Hizo aisee nikajua ni megabyte 00...Si pembe za ng'ombe tu hadi **** za ng'ombe pia wananunua na kusafirisha mpaka kwao huko Uchina!