URGENT: Msaada jinsi ya kujiunga na Certificate kutokea VETA(NTA LEVEL 2)

James88

JF-Expert Member
May 14, 2017
1,692
2,000
Habari za jioni,

1. Je, inawezekana mtu kujiunga na Certificate In Electrical engineering akitokea VETA (NTA LEVEL 2)?, yaani aruke NTA level 3

2. Kama inawezekana, Je utaratibu mzima umekaa vipi? Naomba msaada hapa

Natanguliza Shukrani.
 

Mopalmo

JF-Expert Member
Nov 11, 2010
533
225
sidhani kama inawezekana maana vigezo vya kuendelea certificate according to NACTE ni NVA LEVEL 3,HUBU KACHEKI GUIDE BOOK YA NACTE KWENYE WEB YAO
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom