Urgent:Hard disk seems to be fully

Aqua

JF-Expert Member
Jul 23, 2012
1,658
1,229
Habari wadau,kuna tatizo kwenye laptop naomba kama kuna mtu alishawahi kukutana nalo au anajua jinsi ya kulitatua anisaidie.
Kuna laptop drive "C" imekuwa na rangi nyekundu kuonyesha kwamba imejaa sana.Nimejaribu kuangalia ukubwa wa mafaili yote kwa kutumia "Treesize",jumla ya ukubwa wa mafaili yote ni mdogo sana,nimesafisha recyclebin na temporary files na browser history kwa kutumia C-cleaner lakini bado hard disk iko full ila mafaili yote jumla yake ni ndogo sana ukilinganisha na ukubwa halisi wa drice "C".
Operating system windows7,32 bits,antivirus "Norton".
Thank you in advance.
 
kama ni drive C, You have to format ur PC mkuu,
excluding your Local Storage, Drive,
.
Hope itakusaidia!
 
katatizo kadogo xana hako,
nenda kwenye control panel(CP) then nenda kwenye system and security, unaweza kuangalia hapo utakuta baadhi ya mafaili yako yamejisave mara 2 kwa automatic backup setup, hivyo unatakiwa u-delete yale yaliyojirudia. tatizo lako litatatuliwa hapo, nimewahi kukumbwa na shida hiyo pia, nikadhani ni virusi kumbe sio.
 
Ok.Nitafanya ulivyoshauri then nitakufahamisha maendeleo
 
kama ni drive C, You have to format ur PC mkuu,
excluding your Local Storage, Drive,
.
Hope itakusaidia!

kaka nashukuru kwa ushauri wako,ila kama mtu wa IT kuformat ni hatua ya mwisho kabisa baada ya kushindwa kufanya kila kitu.Hivyo nakushauri pia hiyo option usiwe unaiweka mwanzo unapokuwa unatatua matatizo.Thanks tuko pamoja in IT.
 
katatizo kadogo xana hako,
nenda kwenye control panel(CP) then nenda kwenye system and security, unaweza kuangalia hapo utakuta baadhi ya mafaili yako yamejisave mara 2 kwa automatic backup setup, hivyo unatakiwa u-delete yale yaliyojirudia. tatizo lako litatatuliwa hapo, nimewahi kukumbwa na shida hiyo pia, nikadhani ni virusi kumbe sio.

Kaka naombaunisaidie "full path' kuna vitu vingi sana under 'system and security' ni wapi mafaili hayo yanaweza kuwepo?

diskdull.jpg

3hXenQqz5sAAAAou72h7vSoQcAAMDUmACUEgAAAFNjAlBKAAAATI0JQCkBAAAwNSYApQQAAMDUmACUEgAAAFPTbd3ZlQ49AAAApsZXAEoJAACAqen 6392pUMPAACAqTEBKCUAAACmxgSglAAAAJgaE4BSAgAAYGpMAEoJAACAqTEBKCUAAACmxgSglAAAAJgaE4BSAgAAYGpMAEoJAACAqTEBKCUAAACmxgSglAAAAJgaE4BSAgAAYGpMAEoJAACAqTEBKCUAAACmxgSglAAAAJgaE4BSAgAAYGpMAEoJAACAqTEBKCUAAACmxgSglAAAAJgaE4BSAgAAYGpMAEoJAACAqTEBKCUAAACmxgSglAAAAJgaE4BSAgAAYGpMAEoJAACAqTEBKCUAAACmxgSglAAAAJgaE4BSAgAAYGpMAEoJAACAqTEBKCUAAACmxgSglAAAAJgaE4BSAgAAYGpMAEoJAACAqTEBKCUAAACmxgSglAAAAJgaE4BSAgAAYGpMAEoJAACAqTEBKCUAAACmxgSglAAAAJgaE4BSAgAAYGpMAEoJAACAqTEBKCUAAACm5u9z7Bf1ql7qkQAAAABJRU5ErkJggg==
 
au

2. Jaribu kucheck size ya "Restore Point" ambayo kompyuta imeweka kama default.

Fungua Control Panel.
Control Panel > System and Security > System

Bofya System Protection in the left pane.
Highlight Local Disk (C:)(System) and click Configure...

Kutokea hapo you can press Delete to remove all the restore points and then reduce the Max Usage slider lower to something more reasonable.
 
Kaka naombaunisaidie "full path' kuna vitu vingi sana under 'system and security' ni wapi mafaili hayo yanaweza kuwepo?

View attachment 126026

3hXenQqz5sAAAAou72h7vSoQcAAMDUmACUEgAAAFNjAlBKAAAATI0JQCkBAAAwNSYApQQAAMDUmACUEgAAAFPTbd3ZlQ49AAAApsZXAEoJAACAqen 6392pUMPAACAqTEBKCUAAACmxgSglAAAAJgaE4BSAgAAYGpMAEoJAACAqTEBKCUAAACmxgSglAAAAJgaE4BSAgAAYGpMAEoJAACAqTEBKCUAAACmxgSglAAAAJgaE4BSAgAAYGpMAEoJAACAqTEBKCUAAACmxgSglAAAAJgaE4BSAgAAYGpMAEoJAACAqTEBKCUAAACmxgSglAAAAJgaE4BSAgAAYGpMAEoJAACAqTEBKCUAAACmxgSglAAAAJgaE4BSAgAAYGpMAEoJAACAqTEBKCUAAACmxgSglAAAAJgaE4BSAgAAYGpMAEoJAACAqTEBKCUAAACmxgSglAAAAJgaE4BSAgAAYGpMAEoJAACAqTEBKCUAAACmxgSglAAAAJgaE4BSAgAAYGpMAEoJAACAqTEBKCUAAACmxgSglAAAAJgaE4BSAgAAYGpMAEoJAACAqTEBKCUAAACm5u9z7Bf1ql7qkQAAAABJRU5ErkJggg==
mkuu jaribu kucheki kwenye backup and restore, kwenye history file,uone kama kuna automatic backup ambayo mara nyingi inapelekea kusave mafaili mara 2 kisha uondoe hayo mafaili huko utapata space. napata tabu kukumbuka neno kwakuwa siku hizi natumia win 8.1 enterprise, ila nahop utafanikiwa
 
Ok.Nitajitahidi
 
au

2. Jaribu kucheck size ya "Restore Point" ambayo kompyuta imeweka kama default.

Fungua Control Panel.
Control Panel > System and Security > System

Bofya System Protection in the left pane.
Highlight Local Disk (C:)(System) and click Configure...

Kutokea hapo you can press Delete to remove all the restore points and then reduce the Max Usage slider lower to something more reasonable.
Ok.Nitafanyia kazi kesho nitakujulisha kama nimefanikiwa.Thanks
 
Is system restore on? What are limitations? What is size of Windows Winsxs folder?
 
Sorry,will reply to you later currently the person whose laptop has that problem is not around.Once I have access to it I will reply to your questions.Thanks for your concern.
 
Back
Top Bottom