Aqua
JF-Expert Member
- Jul 23, 2012
- 1,658
- 1,229
Habari wadau,kuna tatizo kwenye laptop naomba kama kuna mtu alishawahi kukutana nalo au anajua jinsi ya kulitatua anisaidie.
Kuna laptop drive "C" imekuwa na rangi nyekundu kuonyesha kwamba imejaa sana.Nimejaribu kuangalia ukubwa wa mafaili yote kwa kutumia "Treesize",jumla ya ukubwa wa mafaili yote ni mdogo sana,nimesafisha recyclebin na temporary files na browser history kwa kutumia C-cleaner lakini bado hard disk iko full ila mafaili yote jumla yake ni ndogo sana ukilinganisha na ukubwa halisi wa drice "C".
Operating system windows7,32 bits,antivirus "Norton".
Thank you in advance.