Urembo wa nywele za wanawake na haiba yake katika mahusiano

ha ha ha haaa
the worst thing about hizi ndoa za online...ni kuwa
mkeo anatongozwa live huku unaona na huwezi zuia....
ha ha haa a bit painfull but interesting for viewers.......
ha ha haaa

Bro vipi tena? Kwani nani mke wa mtu humu?
 
boss hapo kwenye red umewaonea wenye nywele ndefu!

kwa upande wangu sijawahi kutia weave au to chemicaly treat my hair ........but kumaintain style and kuwa neat all the time na natural hair ni kazi coz kusuka kila siku si jambo dogo......and sometimes i end up looking shabby.

u have to give it to the wigs.............zinakaa kama zilivyoamriwa saa zote[/COLOR]

hahaaaa umenichekesha ...'zilivoamriwa...' huh!!

dah wig mimi mbado jaribu.........
 
Halafu haya mawigi noma sana aisee...siku nilienda kiwanja kujirusha...basi si zikazuka ngumi...mademu wawili wakaanza kuzipiga...kumbe mmoja wao ana wigi bana. Basi yule mwingine akalinyofoa lile wigi.....kumbe nywele za demu zilikuwa kipilipili halafu dizaini alikuwa hazichani....acha nicheke maana alivyobadilika utadhani sio yeye.
 
hahaha .....mie pia sijawahi kutumia wigs. lakini nilikuwa na rafiki yangu alitumia some chemicals akanyonyoka nywele zote. akawa akawa kipara
ikabidi wigi ndio zitumike 24/7.

ila pata picha nywele zimenyonyoka kisha wigi limekuanguka na NN yuko pembeni yako! hahaha
 
Alaaaa!!! Kumbe wewe ni demu? Basi mi siku zote nadhani wee ni njemba....gademu!!!
 
NN.....sasa gademu ya nini!? au hupendi population ya wanawake kuzidi hapa JF?
 
G pata picha, huyo dada alijuta kuw akaribu na huyu NN (shem na ulivo mpana alikukoma)
 
G pata picha, huyo dada alijuta kuw akaribu na huyu NN (shem na ulivo mpana alikukoma)

Jamani...mimi sikufanya chochote....nilikuwa naangalia ndondi tu....na kwa bahati mbaya wigi likanyofolewa...
 
Jamani...mimi sikufanya chochote....nilikuwa naangalia ndondi tu....na kwa bahati mbaya wigi likanyofolewa...

na uhakika ulimcheka balaaa!! bora maumivu ya kupigwa kuliko kuzodolewa na wewe

hahahaaaaa, alijuta!!!
 
Mambo yote yapo hapa mimi huwa nasuuzika kinoma

aba2.JPG
 
hao wajaziosha hizo nywele tangu wameanza kusuka................
 
Mimi binafsi napenda sana nywele original za mwanamke wa kiafrika sio mzungu. Nywele ndefu ndio ugonjwa wangu:hug:sio wigi lakini
 
Mwanamke nywele or so i have told by my friends and colleagues. Long real hair not wigs and weird braids.
 
Back
Top Bottom