Urembo wa nywele za wanawake na haiba yake katika mahusiano

mwanamke wig bwanaaa....

tena siku hizi kuna hizo wanaita lace wigs,shurti unatoka kama beyonce banaa!

mnh usuke mabutu utoke kama mrs lawino,inahusuuuuu

acheni kuwa conservatives!

lkn cjawahi kuona mzungu akiweka nywele za mwafrica hehe yale yale Miafrika Ndivyo Tulivyo
 
FL1

kama nimemwelewa boss, yeye anapenda nywele asilia na si za kuungaunga [ziwe na relaxer, curl au hata fupi]... i like the same, yaani mimi criteria ya kwanza ya kukimbia bibi ni nywele za kuunga au kushonea


  1. kwanza ukishika kichwa kinakua kama kina manundu nundu
  2. pili most of them zinakua tofauti sana na original kiasi kwamba ukiangalia nyuma ya kichwa unakutana na kipilipili against indian hair za mbele [tetracycline!]
  3. tatu wanawake wengi sana huonekana more cute wakinyoa nywele zao ila hawajui tu


big up to all women with their natural hair and no sugar added!!!

Nakuunga mkono kaka kwa uchambuzi huu mimi huwa napenda sana kuchezea nywele kwa ile style ambayo inamfanye mwanamke ajisikie kubembelezwa fulani na kumsababishia ubongo na mwili wake kuwa katika hali ya deep relaxation na kuufanya mwili wake utoke vipele ambavyo vitaamsha mahanjamu wakati nikimchezeea kabla ya gemu lkn ni ngumu sana kwa aliyeweka wigi kichwani kwani ninashindwa kugusa kichwa na nywele halisi ambazo zitaamsha vipele. na kwa kweli siwapendi wanawake wenye nywele bandia
 
Tuwe wakweli sisi wanaume.nikikuuliza leo shemeji yangu(yaani mpenzi wako wewe mwanamme wa hapa jf) kichwani katoka kivipi utajibuje?leo kavaa bandia au original?na hapa unaandika nini?..............mnaniacha hoi. Nasita kusema,ningekuwa na uwezo wa ajabu wakuwaona,nisingeshangaa kuwaona ndani ya hizo nywele bandia.
 
bandia nibandia kamwe haiwezi kuwa yenyewe. maji ya dafu ni dafu lenyewe kamwe hayawezi kufanana na maji mengine hata hayo mengine uyaweke asali hutapata ladha ye?
 
Sajenti

yaani umejijibu mwenyewe, huyo ni wako na anajua unampenda tena akiwa nachuro, mbona akuvizie ukiwa mkoa ndo ajitwishe wigi??

its just that wakati mwingine unajisikia kutoka kivingine, unavaa hata wigi la 'afro'
 
Last edited by a moderator:
lkn cjawahi kuona mzungu akiweka nywele za mwafrica hehe yale yale Miafrika Ndivyo Tulivyo


mnh nachojua moja ya uzuri wa nywele bandia,unakuwa flexible ukitaka kuwa km mhindi,mzungu au mwafrica...unalipuka tuu...its simple to switch lol

nywele za kiafrica ni mbaya na ngumu kuzimaintain as simple as that,wale wanaokataa na kuyachukia mawig wana matatizo yao...sabaBu wengi tunatia relaxer nywele zifanane na wazungu,na at least ziwe manageable!!!sasa utoke natural inahusuuuuuuuuuuuuuuuuu...eti natural wangapi wanatia relaxer ama kalikiti???au kuna DEGREE ya u-natural???wengi tunafall kny hilo group la FAKE HAIR....regardless wazungu wanavaaa mawig ya kiafrica ama NOT!
 
wangu anazo nachuro safiiii
haya ya bandia siku akilitoa basi hata mumeanamsahau mkewe
kaazi kweli yaa we achatu
 
KITU NATURAL MWANZO MWISHO.! THE BOSS WAPI HIYO KITU UMETOA KAKA?
IMENIFIKA MAHALI NARUDIA KUANGALIA HII PICHA KILA MARA.!
HONGERA MKULU ( kama unamiliki lakini.!)
 
Haya manywele ya kichina kwanza wakati mwingine yanawasha! ukimkumbatia mwenzio kosa usingizi hauji tena kwa kuwasha!
Nywele natural bwana.....ndiyo zenyewe iwe fupi au ndefu..
Lakini kina mama huwaelezi kitu wao ni nyasi tuu kichwani kwa kwenda mbele.
 
mimi nikimmega dem huwa napenda kushikilia nywele zake, dem akiwa na bandia utaona ananikataza nisishike, kuna dem mmoja alijisahau...nywele zilitoka zikabaki mikononi kwangu....nilimuona mbaya ajabu

Mmh,we nawe kwa uongo.Hizo nywele gani kushikwa tu zibaki mkononi mwako.
 
Big up to all natural loving brothas outa there!

Fasheni hizi nyingine zinatuharibia wake zetu; mi ilifiki mahala nilitishia kutoka out ikiwa mtu hatoki kiasili; ni ukweli inafikia mahali unasahu kuwa anafananaje akiwa na nywele za asili ambako ndiko chimbuko la mvuto wako kwake!
 
jamani kwani vibaya kwenda vekesheni na shemeji?

B yeye anakukuruka na maboksi huko, mimi nina stress za hotuba ya muhishimiwa jana, acha tu niende na shem ikwiriri nikaangalie mamba huko


shemeji shemeji......huku taa zinazimwa......
 
Huko mbalamwezi tu....

ha ha ha haaa
the worst thing about hizi ndoa za online...ni kuwa
mkeo anatongozwa live huku unaona na huwezi zuia....
ha ha haa a bit painfull but interesting for viewers.......
ha ha haaa
 
ha ha ha haaa
the worst thing about hizi ndoa za online...ni kuwa
mkeo anatongozwa live huku unaona na huwezi zuia....
ha ha haa a bit painfull but interesting for viewers.......
ha ha haaa

kwani wewe umeona shem ananitongoza hapa au sijaelewa????
 
mimi nikiwemo huwa napenda kuona mwanamke akitoka na nywele zake fupi na kazisuka mitindo ya enzi na enzi kama hivi....

boss hapo kwenye red umewaonea wenye nywele ndefu!

kwa upande wangu sijawahi kutia weave au to chemicaly treat my hair ........but kumaintain style and kuwa neat all the time na natural hair ni kazi coz kusuka kila siku si jambo dogo......and sometimes i end up looking shabby.

u have to give it to the wigs.............zinakaa kama zilivyoamriwa saa zote
 
Back
Top Bottom